Tetesi: Baraza la Maaskofu (TEC)kukutana hivi karibuni

Kanisa Moja Takatifu la Mitume
 
Hakuna mhaya mjinga anayejipendekeza kwa Wazanzibari.

Jinga kabisa wewe ndio maana mpaka leo ni maskini kwakua huna akili.
Mimi tajiri sana na nina maisha mazuri sana kushinda wewe
 
Hawa mabwana Huwa wanajifanya Tanzania ni Mali Yao na Kila mara Rais akiwa Muislamu lazima walete chokochoko..

Ifike mahala upuuzi huu ukome
 
Waraka utatumwa kwa jumuiya ya wakatukumeni?
 
Mbona uwekezaji wa gas ya Lindi waliyopewa wazungu hauzui sintofahamu!?..nyakati zimebadilika,siyo 70,80,90s hii,wao wakae,wanywe divai,wapige goti mbele ya sanamu,dp watapewa bandari
Yaani wanakaa Kama nani yaani??? Kuna watu walivyojipa rights na hii nchi utafikiri yao....kama sio chokochoko hapo nini kingine chatafutwa!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Sijui wanachelewa nini, hapa ndipo utakapowaona mawakala wa shetani wanavyoanza kumwaga povu.

Tanganyika yetu imetekwa, lazima sote kwa pamoja tusimame kuikomboa kutoka mikononi mwa mwarabu, na serikali ya mkoloni wa Tanganyika.
Kwahiyo wewe tatizo lako ni Mwarabu au mkataba? Naona unahangaika kwenye kila thd kusambaza chuki zako za racism,au na wewe ulikua mpigaji pale port?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…