Tetesi: Baraza la Maaskofu (TEC)kukutana hivi karibuni

Tetesi: Baraza la Maaskofu (TEC)kukutana hivi karibuni

Tanzania itaendelea zaidi ikiendeshwa na ngozi nyeupe kuliko ngozi nyeusi

Sisi hatuwezi kujiendesha acha tuendeshwe tu iko sawa ufisadi umezidi

Na wengi wanao piga kelele humu ndani sio kwa masrahi ya taifa ni masrahi binafsi

Bandali ilikuwa ikiendeshwa kwa faida za watu wachache/wachache walikuwa wakifaidika na bandali hiyo huku watanzania wengi wakiumizwa vibaya

Kwa ongezeko la bei za bidhaa zinazo toka nje Kama mafuta ya Kula na kupikia,mavazi,magari nk na ongezeko Hilo Lili tokana na shuru kubwa zilizo kuwa zime wekwa bandalini na tukio jiwekea ni sisi wenyewe

Sasa mtu ambaye anatumia Mari za inchi kuwa umiza wanainchi anafaa kutuongoza?

Tuna paswa kuwa na mtu anaye tumia Mari za inchi kuwa tulia mzigo wa maisha wanainchi huyo atafaa

Chamsingi tucheze na mikataba tu isiwe ya kutudhuru baadae basi
 
Unaishi wapi mkuu

Basi nyamaza
Mkataba wa utekelezaji haujasaini,kinachodaiwa kuwa mkataba ni intergovernmental agreement (IGA),agreement siyo contract, agreement hiyo ni baina ya serikali husika,katika hili mamlaka za bandari tz na mamlaka za bandari Dubai(Dubai ports-dp) ndizo zitakazoingia contract,umekazana kubisha na kubwabwaja mambo yenyewe huyajui
 
Unajua mtu akiwa na chuki ya udini au ukabila hua hawezi kuuficha coz anakua anaendeshwa na chuki hivyo hushindwa kujicontrol,

Badala ya mtu kujadili content,yeye anaenda kwenye ukabila Uarabu au udini!
 
Hawa mabwana Huwa wanajifanya Tanzania ni Mali Yao na Kila mara Rais akiwa Muislamu lazima walete chokochoko..

Ifike mahala upuuzi huu ukome
Tutapambania Tanzania yetu inayoporwa na Waarabu taratibu taratibu kwa kisingizio cha mikataba yenye faida,hatutaki kuwa omba omba.
 
Back
Top Bottom