Lung'wecha
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 927
- 574
najisikia furaha sana kwa kutaka kwako kuifahamu,itafute kwa mtandao utaipata ila ukipaona huwezi amini mazingira ni mabaya ila ndo hivo tunafanya vizuri! nimemaliza hapo 2014 na tulikuwa wa 3 kitaifa pianaomba kuifahamu kwa undani hii shule 'KISIMIRI'
acha kubisha kitu usichokijua o na a levels pote ni mchanganyiko,nimesoma hapo na tulikuwa wa 3 mwaka wetuKisimiri Advance siyo mchanganyiko
Sijakataa kwamba wapo safi nimekuambia uchache wao umewabeba kama ilivyokuwa kwa Feza na private zilizokuwa zinashika usukani
Hapo maanake vyuo vingi vitakosa wanafunziHabari Wana JF,
Haya watahiniwa mlitihaniwa 2016 jitazameni kama ni Elimu ya juu au diploma, matokeo yenu yapo hewani. Ila three nyingi hazitoenda chuo kikuu. Kwa maana mtu kapata DE, BE na kadhalika.
Shule 10 zilizofanya vibaya:
1.Mpendae-Unguja
2.Ben Bella-Unguja
3.Tumekuja-Unguja
4.Green Bird Boys-Kilimanjaro
5.Jang'ombe-Unguja
6.Kiembe Samaki-Unguja
7.Tanzania Adventist-Arusha
8.Al- Ishan Girls-Unguja
9.Azania-Dar es Salaam
10.Lumumba-Unguja
amepata divisio 3 mkuu ya point 14Anazo principle mbili! Anavyo vigezo..lakini amepata division ngapi?
Anayo sifa ya kwenda chuo kikuu lakini kwenye mkopo sijui kama atafanikiwa!amepata divisio 3 mkuu ya point 14
Nashukuru mkuu kwa kunielewesha kuhusu suala la mkopo ngoja tujaribuAnayo sifa ya kwenda chuo kikuu lakini kwenye mkopo sijui kama atafanikiwa!
Matokeo hayo hapoNecta ya f6 zimeshatoka? Tuwekee website, wengine hizi ni breaking news
mambo yanaanza rudi kuwa kinyume, zamani ulikuwa ukisoma private unaonekana wewe ni failure, na serikali ni geneous, na hasa ufaulu kijijini we acha tu, lakini mambo yakaanza badilika kipindi cha mkapa, ukienda serikalini unaonekana failure na private wewe ni geneous, wacha zirudishe heshima aisee,shule za serikali zimejitahidi this year
jamani baado hajatoklea wa kuvunja rekodi yaanguuuu hahahahahaha ila mko poa saaana wadogo zetu kazeni saaana nawasalimu toka ughaibuni. hata huku wanakubali kuwa kweli c ni vichwa na co mkiaGvt zimetisha top 10.