johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kanisa Moja Takatifu la MitumeHapo makachero wa kanisa,ukute wameshasafiri hadi Dubai na wameshaleta ripoti.Hao nina uhakika watajadili kwa kina,kuliko bunge,na inaweza ikawa na impact.Hilo kanisa,siyo mchezo,lina watu wake toka Ikulu hadi kwenye kitongoji na bila kusahau kwenye taasisi yoyote ile unayoijua,wewe msomaji,iwe kwenye dini,siasa au taaluma yoyote ile.Never underrate them.