Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Akawekeze Zanzibar au Zanzibar hawataki faida kubwa?Tatizo lilianzia Hapa, na DP alitanguliza humanitarian aids kuwawin Muslims ili anapkuja kuiba Mali zetu wamtetee
View: https://youtu.be/D2POHltursg
Mfumo waawasiliano wa kanisa ni tofauti sana kuliko unavyoutazama. Jumamosi kanisa Katoliki inakutana Tanzania nzima katika ngazi ya jumuiya. Hivyo upatikanaji na ufikishaji wa taarifa ni kama umeme! Kesho Tanzania Catholic Church Kwa wakati mmoja inapata taarifa Moja bila filtering! Huo ndio mfumoKura ndio sauti ya wengi, ikiitishwa kura ya maoni tutajua sauti ya wengi ni ya wakina nani? Wanaopinga au wanaokubali?
Chawa tafuteni kazi za kufanya wajinga wakubwa nyie, baraza la maaskofu lina wasomi wa kila aina na jamaa wanafanya tafiti kabla ya kuongea, NO DP WOLRD hatuitaki sisi, rushwa mliyopewa rudisheni.
Ndio mana tunasema great minds discuss issues while weak minds discuss people! Ushahidi ndio huo hapo.Halafu ukimuangalia hata yeye mwenyewe sio msafi ukute mtaani kwake wake/wame za watu ndio shughuli yake
Pelekeni Zanzibar, kwani Zanzibar hamtaki faida kubwa kutoka kwa DP World?Sema wewe hautaki,wengine tunataka.
Maaskofu wenyew ndo akina gwajiboy aka mkono wa baunsa [emoji23][emoji23]
Sipingi kuhusu uanadamu wao, lakini kwa hili la DPW, kitendo cha WAO kuweka vifungu vyenye makosa, nyie mnaowapinga mngeweka hoja za kupinga uchambuzi wao..!! Kama issue ni ubinadamu wao, BASI USISAHAU RAIS NAYE NI BINADAMU HIVYO KAFANYA MAKOSA KUSAINI MKATABA ULE..!!Kuna aina mbili za mitazamo ya watu juu ya viongozi wa dini:
Aina ya kwanza wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu kamili na wenye ukamilifu wote, kunena mpaka kutenda kwao ni kwa ukamilifu. Hawakosei lolote
Aina ya pili wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu wa kawaida, wanatenda makosa kama wengine ila ukubwa wa makosa unatofautiana na wengine.
Mitazamo ya makundi yote mamili ndio imechangia pakubwa kuwaamini viongozi wa dini na sauti zao kutumika kwenye mengi lakini sio mara zote SAUTI ZAO ni ujumbe wa kinabii.
Baada ya utangulizi huo, niseme machache yafuatayo:
Tunawaamini viongozi wa dini katika mengi ila sio katika yote Kwa sababu nao ni wanadamu wa kawaida.
Kama wanadamu wanakosea katika mengi hivyo kuna hati hati wenye mtazamo wa kundi la kwanza juu ya viongozi wa dini wakaingizwa kwenye makosa ya kuwaamini.
Juu ya suala la uwekezaji bandari, mtazamo na maoni ya baraza la Maaskofu unaweza kuwa ni Moja ya makosa maana nao ni binadamu.
Sipingani na viongozi wa dini Kwa Imani zao bali napingana nao Kwa ubinadamu wao. Kabla ya kuwa kiongozi wa dini alikuwa ni binadamu wa kawaida, hawezi kuacha kuwa binadamu wa kawaida baada ya kuwa kiongozi wa dini.
Maswali ninayojiuliza ambayo natamani TEC waje wayajibu:
Je, ikitokea kutokana na tafsiri na uelewa ,wanachopinga kikawa sio kweli watakuja kuupinga waraka wao?
Je, licha ya yote kukiwa na faida katika uwekezaji huo watapinga waraka wao?
Je, ikiitishwa kura ya maoni Leo, kujua wanaopinga na wanaokubali uwekezaji wapi wengi, na ikaonekana wanaokubali ni wengi watapinga waraka wao?
Ndio maana nimesema Baraza la Maaskofu nao ni wanadamu wa kawaida, wanakosea katika mengi hata hili la waraka ni Moja ya makosa.
Kumbuka hao TEC licha ya kuwa maaskofu ni wasomi.Kuna aina mbili za mitazamo ya watu juu ya viongozi wa dini:

Kabisa yaani tunazungumzia tamko mtu anatoka huko na kucomment mambo binafsi ya mtu na ukishaona mtu anafanya hivyo ujue kashindwa kaamua kuattackNdio mana tunasema great minds discuss issues while weak minds discuss people! Ushahidi ndio huo hapo.
Waafrica wapi? leo unajifanya wazungu huwajui ,na nyie ndo mlikataa uhuru ili muendelee kukaa na wazungu .Wacha kujitoa akili hao waarabu sio ndugu zako kuwa muislam kusikufanye kuwa mjinga kwa waarabu dhidi ya ndugu zako waafrika wa hapa labda kama unatafuta kuolewa na hao waarabu
Uliwahi kusikia waraka wa bakwata kuhusu pesa za escrow walizokulaga?Uliwahi kusikia waraka kuhusu pesa za escrow walizokulaga?
Werema aliyemwita jamaa Ngedere ?!!!JK na Werema walisema zile ni pesa za Rugemalira πππ₯π₯
Hoja hapa ni TEC mabingwa wa kutoa warakaUliwahi kusikia waraka wa bakwata kuhusu pesa za escrow walizokulaga?
We jamaa ni Mbatata sana. Wapi wamepinga uwekezaji?Kuna aina mbili za mitazamo ya watu juu ya viongozi wa dini:
Aina ya kwanza wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu kamili na wenye ukamilifu wote, kunena mpaka kutenda kwao ni kwa ukamilifu. Hawakosei lolote
Aina ya pili wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu wa kawaida, wanatenda makosa kama wengine ila ukubwa wa makosa unatofautiana na wengine.
Mitazamo ya makundi yote mamili ndio imechangia pakubwa kuwaamini viongozi wa dini na sauti zao kutumika kwenye mengi lakini sio mara zote SAUTI ZAO ni ujumbe wa kinabii.
Baada ya utangulizi huo, niseme machache yafuatayo:
Tunawaamini viongozi wa dini katika mengi ila sio katika yote Kwa sababu nao ni wanadamu wa kawaida.
Kama wanadamu wanakosea katika mengi hivyo kuna hati hati wenye mtazamo wa kundi la kwanza juu ya viongozi wa dini wakaingizwa kwenye makosa ya kuwaamini.
Juu ya suala la uwekezaji bandari, mtazamo na maoni ya baraza la Maaskofu unaweza kuwa ni Moja ya makosa maana nao ni binadamu.
Sipingani na viongozi wa dini Kwa Imani zao bali napingana nao Kwa ubinadamu wao. Kabla ya kuwa kiongozi wa dini alikuwa ni binadamu wa kawaida, hawezi kuacha kuwa binadamu wa kawaida baada ya kuwa kiongozi wa dini.
Maswali ninayojiuliza ambayo natamani TEC waje wayajibu:
Je, ikitokea kutokana na tafsiri na uelewa ,wanachopinga kikawa sio kweli watakuja kuupinga waraka wao?
Je, licha ya yote kukiwa na faida katika uwekezaji huo watapinga waraka wao?
Je, ikiitishwa kura ya maoni Leo, kujua wanaopinga na wanaokubali uwekezaji wapi wengi, na ikaonekana wanaokubali ni wengi watapinga waraka wao?
Ndio maana nimesema Baraza la Maaskofu nao ni wanadamu wa kawaida, wanakosea katika mengi hata hili la waraka ni Moja ya makosa.
Sorry nadhani nimesahau hakuwa Werema ππWerema aliyemwita jamaa Ngedere ?!!!
Maendeleo gani watakuletea waarabu wewe jitu jingaWaafrica wapi? leo unajifanya wazungu huwajui ,na nyie ndo mlikataa uhuru ili muendelee kukaa na wazungu .
Hapa tunataka maendeleo sio ngonjera na porojo za vikundi vyenu .... Serikali haina dini na wala haitambui dini .
Kwani wanachukua nchi nzima?Maendeleo gani watakuletea waarabu wewe jitu jinga
Kumuacha mwendazake atutawale kwa mkono wa chuma na waraka hawakutoa.ππ
Kwingine wapi waliwahi kukosea?
Kwenye kula hela haramu za escrow!!![emoji3][emoji3]
Kwingine wapi waliwahi kukosea?
1. Ni kweli ni wanadamu, "wanaweza" kukosea. Waliofanya maamuzi ya kugawa bandari zetu Watanganyika Kwa kuuandaa huo uchafu unaitwa mkataba, wao ni miungu au malaika kiasi kuwa hawawezi kukosea?Baraza la Maaskofu nao ni wanadamu wa kawaida, wanakosea katika mengi hata hili la waraka ni Moja ya makosa.Maswali ninayojiuliza ambayo natamani TEC waje wayajibu:
Wewe unaishi wapi?Je, ikitokea kutokana na tafsiri na uelewa ,wanachopinga kikawa sio kweli watakuja kuupinga waraka wao?
Ziko wapi?Je, licha ya yote kukiwa na faida katika uwekezaji huo watapinga waraka wao?
Thubutu..!Je, ikiitishwa kura ya maoni Leo, kujua wanaopinga na wanaokubali uwekezaji wapi wengi, na ikaonekana wanaokubali ni wengi watapinga waraka wao?
Kama wamekosea, basi shida yenu ni nini? Si wapuuzeni tu na muendelee na mission yenu?Baraza la Maaskofu nao ni wanadamu wa kawaida, wanakosea katika mengi hata hili la waraka ni Moja ya makosa.