Tetesi: Baraza la Maaskofu (TEC)kukutana hivi karibuni

Tetesi: Baraza la Maaskofu (TEC)kukutana hivi karibuni

Jua likizidi sana ni ghadhabu!

Na mvua ikizidi sana ni ghadhabu pia!

Kimsingi; itaangaliwa hoja na tutamuangalia mleta hoja na ni kwa sababu: Iweje izungumziwe msimu mmoja ilhali misimu yote ni janga kwa muishiji?

Mazingira ya namna hii yanatuweka wazi msemaji ana lake jambo na ni ndilo tunalolikemea!
Shekhe Tanganyika tumewakataa wajomba zenu kama mnawapenda Sana wapelekeni Zanzibar
 
Kwani siyo ya kwao[emoji1787][emoji1787][emoji1787],hao ndiyo walikuwa Mastermind nyuma ya Nyerere kwenye mapambano ya Uhuru.Na kwa taarifa yako hii nchi inaendeshwa na Vatican na USA.
Nyie mpeni kichwa huyo Bibi,mtajua hamjui.Wewe unafikiri Dkt.Slaa katumwa na nani kumchana Bi.Mkubwa na ata 2015 wao ndiyo walimwambia amuunge mkono Magufuli.
Hilo Kanisa siyo Arise and shine ya Mwamposa,hao wamekamilika kila Idara mpaka Idara za ujasusi wanazo!
Huo mkataba mnapiga kelele wenzenu wanajua kila kitu,fear Vatican my friend!
Soma historia ya nchi,acheni ukasuku!
Mkuu wee upo Sawa kabisa hao ndio ndio wenye nchi yao wakisema hapana hiyo biashara ya mauziano haitafanyika kamwe
 
kwa hiyo hata jambo likiwa baya wao kama viongozi wakae kimnya kisa muislam ndio rais. Kwanza hii inchi inaongozwa na rais na sio muislam atakoselewa kama rais wa nchi
Swali linakuja!

Hata ubaya unaofanyika, ni kwa nini kwa mtoto mmoja anakuwa mkali zaidi na kwa mtoto mwengine ana mkana kwa kumbembeleza?

Haya mazingira ndiyo wengine hatuyapendi na kuwaona ni wanafiki.
 
Magufuli alikosolewa wapi Mzee!?

Nani aliyethubutu kumkosoa Magufuli? Si viongozi wa dini wala wa kisiasa walifyata mkia.

Si ndiyo Pengo huyo huyo alipindua meza sikukuu ya Xmas mpaka watu wakawa wanamlaumu humu? Alizungumza kinyume kabisa na uhalisia wa maisha jinsi ulivyo!

Watulie kama walivyotulia uongozi uliyopita. Wakitaka kumshauri waende kisiri wakamshauri. Si kama wanachotaka kukifanya sasa!

Kita trigger mambo tofauti hata kama wakisema wanania ya dhati na nchi.
TEC walimkosoa Magufuli vizuri tu, Soma hapa waraka wao February 2018
 
Sijui wanachelewa nini kutoa msimamo wao, hapa ndipo utakapowaona mawakala wa shetani wanavyoanza kumwaga povu.

Tanganyika yetu imetekwa, lazima sote kwa pamoja tusimame kuikomboa kutoka mikononi mwa mwarabu, na serikali ya mkoloni wa Tanganyika.
Huwa hawakurupuki na wakitoa kitu kinakuwa kizito kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hiyo hata jambo likiwa baya wao kama viongozi wakae kimnya kisa muislam ndio rais. Kwanza hii inchi inaongozwa na rais na sio muislam atakoselewa kama rais wa nchi
Ameuliza mbona rais akiwa kafiri huwa hawasemi? Tumeona hapa tulipata rais kafiri halafu cizi staff mental akavunja na kuvunja katiba ila walikua kimyaaaaaaa
Vije leo????
Mjibu swali lake, kwanini iwe hivyo tu??
 
Mbona uwekezaji wa gas ya Lindi waliyopewa wazungu hauzui sintofahamu!?..nyakati zimebadilika,siyo 70,80,90s hii,wao wakae,wanywe divai,wapige goti mbele ya sanamu,dp watapewa bandari
Umeongea Jambo zuri Sana. "Wakae chini wapige goti wasujudie sanamu". Maana Nchi mnataka kuigeuza ya Kiislamu na kumkabidhi mjomba wenu Mwarabu. Nawashangaa Wabunge wakristo walioingia mtego huu àmbao nyie Waislamu mnaujua vizuri. Mbowe aliposema kuwafumbua macho Watanganyika mkamwita mbaguzi Ila nyie mkiongea maneno kama haya ndo Wazalendo.
 
Jifarague tu,huwa mnajufanya mna akili Sana kumbe wapuuzi,mmekwama Karne hii ya sayansi na teknolojia,uwekezaji ni suala la serikali na si Baraza la kidini,wao waende kwenye vitubio kusamehe watu dhambi
Umeambiwa weka hapa huo mkataba wa Gas btn Wazungu & TZ ili tuone madhaifu yake.

Haya mengine ya kutukana, kukashifu na kulialia achana nayo, twende kwa FACTS.
 
Hawa mabwana Huwa wanajifanya Tanzania ni Mali Yao na Kila mara Rais akiwa Muislamu lazima walete chokochoko..

Ifike mahala upuuzi huu ukome

Kwani mkuu hili jambo linahusiana nini na dini yankiislamu? Mbona wao wametaka kujadili mkataba tu au hizi habari za uislamu zinakujaje???

Hivi tangu nyerere ushawai kusikia raisi kauza bandari? Shida iliyopo ni huu mkataba upo kwa siri sana..... wakati hakuna sababu yakuwa siri hii ni mali ya watz, wangesema tu mkataba ni miaka 10 au mingapi alafu ungeona kama kuna mtu angepiga kelele....” tatizo lipo hapo haieleweki hawa jamaa tupo nao adi lini
 
Back
Top Bottom