Tetesi: Baraza la Maaskofu (TEC)kukutana hivi karibuni


Suala hapa ni mkataba ndio tupambane nao ila hatukatai muwekezaji,wananchi wana hofu na kile kilichopo.
 
Kama Magufuli na ukatoliki wake walimkosoa iweje useme ni wadini?

Kuhusu demokrasia kuiminya walimkosoa Magufuli!

Kuhusu corona walimpinga Magufuli!

Sasa udini wao unatokea wapi?
 
Sijui wanachelewa nini kutoa msimamo wao, hapa ndipo utakapowaona mawakala wa shetani wanavyoanza kumwaga povu.

Tanganyika yetu imetekwa, lazima sote kwa pamoja tusimame kuikomboa kutoka mikononi mwa mwarabu, na serikali ya mkoloni wa Tanganyika.
lazima wausome mkataba na si swala la kukurupuka tu.hiyo issue ni kubwa na ina madhara makubwa kwa taifa.
 
Hapo ngoma tamu sasa,ngoja inyeshe, tuone panapovuja,hagaya kalikoroga kwa wenye inchi,namuona anavyoenda kusalimu amri na kupoteza matumaini ya kugombea kwa muula wa pili.

Mbowe akichanga karata zake,yaani itakuwa sawa unapewa penati dk za nyongeza,ukikosa tutakuita fala
 

Unalijua kanisa katoliki au unalisikia?all roads lead to rome,
 
Umeeleza vyema sana.
Kwa maelezo zaidi ambao hawajaelewa.

IGA ni serikali zinakubaliana
Hapa ni serikali mbili zinakubaliana..serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania (Minus Zanzibar) inaingia makubaliano na serikali ya nchi ya Dubai.

Dubai sio nchi nchi ni Emirates
 
Wakae tu nchi haiwezi kusimama kwa ajili yao
 
Mkoloni mzungu wakati anaondoka si mlikua mnalia makanisani Kama mmefiwa,tangu lini mnachukia ukoloni!?
Mkoloni mzungu lazima aliliwe kwa sababu alijenga mashule, hospitals,miundombinu ya bandari,reli, barabara, viwanja vya ndege nk.Aliacha secular education ambayo naamini ndo inayokupa mkate wako wa kila siku!

Ninachoelewa mwarabu aliacha utamaduni wa kufuga ndevu,kuvisha gubigubi wanawake maguo meusi hata wakati wa joto.Aliendeleza ujinga na uvivu wa kukaa vibarazani na kushindia misikitini.Aliacha utamaduni wa kijinga wa kuoa na kuzaa wake na watoto wengi bila matunzo na talaka zenye sababu za kijinga.Ushahidi: angalia maeneo yaliyoshika tamaduni za mashariki na magharibi.Jibu unalo ni maeneo yapi yako mbele kimaendeleo!
 
Siku hizi tunaangalia tu wanapooana wanaume kwa wanaume na kufukuana mitaro basi tunaelewa tu mambo ya mzungu hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…