Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pumbavu sana waislam wa nchi hii, japo sio wote,walitembeza vitabu misikitini kuamasisha tumchague kikwete muislam mwenzetu ili atupatie mahakama ya kadhi eti,,,,,leo kikwete anamaliza awamu yake hamna cha MAHAKAMA ya kazi wala ya biashara,,,,,,,
waombe waboreshewe chuo kikuu cha morogoro ili wapate Elimu nzuri, Maana tangu walipopewa hawajaongeza kitu chochote bali kinazidi kuwa kichafu.Hii kitu wanapoteza muda labda waombe kitu ingine!!!!!!
mamlaka ki2 gani,,,mhm ni kwamba wanaoongea wana wafuasi...kwani vijana waliompindua COMPAORE kule Bukinabe walikuwa na mamlaka gani......
Mkuu kuna muda tuna chat na majini humu!Ata mimi nashangaa kwakweli kwanini wasipangiane kama kuchinjana wachinjane wenyewe
mamlaka ki2 gani,,,mhm ni kwamba wanaoongea wana wafuasi...kwani vijana waliompindua COMPAORE kule Bukinabe walikuwa na mamlaka gani......
kwa hiyo umekubaliana na mimi kwamba Kanisa sio dini? Kwa nini mnawaomba makafir wawapangie kawaida yenu ya ibada!? Muham mad wapi aliomba makafir wampangie taratibu ya ibada?
Mimi sina shida kama ntakatwaa kodi ikaenda kujenga zahanati na kununua madawa vijijini na kujenga barabara zitakazowasaidia watz wote bila kujali Dini,kabila rangi na jinsiaa naomba tuongee kwa Facts hizi mahakama za kadhi zinamsaidiaje mtz ambaye sio muislamuu na ambaye amwamin Mungu kwa mfano? Na la pili hizo Mou zinazotengezwa na serikali kupelekaa hela kwenye mashirika ya Dini naomba uzitaje as far as in know kuna PPP privat And Public partnership za Hospital za Mission zinazopokea grants kutoka serikalini kuwahudumia watz wote regardless of their faith nimejaribu kuuliza na nikaambiwa kuwa mahakama ya kadhi inaendeshwa kwa misingi ya shariah law na tunaona Nchi nyingi zilizopo Afrika zinazoendeshwa kwa misingi ya shariah law ndio zenye worst Record of human rights eg Sudan na northern Nigeria kwahiyo Said kama mtz mwenzangu Bado haujaniconvince You can have your mahakama ya kadhi but not with Tax Money sorry!!!!
Hiv wewe bibi unajitambua? Hii mahakama ikipitishwa lazima upgwe mawe mpaka ufe sababu uko kinyume kabisa na taratibu zao, kwanza hutaruhusiwa kubonyeza hata hyo keyboard, we jishaue tu.
Hii kitu wanapoteza muda labda waombe kitu ingine!!!!!!
Ata mimi nashangaa kwakweli kwanini wasipangiane kama kuchinjana wachinjane wenyewe
Kweli Waislamu Pumbavu nyeeeeee, cha kufanya hapa tuikatae Katiba, sasa hakuna kubembeleza mtu, kazi aliyofanya kikwete ni kuwaweka katika nafasi mbalimbali za Madaraka bila kujali sifa mlizonazo, ilikuwa mradi ni Mwislamu, hatutakubali tena kosa kama hili huyu ametupa funzo.
Tanzania government is secular it has Always Been And it will Keep on being that Way have ni hatred kwa mtu yoyote muislamuu but we cannot allow our taxpayer Money to Fund Ideals we dont believe in Sorry Never
Hahahahahahahaha jk mjanja
waombe waboreshewe chuo kikuu cha morogoro ili wapate Elimu nzuri, Maana tangu walipopewa hawajaongeza kitu chochote bali kinazidi kuwa kichafu.
Elimu ya bure:
Hakuna nchi inayoitwa Bukinabe.
Nchi ni Burkina Faso; mwananchi wa Burkina Faso anaitwa Burkinabe.
Hapa wapumbavu ni CCM walioweka mpaka kwenye ilani yao ya uchaguzi ya 2005 kuwa waislam wamchague Kikwete ataanzisha mahakama ya Kadhi. Maana huko siku za nyuma walipokuwepo Marais wazalendo na viongozi wa Waislam wanaojali umoja wa Kitaifa hutukuwahi kusikia hizi kelele za Mahakama ya Kadhi. Mbinu mbovu za Kikwete za kushinda uchaguzi zimeleta hisia za udini. Hii ni kasoro kubwa za uongozi wa Kikwete.
Mkuu kuna muda tuna chat na majini humu!
SWALI KWA MOHAMED SAID & JAMIIFORUMS MEMBERS:Huu ni udhaifu wa Quran kushindwa kutenganisha dini na siasa. Wnadamu tujitambue. Tuache kung'ang'ania vitu visivyowezekana eti kisa vimeandikwa kwenye vitabu vitakatifu. Vitabu vyenye vya wazungu na waarabu kulinda milki zao za kisiasa na maslahi.
Utaniambieaje hivi vitabu viko sahihi wakati kwa mkono mmoja vinatamka amani lakini kwa mkono wa kushoto vimeshika bundiki na mabomu? Hivi kwanini tunakuwa wajinga tusijue huu ulikuwa mpango wa mtu kutumia dini kupata madaraka kwa nguvu na kutawala kwa ubabe? Kwani hatuoni ubabe wao umeharibu nchi zao na watu wanahangaika? Hiyo amani iko wapi? Tunapoona vijana wanafanya uhalifu unaozidi ujambazi na uujai wa kawaida. Wakifanya huo uhalifu eti wanasema Mungu mkubwa kwanini tusijue hakuna Mungu hapo ni ulaghai tu? Hizi dini mnazong'ang'ania na dini za babu zetu si bora dini za babu zetu zilikuwa za amani na upendo kuliko hizi dini za kihalifu?
Sasa mnataka mahakama ya kadhi lakini bila kureason kuwa unachokitaka kinakuhusu wewe na dini yako na serikali inayohusisha jamii nzima haiwezi kuhusika, itawezekanaje? Yaani hata vitu ambavyo haviwezekani katika fikra za binadamu wewe unalazimisha iwe hivyo na unavyotaka. Ndio maana CCM wanawatumia tu na haitakuja serikali yoyote ambayo haitawatumia kwa kuwa hamtaki kukubali ukweli kuwa katika nchi hii iliyokuwa na waislamu na wengine wengi wakiwa si waislamu si rahisi kutimiza takwa la mahakama ya kadhi. Mtadanganywa mpaka lini? Ukweli ni hivi serikali haiwezi kukubali kuwapa mahakama ya kadhi. Hiyo itakuwa ni tiketi ya kukataliwa na sehemu nyingine ya jamii isiyokuwa waislamu. Kwa hivyo inachokifanya serikali ndicho hicho kinachowezekana lakini kwamba mahakama ya kadhi kugharimiwa na serikali hiyo ni tiketi ya serikali hiyo kuondoka madarakani. CCM hawatakubali hiyo ndio maana wanawapigeni chenga. Usilinganishe Zanzibara na Tanzania bara ni vitu viwili tofauti na nyie mnalijua hilo.
kwa hiyo umekubaliana na mimi kwamba Kanisa sio dini? Kwa nini mnawaomba makafir wawapangie kawaida yenu ya ibada!? Muham mad wapi aliomba makafir wampangie taratibu ya ibada?