Tetesi: Baraza la Maaskofu (TEC)kukutana hivi karibuni

Tetesi: Baraza la Maaskofu (TEC)kukutana hivi karibuni

Hapo makachero wa kanisa,ukute wameshasafiri hadi Dubai na wameshaleta ripoti.Hao nina uhakika watajadili kwa kina,kuliko bunge,na inaweza ikawa na impact.Hilo kanisa,siyo mchezo,lina watu wake toka Ikulu hadi kwenye kitongoji na bila kusahau kwenye taasisi yoyote ile unayoijua,wewe msomaji,iwe kwenye dini,siasa au taaluma yoyote ile.Never underrate them.
Kanisa Moja Takatifu la Mitume
 
Vyanzo ndani ya Kanisa Katoliki vinatabanaisha kutakuwa na kikao rasmi cha Baraza la Maaskofu huku pamoja na mengine litajadili SINTOFAHAMU kubwa inayolikumba Taifa kwa sasa kuhusu suala la BANDARI.

"...baba Maaskofu watapewa mwaliko wa kutaniko ndani ya wiki hii na tayari Mhashamu Rais wa TEC alishatoa maelekezo kwa Katibu ili aandae ratiba ya kutaniko lile."

"....yaah, kama unavyoona jambo hilo limezua SINTOFAHAMU kubwa hadi ndani ya Waamini wetu sasa wao kama Wachungaji ni muhimu walijadiri ili pamoja na yote wawe na namna bora hata ya kulisemea kwa Jumuiya ya Waamini wetu."

"...Waraka ni imani yangu utatolewa na kutumwa kwenye Jumuiya za Wakatekumeni baada ya kutaniko lile."

Chanzo.
Hawa mabwana Huwa wanajifanya Tanzania ni Mali Yao na Kila mara Rais akiwa Muislamu lazima walete chokochoko..

Ifike mahala upuuzi huu ukome
 
Vyanzo ndani ya Kanisa Katoliki vinatabanaisha kutakuwa na kikao rasmi cha Baraza la Maaskofu huku pamoja na mengine litajadili SINTOFAHAMU kubwa inayolikumba Taifa kwa sasa kuhusu suala la BANDARI.

"...baba Maaskofu watapewa mwaliko wa kutaniko ndani ya wiki hii na tayari Mhashamu Rais wa TEC alishatoa maelekezo kwa Katibu ili aandae ratiba ya kutaniko lile."

"....yaah, kama unavyoona jambo hilo limezua SINTOFAHAMU kubwa hadi ndani ya Waamini wetu sasa wao kama Wachungaji ni muhimu walijadiri ili pamoja na yote wawe na namna bora hata ya kulisemea kwa Jumuiya ya Waamini wetu."

"...Waraka ni imani yangu utatolewa na kutumwa kwenye Jumuiya za Wakatekumeni baada ya kutaniko lile."

Chanzo.
Waraka utatumwa kwa jumuiya ya wakatukumeni?
 
Mbona uwekezaji wa gas ya Lindi waliyopewa wazungu hauzui sintofahamu!?..nyakati zimebadilika,siyo 70,80,90s hii,wao wakae,wanywe divai,wapige goti mbele ya sanamu,dp watapewa bandari
Yaani wanakaa Kama nani yaani??? Kuna watu walivyojipa rights na hii nchi utafikiri yao....kama sio chokochoko hapo nini kingine chatafutwa!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Sijui wanachelewa nini, hapa ndipo utakapowaona mawakala wa shetani wanavyoanza kumwaga povu.

Tanganyika yetu imetekwa, lazima sote kwa pamoja tusimame kuikomboa kutoka mikononi mwa mwarabu, na serikali ya mkoloni wa Tanganyika.
Kwahiyo wewe tatizo lako ni Mwarabu au mkataba? Naona unahangaika kwenye kila thd kusambaza chuki zako za racism,au na wewe ulikua mpigaji pale port?
 
Back
Top Bottom