Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

Status
Not open for further replies.
Anaetetea Uanzishwaji Wa Mahakama Ya Kadhi Akamatwe Kwa Nguvu Akapimwe Akili Kisha Afungiwe Milembe Hospital Ya Vichaa Hadi Atakapopona Huo Ugonjwa Wa Kichaa Alichonacho.
 
Mbona Sisi Wakristo Tunamahakama Zetu Na Hatujawahi Kuomba Pesa Serikalini Kuwalipa Majaji Na Mawakili Wa Mahakama Zetu Wala Kuyatumia Majengo Ya Mahakama Za Serikali? Anzisheni Na Nyinyi Kwa Kodi Zenu.
 
 
 
Mbona Sisi Wakristo Tunamahakama Zetu Na Hatujawahi Kuomba Pesa Serikalini Kuwalipa Majaji Na Mawakili Wa Mahakama Zetu Wala Kuyatumia Majengo Ya Mahakama Za Serikali? Anzisheni Na Nyinyi Kwa Kodi Zenu.

Kwa kuwa nyinyi hamjaomba na Waislam wawaige nyinyi? Kwendeni zenu huko!
 

Kweli mkuu serekali haigharamii gharama za ufungaji ndoa,lkn linapikuja swala la kuachana serekali inangilia.
 

Du kuna mahakama za kkirsto! ndio kwanza nasikia japo niliwai kusoma shule y nusr n msingi z kkiristo Angilikan n Katoriki lkn sijawai kuziona wala kusikia mkiristo kafikishwa kwenye mahakama z kkirsto kuhukumiwa,

Naomba ufafanuz wako mkuu MORRIS T J
 
Hawa jamaa hata waende shule ndefu namna gani uelewa huwa down kabisa!! unalinganisha mahakama ya kazi, ardhi ambavyo ni vyombo vya serikali na kadhi ambacho ni chombo cha kidini!! Huyu mwamedi alikuwa na spirit ya kutoelewa kabisa!!

Biashara pia ni chombo cha serikali? Ipo mahakama ya biashara pia. Nchi ikiwa na nia inaweza kuwa na mahakama hata 70! Wakatoliki wakawa na yao, walutheri, baniani, singa singa n.k. na nchi isitetereke kiuchumi, kisiasa wala kidini.
 
Mbona Sisi Wakristo Tunamahakama Zetu Na Hatujawahi Kuomba Pesa Serikalini Kuwalipa Majaji Na Mawakili Wa Mahakama Zetu Wala Kuyatumia Majengo Ya Mahakama Za Serikali? Anzisheni Na Nyinyi Kwa Kodi Zenu.

Mnatakiwa mdai sasa, lakini sio watu wa dini nyingine wakidai nyie mnapinga. ANZISHENI MCHAKATO WA KUDAI MAHAKAMA ZA KIKRISTO.
 
Ugumu wa mahakama hii ni kwa yafuatayo, je kwa nini waislamu tusigharimie wenyewe hii mahakama kwa kuchangishana wenyewe? Je kwa nini bakwata wanaunga mkono katiba ya kafir chenge wakati haina kipengele cha kuanzishwa mahakama ya kadhi? Je wawakilishi wa bakwata na taasisi zingine za kiislamu kwa nini hawakupambana kwa kufa na kupona pale dodoma kwenye bunge maalumu la katiba ili kipengele cha mahakama ya kadhi kiingizwe kwenye katiba pendekezwa? Kiujumla ukitafakari sana, adui wa mahakama ya kadha ni sisi waislamu wenyewd. Hatuna nia ya dhath. Kina sheikh jongo na kina kundecha wanapaswa kulaumiwa kwa hili.
 

Mkuu Zipo, Naomba Ulipo Hapo Nenda Parokia Yoyote Muulize Padri Kuhusu Hilo.Hivi Hujawahi Kusikia Muumini Fulani Kafungiwa Kushiriki Meza Ya Bwana? Unafikiri Adhabu Hiyo Inatolewa Holela Holela? Tena Wapo Na Mawakili Kabisa Ambao Wamesomea Sheria Za Kanisa.
 
 
Unajua hili suala laweza kuchochea kudai aina nyingine ya mahakama. Ndiyo! kila kabila litataka serikali igharamie mahakama yake ya kimila. Watanzania tuko tayari kutoa kodi kwa ajir(l)i ya mahakama hizi?

Pia hii Jumhuhiya imenishangaza, inawataka watanzania wenzetu, waikatae katiba pendekezwa kwa sababu tu, pendekezwa hiyo haijatamka bayana uanzishwaji wa Mahakama ya Kadhi!!! Yaani Jumhuhiya haijaona mapungufu mengine ya 'pendekezwa',mfano, suala la maadili?? Kwamba pendekezwa ikiongezwa suala la Mahakama ya Kadhi, basi itakuwa katiba murua kwa watanzania wote, hii ni kweli jamani? Hata, akili yangu imelikataa... ningewaelewa kama wangetaja mapungufu mengine ya pendekezwa. Ili watuweke sawa, mimi na watanzania wengine wanaoona ushauri wa Jumhuhiya hii kwa ndugu zetu, kwa mtazamo niliouonyesha ;Jumhuhiya itoe maelezo zaidi juu ya Katiba pendekezwa.
 
Weye takuwa mejazwa LAANA ya yule mlo mtungika Msalabani,na dhambi ile kattu haitokuwa ni yenye kukuacheni weye na wenye mfano wako.

Ahsanta kwa kunisikiza na nipo kipembeni hapa.

Ivi una elimu gani?
Mbona matamshi ka umebugia ugoro?!
 

Nkongu Ndasu,
''Sisi Waislamu...''

Tatizo la Mahakama ya Kadhi huwezi kulielewa mpaka ujue historia ya Uislam
katika Tanganyika.

Ukielewa historia hiyo utajua vipi serikali inafanya kazi na ni nani kahodhi serikali.
Mahakama ya Kadhi si tatizo la Sheikh Jongo wala la Sheikh Kundecha.

Ukielewa historia utaelewa mengi na hutakuja na hoja za ''Waislam kugharimia,'' na
mengine mengi.

Ila kwa ufupi nitakueleza kuwa hakuna mahali popote duniani mahakama ikagharimiwa
na watu.

Mahakama zote zinagharimiwa na serikali.
Mahakama ya Kadhi ilikuwapo Tanganyika hadi mwaka 1963.

Pale Mahakama ya Kariakoo alikuwapo Sheikh Said Chaurembo kama hakimu
akihukumu kesi za ndoa, talaka na mirathi.

Pale Moshi Bomani alikuwapo Liwali Mussa Minjanga akihukumu kwa mujibu wa
sheriza za Kiislam.

Songea alikuwapo Sheikh Abdallah Simba akihukumu kwa mujibu wa sheria na
kwengine kwingi.

Mahakama hizo zote zilikuwa zikigharimiwa na serikali hii hii ya wananchi.
Nani aliamua kuzivunja na kwa nini hili ndilo swali la kujiuliza.

Nkongu Ndasu,
Soma historia ya Uislam Tanganyika utajifunza mengi na majibu ya maswali
yako utayakuta humo ndani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…