Tetesi: Baraza la Maaskofu (TEC)kukutana hivi karibuni

Chuki tuu
 
Kipindi cha Magu walikuwa wapi?
Magufuli alisaini Mikataba na Wazungu au Waarabu? Una mifano?

Alikuwa hata ana intertain Wawekezaji wa nje kuwekeza hapa nchini?

Zaidi ya kina Bakhresa...mpaka akawapa maekari ya mashamba wawekeze kwakuwa ni Wazawa
 
Chuki tuu

Hapana mkuu mbona walikuwa kimya? Ila sasa bibie nae kwenye hili inawezekana kakosea” cuz kama lengo ni zuri alikuwa awaagize wataalamu wake mkataba ugawiwe kwa hizi taasisi na watoe muda wakuzipitia then ndo tuna sign kama kuna maslahi kwa taifa.
Ila hili limekuja gafla na mtu akiuliza anaambiwa ni mkiristo..... hata ndugu zetu waislamu wapo na akili zakutosha kitu hakijaeleweka tunasimama wamoja kama watz....... hili sio tatizo lakidini useme mtatua msikitini hili nila taifa zima na mbaya zaidi linaweza kuwa athari kwa vizazi vyetu
 
Mbona uwekezaji wa gas ya Lindi waliyopewa wazungu hauzui sintofahamu!?..nyakati zimebadilika,siyo 70,80,90s hii,wao wakae,wanywe divai,wapige goti mbele ya sanamu,dp watapewa bandari
Kwahiyo, tuliwaandaa wanafunzi kupingana na mkataba wa ulaghai uliofanywa na Sultan Mangungo wa Msovero na Karl Peters dhidi ya Tanganyika na jambo hilo linapojirudia ukiwa na AKILI timamu unaliunga mkono.
Hapa maaskofu hawana INTEREST na VYEO ila wanataka mkataba uwe SPECIFIC ( time frame, areas of concentration, Marekebisho ya mkataba ( if required)). Na wakikosea wanyang'anywe siyo unaachwa tu, hata baba yako hakuvumilii hivyo.
 
Watakutana kuongea ziara yao ya majuzi huko Vatican.
 
Nadhan wakati nchi ilipojaa wasiojulikana walikuwa bado hawajazaliwa.
Ogopa sana mnafki ktk jamii
 
Hao Maaskofu enzi za Magu walipoteana mbona.wamerudi tena?
 
Mkataba ni wa uwazi sawa. Ndio tunaupinga hatuutaki tusilazimishwe
 
Tunahitaji neno moja tu kutoka kwao na nchi yetu itapona
 
Tangu lini Serikali Huwa inafanya hivyo?
 
Hukukuona magu wakati wa mkataba kati ya bariki na serikali si ilikuwa wazi kila mtu anaangalia?
 
Sawq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…