MR. MORRIS T. J.
JF-Expert Member
- Apr 18, 2013
- 1,167
- 403
Anaetetea Uanzishwaji Wa Mahakama Ya Kadhi Akamatwe Kwa Nguvu Akapimwe Akili Kisha Afungiwe Milembe Hospital Ya Vichaa Hadi Atakapopona Huo Ugonjwa Wa Kichaa Alichonacho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama kweli tamko limetolewa na bakwata. BASI BAKWATA HAINA VIONGOZI BALI INAVIONGOZI HEWA!! Angalia Utetezi Wao "mbona Taasisi Zingine Zinamahakama Zake Mfano Mahakama Ya Ardhi....Kwanini Mahakama Ya Waislam Iwe Nongwa"? Hivi Mahakama Ya Ardhi Raia Wa Dini Zote Wanaishi Angani?Ardhi Haiwahusu?Ardhi Inamanufaa Kwa Wote Bila Kujali Itikadi Yao Na Mahakama Ya Ardhi Itamfaa Peter Na Juma Anaweza Kwenda Kudai Haki Ya Umiliki Wa Ardhi Katika Mahakama Ya Ardhi! Je Mahakama Ya Kadhi Inasifa Hiyo? Kwamba Peter Nae Anaweza Kudai Haki Yake? Peter Hawezi Kwa Sababu Siyo Sehemu Ya Imani Yake!! Je Mahakama Za Kikristo Hazipo? Jibu, Zipo.Je Zinaendeshwa Na Serikali? Jibu Hapana. Kwanini? Kwa Sababu Serikali Ni Ya Wote Na Inapokea Kodi Kwa Wakristo Na Wasio Wakristo Hvy Kodi Za Wasio Wakristo Kutumika Kuendeshea Mambo Ya Wakristo Ni Kuwanyima Haki Wasio Wakristo!! Hvy WAISLAM ANZISHENI MAHAKAMA ZENU,TAFUTENI MAJENGO YENU KAMA MTATUMIA MSIKITINI SAWA TU, LAKINI SIYO KUTUMIA PESA ZA UMMA KWA.
kama kweli tamko limetolewa na bakwata. BASI BAKWATA HAINA VIONGOZI BALI INAVIONGOZI HEWA!! Angalia Utetezi Wao "mbona Taasisi Zingine Zinamahakama Zake Mfano Mahakama Ya Ardhi....Kwanini Mahakama Ya Waislam Iwe Nongwa"? Hivi Mahakama Ya Ardhi Raia Wa Dini Zote Wanaishi Angani?Ardhi Haiwahusu?Ardhi Inamanufaa Kwa Wote Bila Kujali Itikadi Yao Na Mahakama Ya Ardhi Itamfaa Peter Na Juma Anaweza Kwenda Kudai Haki Ya Umiliki Wa Ardhi Katika Mahakama Ya Ardhi! Je Mahakama Ya Kadhi Inasifa Hiyo? Kwamba Peter Nae Anaweza Kudai Haki Yake? Peter Hawezi Kwa Sababu Siyo Sehemu Ya Imani Yake!! Je Mahakama Za Kikristo Hazipo? Jibu, Zipo.Je Zinaendeshwa Na Serikali? Jibu Hapana. Kwanini? Kwa Sababu Serikali Ni Ya Wote Na Inapokea Kodi Kwa Wakristo Na Wasio Wakristo Hvy Kodi Za Wasio Wakristo Kutumika Kuendeshea Mambo Ya Wakristo Ni Kuwanyima Haki Wasio Wakristo!! Hvy WAISLAM ANZISHENI MAHAKAMA ZENU,TAFUTENI MAJENGO YENU KAMA MTATUMIA MSIKITINI SAWA TU, LAKINI SIYO KUTUMIA PESA ZA UMMA KWA.
Ardh ina muhusu mwenye Ardhi. Mtu aliyepanga chumba kimoja lakini ni mfanyabiashara wa duka la mchele si analipa kodi, na hii kodi si inalipa mshahara wa Watumishi wa mahakama ya Ardhi, huyu muuza mchele inamuhusu nini Ardhi wakat hata kiwanja hana? Mifano iko mingi. Mfanyakaz inamuhusu nini kwa mfano mahakama ya biashara? Je kodi yake haitumiki kulipia mahakama hiyo ambayo kimsingi haimuhusu mfanyakaz? Lakini kodi yake inatumika kulipa watumishi wa mahakama ya biashara kwa kuwa kuna Watanzania inawasaidia kupata huduma! Kwa kuwa Waislam ni Jamii ya Watanzania na hata asiye muislam anaruhusiwa kufungua shauri mahakama ya Kadhi akiona inafaa, nongwa hii ya kiubinafsi inatoka wapi? Kama MoU ambavyo utetez wake ni kuwa huduma ya shule na hospitali husaidia Mtanzania yeyote akiona inafaa basi serikali inasupport kwa kuwa jamii ya Watanzania wananufaika! Nawe Mgala, unaruhusiwa kupata huduma za kimahakama ya kadhi kama utaona inafaa. Na issue kubwa itakuwa ni mambo ya Ndoa na Mirathi.
Wapo rafiki zangu ambao wameanza kuelewa umuhimu wa Mahakama ya Kadhi na Sheria za dini ya Kiislam! Hao ni RC, Lutheran na Anglikana tena Wasomi wazuri wa dini zao( Theolojia) na Elimu ya darasani! Wanakiri kwa mfano issue ya ndoa iko clear kwa Waislam, kwamba kama mke na mume maudhi yamezidi, huna sababu ya kusibiri kuwekeana sumu kwenye chakula, bali kila mmoja achukue chake na kuondoka. Uislam ulitumia busara kubwa kwa kujua kuwa binadam huweza kutofautiana na kutokea migogoro. Hali hiyo ikitokea basi sheria ya kuachana huchukua mkondo wake! Lakini Uislam unasema suala la kuachana linamuudhi Mungu lakini ikitokea kupishana lugha na kauli inakuwa hamna namna!
Hivyo itoshe tu kusema kwa kuwa Mahakama ya Kadhi itahudumia Waislam ikiwa ni Jamii ya Watanzania, basi ni HALALI kabisa kwa serikali kutoa support!
Mbona Sisi Wakristo Tunamahakama Zetu Na Hatujawahi Kuomba Pesa Serikalini Kuwalipa Majaji Na Mawakili Wa Mahakama Zetu Wala Kuyatumia Majengo Ya Mahakama Za Serikali? Anzisheni Na Nyinyi Kwa Kodi Zenu.
Hii nchi haina dini jamani. Kila dini/dhehebu likitaka mahakama yake tutafika wapi jamani? Ndugu Waislamu litafakari zaidi hili. Ndio maana hata kufungisha ndoa ni mamlaka ya dini husika na serikali haigharamii shughuli za ufungishaji ndoa za wakristo wala waislamu
kama kweli tamko limetolewa na bakwata. BASI BAKWATA HAINA VIONGOZI BALI INAVIONGOZI HEWA!! Angalia Utetezi Wao "mbona Taasisi Zingine Zinamahakama Zake Mfano Mahakama Ya Ardhi....Kwanini Mahakama Ya Waislam Iwe Nongwa"? Hivi Mahakama Ya Ardhi Raia Wa Dini Zote Wanaishi Angani?Ardhi Haiwahusu?Ardhi Inamanufaa Kwa Wote Bila Kujali Itikadi Yao Na Mahakama Ya Ardhi Itamfaa Peter Na Juma Anaweza Kwenda Kudai Haki Ya Umiliki Wa Ardhi Katika Mahakama Ya Ardhi! Je Mahakama Ya Kadhi Inasifa Hiyo? Kwamba Peter Nae Anaweza Kudai Haki Yake? Peter Hawezi Kwa Sababu Siyo Sehemu Ya Imani Yake!! Je Mahakama Za Kikristo Hazipo? Jibu, Zipo.Je Zinaendeshwa Na Serikali? Jibu Hapana. Kwanini? Kwa Sababu Serikali Ni Ya Wote Na Inapokea Kodi Kwa Wakristo Na Wasio Wakristo Hvy Kodi Za Wasio Wakristo Kutumika Kuendeshea Mambo Ya Wakristo Ni Kuwanyima Haki Wasio Wakristo!! Hvy WAISLAM ANZISHENI MAHAKAMA ZENU,TAFUTENI MAJENGO YENU KAMA MTATUMIA MSIKITINI SAWA TU, LAKINI SIYO KUTUMIA PESA ZA UMMA KWA JAMBO LENYE MANUFAA KWENU.
Hawa jamaa hata waende shule ndefu namna gani uelewa huwa down kabisa!! unalinganisha mahakama ya kazi, ardhi ambavyo ni vyombo vya serikali na kadhi ambacho ni chombo cha kidini!! Huyu mwamedi alikuwa na spirit ya kutoelewa kabisa!!
Nilichofurahi ni kuona kuwa wataungana nasi kuipigia debe ya kura ya HAPANA kwa katiba mypa....!!!
Mbona Sisi Wakristo Tunamahakama Zetu Na Hatujawahi Kuomba Pesa Serikalini Kuwalipa Majaji Na Mawakili Wa Mahakama Zetu Wala Kuyatumia Majengo Ya Mahakama Za Serikali? Anzisheni Na Nyinyi Kwa Kodi Zenu.
Duuh kazi kweli kweli, naomba kuuliza "mbona Zanzibar 90% ni waislamu Lakini mahakama ya kadhi haipo kwenye Katiba.
Du kuna mahakama za kkirsto! ndio kwanza nasikia japo niliwai kusoma shule y nusr n msingi z kkiristo Angilikan n Katoriki lkn sijawai kuziona wala kusikia mkiristo kafikishwa kwenye mahakama z kkirsto kuhukumiwa,
Naomba ufafanuz wako mkuu MORRIS T J
Ardh ina muhusu mwenye Ardhi. Mtu aliyepanga chumba kimoja lakini ni mfanyabiashara wa duka la mchele si analipa kodi, na hii kodi si inalipa mshahara wa Watumishi wa mahakama ya Ardhi, huyu muuza mchele inamuhusu nini Ardhi wakat hata kiwanja hana? Mifano iko mingi. Mfanyakaz inamuhusu nini kwa mfano mahakama ya biashara? Je kodi yake haitumiki kulipia mahakama hiyo ambayo kimsingi haimuhusu mfanyakaz? Lakini kodi yake inatumika kulipa watumishi wa mahakama ya biashara kwa kuwa kuna Watanzania inawasaidia kupata huduma! Kwa kuwa Waislam ni Jamii ya Watanzania na hata asiye muislam anaruhusiwa kufungua shauri mahakama ya Kadhi akiona inafaa, nongwa hii ya kiubinafsi inatoka wapi? Kama MoU ambavyo utetez wake ni kuwa huduma ya shule na MAHAKAMA YA KADHI NI YA KIDINI Ya Ardhi Siyo Ya Kidini.Na Hao Uliowataja Ardhi Inawahusu.Fikiria Mtu Ajenge Na Azibe Bara Bara Huyo Mpangaji HATA ATHIRIKA? JE MFANYABIASHA AUZIWE VITU FEKI AMBAVYO VITAUZWA KWA WANANCHI,
Weye takuwa mejazwa LAANA ya yule mlo mtungika Msalabani,na dhambi ile kattu haitokuwa ni yenye kukuacheni weye na wenye mfano wako.
Ahsanta kwa kunisikiza na nipo kipembeni hapa.
Ugumu wa mahakama hii ni kwa yafuatayo, je kwa nini waislamu tusigharimie wenyewe hii mahakama kwa kuchangishana wenyewe? Je kwa nini bakwata wanaunga mkono katiba ya kafir chenge wakati haina kipengele cha kuanzishwa mahakama ya kadhi? Je wawakilishi wa bakwata na taasisi zingine za kiislamu kwa nini hawakupambana kwa kufa na kupona pale dodoma kwenye bunge maalumu la katiba ili kipengele cha mahakama ya kadhi kiingizwe kwenye katiba pendekezwa? Kiujumla ukitafakari sana, adui wa mahakama ya kadha ni sisi waislamu wenyewd. Hatuna nia ya dhath. Kina sheikh jongo na kina kundecha wanapaswa kulaumiwa kwa hili.