Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

Mdogo wangu kapata
Gs F
Hist E
Geog D na
Engl S ambayo ni dv 3 ya 15.
Nimekuwa disappointed sana na haya matokeo simply b'coz I expected she could just get dv two or two principal passes.
 
Amepata div 3 ya 14 kwa
Gs E
Phy E
Chem D
A/maths E
Vip chuo ataenda au ndo asi apply kabsa...naombeni ushauri...
 
Lowasa ataoa wake wangapi jamani? Kila mtu Anamtaka. Lowasa Lowasa Lowasa. ...hata asipohusika anatajwa na wampendao sasa atakuwa na wake wangapi?
 
kwa takwimu hii ya haya matokeo na sifa wazitakazo tcu baasi wanawake weng watarud kitaa na itapelekea hata baadh za koz za engineering kukosa kabisa wanawake
Tunataka uwezo wa mtu umpeleke chuo sio jinsia!!
 
Amepata div 3 ya 14 kwa
Gs E
Phy E
Chem D
A/maths E
Vip chuo ataenda au ndo asi apply kabsa...naombeni ushauri...

Kwa utaratibu huu wa juzi utakuwa hujafikisha 4.0.
 
Mazingara yake vipi nilisoma hapo A level 1983/85 kulikuwa na tatizo la maji, kuoga mpaka kwenye visima(pond) na maji yenyewe duh usipojikausha vizuri fungus huko kati wanasumbua. Mazingira yameboreshwa ya upatijanaji wa maji?
Aaaaa wapi Hali ni Ile Ile na tena sasa hivi Kuna Hali mbaya kwenye vyoo ni vibovu hatari
 
*TCU WAMETANGAZA MABADILIKO YA TARATIBU,VIGEZO NA SIFA ZA KUJIUNGA CHUO KIKUU MWAKA WA MASOMO 2016/2017 KWA WANAFUNZI WA FORM SIX*

*FORM SIX LAZIMA UWE NA TWO PRINCIPAL PASSES (YAANI D MBILI KATIKA COMBINATION YAKO) BADALA YA E MBILI KAMA ILIVYOKUWA AWALI*

*EQUIVALENT APPLICANTS (DIPLOMA) LAZIMA UWE NA GPA 3.5 KUENDELEA,AU WASTANI WA B KWENYE MASOMO YAKO KWA DIPLOMA YA ELIMU NA AFYA,AU UPPER SECOND CLASS FOR DIPLOMA*

*PRENTRY COURSE ZOTE KWA WANAFUNZI WALIOKUWA HAWANA SIFA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU ZIMESIMAMISHWA*

*APPLICATION ZOTE ZIFANYWE KUPITIA TCU ONLY*
C&P ingia Website ya TCU
 
Mdogo wangu kapata
Gs F
Hist E
Geog D na
Engl S ambayo ni dv 3 ya 15.
Nimekuwa disappointed sana na haya matokeo simply b'coz I expected she could just get dv two or two principal passes.
mbona simple tu.mtafutie bwana aolewe.hakuna namna tena.
 
Kwani form six wamefanya lini mtihani na Lowasa amefanya nini kwenye huo mtihani?
 
Mizimu ya ukawa imefufuka na kusifia matokeo vp yale ya form four mbona mliyakebei???
 
Mkuu ndo umefufuka? Sasa lowassa na hiyo sera ya elimu elimu elimu kaitumia vp? Serikali ya awamu hii kupitia kwa prof. Ndalichako anamikakati mizuri ya kikuza taaluma nchini na si hayo maigizo ya kutamka neno elimu kutwa mara tatu kesha unasema watanzania mnajua na dunia inajua then unashuka jukwaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…