Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Kwa serikali ya ccm ya wengi kufa njaa na wachache kufaidi keki.Haya ila yakitokea machafuko mtaikumbuka hii amani. Machafuko huanza faster ila kuisha huchukua miongo na wakati mwingine yasiishe kabisa
Siyo mbaya kuliko kuonewa kwa kisingizio cha amaniHaya ila yakitokea machafuko mtaikumbuka hii amani. Machafuko huanza faster ila kuisha huchukua miongo na wakati mwingine yasiishe kabisa
Mkae na waarabu muiuze na ikulu tupate ufanisi..Tukae wapi na kufanya nini?
Unatawaliwa na Waarabu wa wapi?Tulipata uhuru 09/12/1961 ili tujitawale na siyo kutawaliwa na Waarabu.
Mwarabu ndo nani?Mkae na waarabu
Kwahiyo wewe kipimo chako ni kua kila anayekaribisha investors hana uchungu? Na anayepinga ndio ana uchungu? Tatizo hii issue inajadiliwa mpaka na watu ambao hawana uwezo wa kujadili mambo makubwa ya aina hii,Wewe huna uchungu na Tanganyika,ingependeza Muungano huu uvunjike ili kila mtu afaidi matunda ya nchi yake na huu upuuzi hautakuwepo.
tumeshazoea uzushi wako, hutulii mtoto wa kiume na viuzushi. Hizo tabia za kike za kimbeaVyanzo ndani ya Kanisa Katoliki vinatabanaisha kutakuwa na kikao rasmi cha Baraza la Maaskofu huku pamoja na mengine litajadili SINTOFAHAMU kubwa inayolikumba Taifa kwa sasa kuhusu suala la BANDARI.
"...baba Maaskofu watapewa mwaliko wa kutaniko ndani ya wiki hii na tayari Mhashamu Rais wa TEC alishatoa maelekezo kwa Katibu ili aandae ratiba ya kutaniko lile."
"....yaah, kama unavyoona jambo hilo limezua SINTOFAHAMU kubwa hadi ndani ya Waamini wetu sasa wao kama Wachungaji ni muhimu walijadiri ili pamoja na mambo mengine wawe na namna bora hata ya kulisemea kwa Jumuiya ya Waamini wao."
"...ni imani yangu utatolewa ( WARAKA ) na kutumwa kwenye Jumuiya za Wakatekumeni baada ya kutaniko lile."
Chanzo.
Umeeleza vyema sana.Mkataba wa utekelezaji haujasaini,kinachodaiwa kuwa mkataba ni intergovernmental agreement (IGA),agreement siyo contract, agreement hiyo ni baina ya serikali husika,katika hili mamlaka za bandari tz na mamlaka za bandari Dubai(Dubai ports-dp) ndizo zitakazoingia contract,umekazana kubisha na kubwabwaja mambo yenyewe huyajui
DP World.Mwarabu ndo nani?
Gesi ya Mtwara iko wapi ?Kwahiyo wewe kipimo chako ni kua kila anayekaribisha investors hana uchungu? Na anayepinga ndio ana uchungu? Tatizo hii issue inajadiliwa mpaka na watu ambao hawana uwezo wa kujadili mambo makubwa ya aina hii,
Mtu akisha kijaza bando kitecno chake na akaweza kuingia kwenye social media,basi ana amini kua anajua kila kitu!
Utakuwa ushauri tu siyo lazima uzingatiwe, serikali ina vyombo vyake vya kitaalamu vya ushauri.Sijui wanachelewa nini kutoa msimamo wao, hapa ndipo utakapowaona mawakala wa shetani wanavyoanza kumwaga povu.
Tanganyika yetu imetekwa, lazima sote kwa pamoja tusimame kuikomboa kutoka mikononi mwa mwarabu, na serikali ya mkoloni wa Tanganyika.
UsituchokozeAnzisheni sasa.
Ianzishie thd basi,na mbona yenyewe hamtokwi povu?Gesi ya Mtwara iko wapi ?
Makachero wa kanisa ni wa kanisa wakafanye kazi kwa ajili ya kanisa lao.Hapo makachero wa kanisa,ukute wameshasafiri hadi Dubai na wameshaleta ripoti.Hao nina uhakika watajadili kwa kina,kuliko bunge,na inaweza ikawa na impact.Hilo kanisa,siyo mchezo,lina watu wake toka Ikulu hadi kwenye kitongoji na bila kusahau kwenye taasisi yoyote ile unayoijua,wewe msomaji,iwe kwenye dini,siasa au taaluma yoyote ile.Never underrate them.
Mmeshatuchokoza tayari.Usituchokoze
Pia akutajie maeneo gani wazungu walipowekeza kisha wakatesa watu kama wanavyofanyiwa huko Loliondo. Huwa nakasirika sana kuona mtu anaabudu jamii fulani ya watu kisa dini bila kuangalia uhalisia na kutetea jamii yake.Bado mawakala wenzako wa shetani nao waje..
Tuwekee huo mkataba wa wazungu wa gas hapa tuuone, kama nao ukiwa wa hovyo kama wa bandari kelele lazima zipigwe.
Usijidangaye kukwepesha hoja kivivu hivyo, mkataba usio na ukomo karne hii ni matusi sio kwa kizazi chetu, bali hata vizazi vijavyo.
Tanganyika lazima ikombolewe kutoka mikononi mwa mwarabu, na serikali ya mkoloni wa Tanganyika.
Uko vizuri watu tunaangalia athari ambazo zitakuwepo siku za usoni.Pia akutajie maeneo gani wazungu walipowekeza kisha wakatesa watu kama wanavyofanyiwa huko Loliondo. Huwa nakasirika sana kuona mtu anaabudu jamii fulani ya watu kisa dini bila kuangalia uhalisia na kutetea jamii yake.