Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

Status
Not open for further replies.
Tanzania government is secular it has Always Been And it will Keep on being that Way have ni hatred kwa mtu yoyote muislamuu but we cannot allow our taxpayer Money to Fund Ideals we dont believe in Sorry Never
 
pumbavu sana waislam wa nchi hii, japo sio wote,walitembeza vitabu misikitini kuamasisha tumchague kikwete muislam mwenzetu ili atupatie mahakama ya kadhi eti,,,,,leo kikwete anamaliza awamu yake hamna cha MAHAKAMA ya kazi wala ya biashara,,,,,,,

Hahahahahahahaha jk mjanja
 
Elimu ya bure:
Hakuna nchi inayoitwa Bukinabe.
Nchi ni Burkina Faso; mwananchi wa Burkina Faso anaitwa Burkinabe.

mamlaka ki2 gani,,,mhm ni kwamba wanaoongea wana wafuasi...kwani vijana waliompindua COMPAORE kule Bukinabe walikuwa na mamlaka gani......
 
Hapa wapumbavu ni CCM walioweka mpaka kwenye ilani yao ya uchaguzi ya 2005 kuwa waislam wamchague Kikwete ataanzisha mahakama ya Kadhi. Maana huko siku za nyuma walipokuwepo Marais wazalendo na viongozi wa Waislam wanaojali umoja wa Kitaifa hutukuwahi kusikia hizi kelele za Mahakama ya Kadhi. Mbinu mbovu za Kikwete za kushinda uchaguzi zimeleta hisia za udini. Hii ni kasoro kubwa za uongozi wa Kikwete.
 
Huu ni udhaifu wa Quran kushindwa kutenganisha dini na siasa. Wnadamu tujitambue. Tuache kung'ang'ania vitu visivyowezekana eti kisa vimeandikwa kwenye vitabu vitakatifu. Vitabu vyenye vya wazungu na waarabu kulinda milki zao za kisiasa na maslahi.
Utaniambieaje hivi vitabu viko sahihi wakati kwa mkono mmoja vinatamka amani lakini kwa mkono wa kushoto vimeshika bundiki na mabomu? Hivi kwanini tunakuwa wajinga tusijue huu ulikuwa mpango wa mtu kutumia dini kupata madaraka kwa nguvu na kutawala kwa ubabe? Kwani hatuoni ubabe wao umeharibu nchi zao na watu wanahangaika? Hiyo amani iko wapi? Tunapoona vijana wanafanya uhalifu unaozidi ujambazi na uujai wa kawaida. Wakifanya huo uhalifu eti wanasema Mungu mkubwa kwanini tusijue hakuna Mungu hapo ni ulaghai tu? Hizi dini mnazong'ang'ania na dini za babu zetu si bora dini za babu zetu zilikuwa za amani na upendo kuliko hizi dini za kihalifu?
Sasa mnataka mahakama ya kadhi lakini bila kureason kuwa unachokitaka kinakuhusu wewe na dini yako na serikali inayohusisha jamii nzima haiwezi kuhusika, itawezekanaje? Yaani hata vitu ambavyo haviwezekani katika fikra za binadamu wewe unalazimisha iwe hivyo na unavyotaka. Ndio maana CCM wanawatumia tu na haitakuja serikali yoyote ambayo haitawatumia kwa kuwa hamtaki kukubali ukweli kuwa katika nchi hii iliyokuwa na waislamu na wengine wengi wakiwa si waislamu si rahisi kutimiza takwa la mahakama ya kadhi. Mtadanganywa mpaka lini? Ukweli ni hivi serikali haiwezi kukubali kuwapa mahakama ya kadhi. Hiyo itakuwa ni tiketi ya kukataliwa na sehemu nyingine ya jamii isiyokuwa waislamu. Kwa hivyo inachokifanya serikali ndicho hicho kinachowezekana lakini kwamba mahakama ya kadhi kugharimiwa na serikali hiyo ni tiketi ya serikali hiyo kuondoka madarakani. CCM hawatakubali hiyo ndio maana wanawapigeni chenga. Usilinganishe Zanzibara na Tanzania bara ni vitu viwili tofauti na nyie mnalijua hilo.
 
mamlaka ki2 gani,,,mhm ni kwamba wanaoongea wana wafuasi...kwani vijana waliompindua COMPAORE kule Bukinabe walikuwa na mamlaka gani......

kwa hiyo umekubaliana na mimi kwamba Kanisa sio dini? Kwa nini mnawaomba makafir wawapangie kawaida yenu ya ibada!? Muham mad wapi aliomba makafir wampangie taratibu ya ibada?

Mimi sina shida kama ntakatwaa kodi ikaenda kujenga zahanati na kununua madawa vijijini na kujenga barabara zitakazowasaidia watz wote bila kujali Dini,kabila rangi na jinsiaa naomba tuongee kwa Facts hizi mahakama za kadhi zinamsaidiaje mtz ambaye sio muislamuu na ambaye amwamin Mungu kwa mfano? Na la pili hizo Mou zinazotengezwa na serikali kupelekaa hela kwenye mashirika ya Dini naomba uzitaje as far as in know kuna PPP privat And Public partnership za Hospital za Mission zinazopokea grants kutoka serikalini kuwahudumia watz wote regardless of their faith nimejaribu kuuliza na nikaambiwa kuwa mahakama ya kadhi inaendeshwa kwa misingi ya shariah law na tunaona Nchi nyingi zilizopo Afrika zinazoendeshwa kwa misingi ya shariah law ndio zenye worst Record of human rights eg Sudan na northern Nigeria kwahiyo Said kama mtz mwenzangu Bado haujaniconvince You can have your mahakama ya kadhi but not with Tax Money sorry!!!!

Hiv wewe bibi unajitambua? Hii mahakama ikipitishwa lazima upgwe mawe mpaka ufe sababu uko kinyume kabisa na taratibu zao, kwanza hutaruhusiwa kubonyeza hata hyo keyboard, we jishaue tu.

Hii kitu wanapoteza muda labda waombe kitu ingine!!!!!!

Ata mimi nashangaa kwakweli kwanini wasipangiane kama kuchinjana wachinjane wenyewe

Kweli Waislamu Pumbavu nyeeeeee, cha kufanya hapa tuikatae Katiba, sasa hakuna kubembeleza mtu, kazi aliyofanya kikwete ni kuwaweka katika nafasi mbalimbali za Madaraka bila kujali sifa mlizonazo, ilikuwa mradi ni Mwislamu, hatutakubali tena kosa kama hili huyu ametupa funzo.

Tanzania government is secular it has Always Been And it will Keep on being that Way have ni hatred kwa mtu yoyote muislamuu but we cannot allow our taxpayer Money to Fund Ideals we dont believe in Sorry Never

Hahahahahahahaha jk mjanja

waombe waboreshewe chuo kikuu cha morogoro ili wapate Elimu nzuri, Maana tangu walipopewa hawajaongeza kitu chochote bali kinazidi kuwa kichafu.

Elimu ya bure:
Hakuna nchi inayoitwa Bukinabe.
Nchi ni Burkina Faso; mwananchi wa Burkina Faso anaitwa Burkinabe.

Hapa wapumbavu ni CCM walioweka mpaka kwenye ilani yao ya uchaguzi ya 2005 kuwa waislam wamchague Kikwete ataanzisha mahakama ya Kadhi. Maana huko siku za nyuma walipokuwepo Marais wazalendo na viongozi wa Waislam wanaojali umoja wa Kitaifa hutukuwahi kusikia hizi kelele za Mahakama ya Kadhi. Mbinu mbovu za Kikwete za kushinda uchaguzi zimeleta hisia za udini. Hii ni kasoro kubwa za uongozi wa Kikwete.

Mkuu kuna muda tuna chat na majini humu!

Huu ni udhaifu wa Quran kushindwa kutenganisha dini na siasa. Wnadamu tujitambue. Tuache kung'ang'ania vitu visivyowezekana eti kisa vimeandikwa kwenye vitabu vitakatifu. Vitabu vyenye vya wazungu na waarabu kulinda milki zao za kisiasa na maslahi.
Utaniambieaje hivi vitabu viko sahihi wakati kwa mkono mmoja vinatamka amani lakini kwa mkono wa kushoto vimeshika bundiki na mabomu? Hivi kwanini tunakuwa wajinga tusijue huu ulikuwa mpango wa mtu kutumia dini kupata madaraka kwa nguvu na kutawala kwa ubabe? Kwani hatuoni ubabe wao umeharibu nchi zao na watu wanahangaika? Hiyo amani iko wapi? Tunapoona vijana wanafanya uhalifu unaozidi ujambazi na uujai wa kawaida. Wakifanya huo uhalifu eti wanasema Mungu mkubwa kwanini tusijue hakuna Mungu hapo ni ulaghai tu? Hizi dini mnazong'ang'ania na dini za babu zetu si bora dini za babu zetu zilikuwa za amani na upendo kuliko hizi dini za kihalifu?
Sasa mnataka mahakama ya kadhi lakini bila kureason kuwa unachokitaka kinakuhusu wewe na dini yako na serikali inayohusisha jamii nzima haiwezi kuhusika, itawezekanaje? Yaani hata vitu ambavyo haviwezekani katika fikra za binadamu wewe unalazimisha iwe hivyo na unavyotaka. Ndio maana CCM wanawatumia tu na haitakuja serikali yoyote ambayo haitawatumia kwa kuwa hamtaki kukubali ukweli kuwa katika nchi hii iliyokuwa na waislamu na wengine wengi wakiwa si waislamu si rahisi kutimiza takwa la mahakama ya kadhi. Mtadanganywa mpaka lini? Ukweli ni hivi serikali haiwezi kukubali kuwapa mahakama ya kadhi. Hiyo itakuwa ni tiketi ya kukataliwa na sehemu nyingine ya jamii isiyokuwa waislamu. Kwa hivyo inachokifanya serikali ndicho hicho kinachowezekana lakini kwamba mahakama ya kadhi kugharimiwa na serikali hiyo ni tiketi ya serikali hiyo kuondoka madarakani. CCM hawatakubali hiyo ndio maana wanawapigeni chenga. Usilinganishe Zanzibara na Tanzania bara ni vitu viwili tofauti na nyie mnalijua hilo.
SWALI KWA MOHAMED SAID & JAMIIFORUMS MEMBERS:

Hivi BAKWATA si ni NGO kama NGO zingine?

Lini BAKWATA ilipewa mandate ya kuwakilisha waislam wote Tanzania?

Lini Waislam wa Tanzania waliwapa mandate BAKWATA iwawakilishe?

What if Musilam hataki kuwafuata hawa BAKWATA je serikali itamshitaki au?
 
kwa hiyo umekubaliana na mimi kwamba Kanisa sio dini? Kwa nini mnawaomba makafir wawapangie kawaida yenu ya ibada!? Muham mad wapi aliomba makafir wampangie taratibu ya ibada?

Nikukatalie na wewe ndiyo unasema kuwa Kanisa halina dini? Na hicho ndicho nnacho kijuwa mimi na wewe umekiri na unasomeka kukiri kwako kuwa Kanisa halina dini. Kwanini nikupinge kwa hilo? Unanchekesha.
 
Kuna uhakika mkubwa wa kuwa kuna kashfa kubwa sana zinategemea kuibuliwa katika bunge hili ikiwepo ya Wazir Mkuu Pinda na Sukari pia na Jengo ambalo watu wamelifanyia ufisadi. kuna baadhi ya wabunge wamewekwa mifukoni tayari kwa kupewa pesa na kupewa maelekezo ya utetezi na ikibidi kuharibu kabisa majadiliano ambayo yatakuwepo dhidi ya wahusika. Pinda amekuwa akijitahidi kila mara linapotokea jambo kuwatumia wabunge fulani fulani kumbeba kwa kuahidi kuwa naye atawakumbuka akiingia kwnye ufalme wake. Baada ya kuokolewa kwenye suala la escrow na watanzania kwa usahaulifu wetu limekuja kuibuka suala lingine la kashfa ya sukari. Ndugu pinda amekuwa akikusanya pesa kujiandaa na Urais 2015 hivyo kwa hali na mali anapigana kuona kuwa anapata pesa za kumsaidia ili aweze kufika huko.

safarii hii ili kuziba kashfa hii limeletwa suala la mahakama ya kadhi. hili litawagawa wabunge kwa minajili ya imani zao. hivyo watapoteza mshikamano katika mambo ya msingi na kugeukana wenyewe kwa wenyewe huku CCM Mafisadi wakifurahia kwa kuwa hoja ya msingi yenye manufaa kwa taifa itasahauliwa. watu watashiakana suit na kanzu na kuchaniana kwa mising ya Dini na kuacha kujadili namna watu wanavyoiba pesa za walalahoi hawa maskini. huu mkakati umesukwa kwa umakini sana ikiwa ni pamoja na kuwanunua wabunge wengi wasiojielewa na wale ambao wanajua kwa kias kikubwa hawatarud tena bungen. hivyo hawana cha kupoteza isipokuwa kujikusanyia pesa.

watanzania tujaribu kuliangalia hili kwa makini ili wasitutoe kwnye jambo la msing la kitaifa na kutugonganisha vchwa huku wao wakiendelea na ufisadi wao.

tuanze kwanza na suala la Ufisadi mpaka mwisho halafu tuje kudajiliana hayo mambo ya mahakama ya kadhi.
 
  • Thanks
Reactions: jme
Hiii kashfa ya sukari haitamwacha Pinda akiwa salama. Muhongo amekimbia kitanzi cha bomba la gesi lakini hapa pia pinda hawezi kupona.
 
Salaam,
Kwa jinsi mkataba wa dipi weldi ulivyo ibua hisia kali za kidini,
huku hoja ya msingi ikiwekwa kando.

Je, kutokana na hali hiyo, kuna siku Tanzania tunaweza kua na Mahakama ya kadhi inayotambuliwa na katiba hususani baada ya mchakato wa katiba mpya kufufuliwa tena baada ya kukwama 2015?

Au itakua ni kuchanganya dini na siasa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom