Baraza la Maaskofu ni wanadamu, wanakosea kwenye mengi hata waraka wao kupinga uwekezaji wa bandari ni makosa.

Kura ndio sauti ya wengi, ikiitishwa kura ya maoni tutajua sauti ya wengi ni ya wakina nani? Wanaopinga au wanaokubali?
Mfumo waawasiliano wa kanisa ni tofauti sana kuliko unavyoutazama. Jumamosi kanisa Katoliki inakutana Tanzania nzima katika ngazi ya jumuiya. Hivyo upatikanaji na ufikishaji wa taarifa ni kama umeme! Kesho Tanzania Catholic Church Kwa wakati mmoja inapata taarifa Moja bila filtering! Huo ndio mfumo
 
Chawa tafuteni kazi za kufanya wajinga wakubwa nyie, baraza la maaskofu lina wasomi wa kila aina na jamaa wanafanya tafiti kabla ya kuongea, NO DP WOLRD hatuitaki sisi, rushwa mliyopewa rudisheni.

Sema wewe hautaki,wengine tunataka.

Maaskofu wenyew ndo akina gwajiboy aka mkono wa baunsa [emoji23][emoji23]
 
Kuna aina mbili za mitazamo ya watu juu ya viongozi wa dini:

Aina ya kwanza wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu kamili na wenye ukamilifu wote, kunena mpaka kutenda kwao ni kwa ukamilifu. Hawakosei lolote

Aina ya pili wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu wa kawaida, wanatenda makosa kama wengine ila ukubwa wa makosa unatofautiana na wengine.

Mitazamo ya makundi yote mamili ndio imechangia pakubwa kuwaamini viongozi wa dini na sauti zao kutumika kwenye mengi lakini sio mara zote SAUTI ZAO ni ujumbe wa kinabii.

Baada ya utangulizi huo, niseme machache yafuatayo:

Tunawaamini viongozi wa dini katika mengi ila sio katika yote Kwa sababu nao ni wanadamu wa kawaida.

Kama wanadamu wanakosea katika mengi hivyo kuna hati hati wenye mtazamo wa kundi la kwanza juu ya viongozi wa dini wakaingizwa kwenye makosa ya kuwaamini.

Juu ya suala la uwekezaji bandari, mtazamo na maoni ya baraza la Maaskofu unaweza kuwa ni Moja ya makosa maana nao ni binadamu.

Sipingani na viongozi wa dini Kwa Imani zao bali napingana nao Kwa ubinadamu wao. Kabla ya kuwa kiongozi wa dini alikuwa ni binadamu wa kawaida, hawezi kuacha kuwa binadamu wa kawaida baada ya kuwa kiongozi wa dini.

Maswali ninayojiuliza ambayo natamani TEC waje wayajibu:

Je, ikitokea kutokana na tafsiri na uelewa ,wanachopinga kikawa sio kweli watakuja kuupinga waraka wao?

Je, licha ya yote kukiwa na faida katika uwekezaji huo watapinga waraka wao?

Je, ikiitishwa kura ya maoni Leo, kujua wanaopinga na wanaokubali uwekezaji wapi wengi, na ikaonekana wanaokubali ni wengi watapinga waraka wao?

Ndio maana nimesema Baraza la Maaskofu nao ni wanadamu wa kawaida, wanakosea katika mengi hata hili la waraka ni Moja ya makosa.
Sipingi kuhusu uanadamu wao, lakini kwa hili la DPW, kitendo cha WAO kuweka vifungu vyenye makosa, nyie mnaowapinga mngeweka hoja za kupinga uchambuzi wao..!! Kama issue ni ubinadamu wao, BASI USISAHAU RAIS NAYE NI BINADAMU HIVYO KAFANYA MAKOSA KUSAINI MKATABA ULE..!!
 
Kuna aina mbili za mitazamo ya watu juu ya viongozi wa dini:

Aina ya kwanza wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu kamili na wenye ukamilifu wote, kunena mpaka kutenda kwao ni kwa ukamilifu. Hawakosei lolote

Aina ya pili wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu wa kawaida, wanatenda makosa kama wengine ila ukubwa wa makosa unatofautiana na wengine.

Mitazamo ya makundi yote mamili ndio imechangia pakubwa kuwaamini viongozi wa dini na sauti zao kutumika kwenye mengi lakini sio mara zote SAUTI ZAO ni ujumbe wa kinabii.

Baada ya utangulizi huo, niseme machache yafuatayo:

Tunawaamini viongozi wa dini katika mengi ila sio katika yote Kwa sababu nao ni wanadamu wa kawaida.

Kama wanadamu wanakosea katika mengi hivyo kuna hati hati wenye mtazamo wa kundi la kwanza juu ya viongozi wa dini wakaingizwa kwenye makosa ya kuwaamini.

Juu ya suala la uwekezaji bandari, mtazamo na maoni ya baraza la Maaskofu unaweza kuwa ni Moja ya makosa maana nao ni binadamu.

Sipingani na viongozi wa dini Kwa Imani zao bali napingana nao Kwa ubinadamu wao. Kabla ya kuwa kiongozi wa dini alikuwa ni binadamu wa kawaida, hawezi kuacha kuwa binadamu wa kawaida baada ya kuwa kiongozi wa dini.

Maswali ninayojiuliza ambayo natamani TEC waje wayajibu:

Je, ikitokea kutokana na tafsiri na uelewa ,wanachopinga kikawa sio kweli watakuja kuupinga waraka wao?

Je, licha ya yote kukiwa na faida katika uwekezaji huo watapinga waraka wao?

Je, ikiitishwa kura ya maoni Leo, kujua wanaopinga na wanaokubali uwekezaji wapi wengi, na ikaonekana wanaokubali ni wengi watapinga waraka wao?

Ndio maana nimesema Baraza la Maaskofu nao ni wanadamu wa kawaida, wanakosea katika mengi hata hili la waraka ni Moja ya makosa.
Kumbuka hao TEC licha ya kuwa maaskofu ni wasomi.
Huwezi kubinafsisha bandari milele. Ni kichaa tu anayeweza kufanya hivyo
 
Ndio mana tunasema great minds discuss issues while weak minds discuss people! Ushahidi ndio huo hapo.
Kabisa yaani tunazungumzia tamko mtu anatoka huko na kucomment mambo binafsi ya mtu na ukishaona mtu anafanya hivyo ujue kashindwa kaamua kuattack
 
Wacha kujitoa akili hao waarabu sio ndugu zako kuwa muislam kusikufanye kuwa mjinga kwa waarabu dhidi ya ndugu zako waafrika wa hapa labda kama unatafuta kuolewa na hao waarabu
Waafrica wapi? leo unajifanya wazungu huwajui ,na nyie ndo mlikataa uhuru ili muendelee kukaa na wazungu .

Hapa tunataka maendeleo sio ngonjera na porojo za vikundi vyenu .... Serikali haina dini na wala haitambui dini .
 
Kuna aina mbili za mitazamo ya watu juu ya viongozi wa dini:

Aina ya kwanza wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu kamili na wenye ukamilifu wote, kunena mpaka kutenda kwao ni kwa ukamilifu. Hawakosei lolote

Aina ya pili wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu wa kawaida, wanatenda makosa kama wengine ila ukubwa wa makosa unatofautiana na wengine.

Mitazamo ya makundi yote mamili ndio imechangia pakubwa kuwaamini viongozi wa dini na sauti zao kutumika kwenye mengi lakini sio mara zote SAUTI ZAO ni ujumbe wa kinabii.

Baada ya utangulizi huo, niseme machache yafuatayo:

Tunawaamini viongozi wa dini katika mengi ila sio katika yote Kwa sababu nao ni wanadamu wa kawaida.

Kama wanadamu wanakosea katika mengi hivyo kuna hati hati wenye mtazamo wa kundi la kwanza juu ya viongozi wa dini wakaingizwa kwenye makosa ya kuwaamini.

Juu ya suala la uwekezaji bandari, mtazamo na maoni ya baraza la Maaskofu unaweza kuwa ni Moja ya makosa maana nao ni binadamu.

Sipingani na viongozi wa dini Kwa Imani zao bali napingana nao Kwa ubinadamu wao. Kabla ya kuwa kiongozi wa dini alikuwa ni binadamu wa kawaida, hawezi kuacha kuwa binadamu wa kawaida baada ya kuwa kiongozi wa dini.

Maswali ninayojiuliza ambayo natamani TEC waje wayajibu:

Je, ikitokea kutokana na tafsiri na uelewa ,wanachopinga kikawa sio kweli watakuja kuupinga waraka wao?

Je, licha ya yote kukiwa na faida katika uwekezaji huo watapinga waraka wao?

Je, ikiitishwa kura ya maoni Leo, kujua wanaopinga na wanaokubali uwekezaji wapi wengi, na ikaonekana wanaokubali ni wengi watapinga waraka wao?

Ndio maana nimesema Baraza la Maaskofu nao ni wanadamu wa kawaida, wanakosea katika mengi hata hili la waraka ni Moja ya makosa.
We jamaa ni Mbatata sana. Wapi wamepinga uwekezaji?
 
Waafrica wapi? leo unajifanya wazungu huwajui ,na nyie ndo mlikataa uhuru ili muendelee kukaa na wazungu .

Hapa tunataka maendeleo sio ngonjera na porojo za vikundi vyenu .... Serikali haina dini na wala haitambui dini .
Maendeleo gani watakuletea waarabu wewe jitu jinga
 
Kwani wanachukua nchi nzima?

We mjinga hamna unachoelewa maana huji kitu ila mbishi ....Vitu kibao hapa bongo wanatengeneza watu wa nje .

Au unataka kufananisha maendeleo ya waarabu na wewe mtunza funguo za kanisa?
 
Baraza la Maaskofu nao ni wanadamu wa kawaida, wanakosea katika mengi hata hili la waraka ni Moja ya makosa.Maswali ninayojiuliza ambayo natamani TEC waje wayajibu:
1. Ni kweli ni wanadamu, "wanaweza" kukosea. Waliofanya maamuzi ya kugawa bandari zetu Watanganyika Kwa kuuandaa huo uchafu unaitwa mkataba, wao ni miungu au malaika kiasi kuwa hawawezi kukosea?

2. TEC imetumia reference ya vipengere vya mkataba wenyewe kuja na hitimisho kuwa mkataba huu haufai na hawauungi mkono..

3. Wewe mbona sasa unaokuja na "sweeping statements" tu za "wamekosea" bila kuonesha makosa yao kwa kutumia vipengere vya mkataba huohuo vilivyoanishwa? Au unafanya propaganda hapa???

Sema sasa wamekosea nini au wapi na usahihi wake ni upi?
Je, ikitokea kutokana na tafsiri na uelewa ,wanachopinga kikawa sio kweli watakuja kuupinga waraka wao?
Wewe unaishi wapi?

Itokee wapi wakati mkataba uko wazi na karibu kila mtu mwenye akili ameshausoma na kujiridhisha pasipo kuwa na shaka kuwa, hiyo kitu ni takataka sio mkataba?

Mkataba huwa ni lazima uoneshe manufaa na wajibu wa Kila upande unsosaini mkataba huo. Huu pamoja mapungufu mengine meeeengi unampa Dubai Ports World manufaa yote kwa kutumia mali na rasrimali yetu wenyewe!!!
Je, licha ya yote kukiwa na faida katika uwekezaji huo watapinga waraka wao?
Ziko wapi?

Acha maneno matupu ya "kukiwa na faida....". Ziwe wapi wakati mkataba wenyewe unajieleza na kujisemea??

Yote haya yanapaswa kuainishwa kwenye mkataba lakini hakuna popote tunapooneshwa kuwa tutapata faida hizi au zile zaidi ya maneno ya midomoni tu huku kilichosainiwa na kupitishwa ni kingine kabisa!

Sasa kama wewe unaziona hizo faida, waambie TEC kwa kuwaonesha kipengere hata kimoja kwenye mkataba kinachoainisha hizo faida.!!
Je, ikiitishwa kura ya maoni Leo, kujua wanaopinga na wanaokubali uwekezaji wapi wengi, na ikaonekana wanaokubali ni wengi watapinga waraka wao?
Thubutu..!

CCM si wajinga wajichome moto weyewe eti kwa kuitisha kura ya maoni kwa jambo ambalo wanajua fika kuwa halikubaliki na limekataliwa wananchi..!!

Ukitaka kuthibitisha hili hata kwa macho tu, fuatilia reaction ya umati mkubwa wa wananchi uliokuwa unajitokeza ktk mikutano ya CHADEMA moja ya agenda ikiwa ni hii ya mkataba wa bandari za Tanganyika...

Watu wameshalikataa hili ndugu KARLO MWILAPWA hata kama TEC isingetoa tamko lolote. Wenye macho na akili wameshaliona hili long time
Baraza la Maaskofu nao ni wanadamu wa kawaida, wanakosea katika mengi hata hili la waraka ni Moja ya makosa.
Kama wamekosea, basi shida yenu ni nini? Si wapuuzeni tu na muendelee na mission yenu?

Maaskofu wetu kupitia chombo chao cha TEC hajawajtoa order kwa serikali bali kilichotolewa ni
ushauri tu ambao ndani yake una msimamo wao kuwa, HAWAKUBALIANI MKATABA HUO wa kugawa rasrimali za Tanganyika Kwa waarabu wa Dubai kupitia kampuni yao ya DP World..

Serikali inaweza kuchukua ushauri huo au ikaendelea na mission yake halafu tutaonana mbele kwa mbele..!!
 
Back
Top Bottom