Tetesi: Baraza la Maaskofu (TEC)kukutana hivi karibuni

Kwa swala la elimu huko ndiko penyewe kuna wabobezi wa kila aina hivyo naamini watakuja na mapendekezo yenye maslahi kwa wote. Ukiona Warumi wamelivalia njuga jambo ujue kuna jambo.
 
 

Attachments

  • IMG_0805.MP4
    3.7 MB
Mbona uwekezaji wa gas ya Lindi waliyopewa wazungu hauzui sintofahamu!?..nyakati zimebadilika,siyo 70,80,90s hii,wao wakae,wanywe divai,wapige goti mbele ya sanamu,dp watapewa bandari

Dp ni mkono wa kushoto wa marekanj,hatukatai ila mkataba umekaa kisengerema,only wasengerama ndio watakao pitisha mkataba kama huo.
 
Nchi tayari ishaelekea huko. Ikitokea Samia akasimama 2025 tegemea kuona kura zikipigwa kidini
Udini unaletwa na Kanisa Katoliki.
Ukifuatilia siasa za hii nchi mara nyingi chokochoko hizi hufanyika kwa sana rais akiwa muislam.

Hata kama ikiwa kweli yanayofanyika si sahihi lakini kwa nini TEC huyafanya haya zaidi rais akiwa muislam?

Na ndiyo maana zinazuka hoja kuwa hawa watu ni wadini. Sasa wasitupeleke huko! Kama wanavyofunga vinywa vyao kiongozi akiwa mkatoliki mwenzao basi na kwa sasa wavifunge hivyo hivyo!

Kama wanataka kumshauri rais wamfuate kwa siri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…