Daah aisee kuja watu wakatiliii sana huwa hawafikirii juu ya hatma ya maisha ya wenzao kabisaa...!! Huyo mwalimu ni shetaniHii ilishatokea kwa mdogo wangu. Baada ya kukataa kutoa rushwa kwa mwalimu, alibadilishiwa namba akamfanyia aliyetoa rushwa.
Dogo langu alikuwa anaongoza darasa lakini matokeo waliofaulu ni wale mbumbumbu kabisa na yeye kapiga chini.
Nilikuja kujua muda umeenda sikuwa na jinsi ila iliniuma sana.
Nilimpeleka dogo private na sasa ni bosi sehemu.
Yuke mwalimu aliyefanya hivyo huwa na aibu sana akikutana na mimi au dogo maana tulimwambia live.
Japo kastaafu ila Mungu anamwadhibu
Whaat?poleni sana jamani!haya mambo lini yataisha,watu hawaogopi Mungu jamani kaahh!Hii ilishatokea kwa mdogo wangu. Baada ya kukataa kutoa rushwa kwa mwalimu, alibadilishiwa namba akamfanyia aliyetoa rushwa.
Dogo langu alikuwa anaongoza darasa lakini matokeo waliofaulu ni wale mbumbumbu kabisa na yeye kapiga chini.
Nilikuja kujua muda umeenda sikuwa na jinsi ila iliniuma sana.
Nilimpeleka dogo private na sasa ni bosi sehemu.
Yuke mwalimu aliyefanya hivyo huwa na aibu sana akikutana na mimi au dogo maana tulimwambia live.
Japo kastaafu ila Mungu anamwadhibu
Ni sawa. Mimi nipo kwenye vitengo kama hivi. Kuna mambo inabidi mka discuss nje ya nchi akili inakuwa fresh na pia mnawaalika na wataalamu wa huko wawape uzoefu. So kwa hili suala nadhani wanaweza watu kulifanyia uchunguzi na upembuzi yakinifu hata China hapo. Then wanaleta majibu. Ni kawaida tu ili kuwe na ufanisi mzuri.Hapo jamaa wanangoja per diem za kukaa kikao cha kuliangalia hili suala. Tena wanaweza kusafiri kbsa kwenda hoteli kubwa nje ya mji kudiscuss hiki kitu
Hii umeitoa wapi mchochezi wewe!!??Bint alishaandaliwa mazingira afeli aolewe, ameruka viunzi vya kidini dhidi ya elimu kwa mtoto wa kike, Mwenyezi amsaidie atimize ndoto zake
Hii inawezekanaje? Kwa kawaida mwanafunzi anakaa kwenye dawati lililobandikwa namba yake. Je ina maana alipoambiwa atumie namba 40 badala ya 39 alihama dawati kabisa? Na aliyekuwa amekaa kwenye dawati hilo alipelekwa wapi, au walibadilishana? Huyo ndiye suspect wa kwanza.Mtahiniwa Iptisum Suleiman Slim kutoka shule ya Msingi Chalinze Modern Islamic amesema wakati akifanya mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) Oktoba 5-6, 2022 alipangiwa namba 40 lakini jina lake lilikuwa namba 39 kwenye katarasi ya kusaini.
Anasema alifanya mitihani 5 kwa namba 40 lakini mtihani wa 6 msimamizi akamwambia arudi kwenye namba yake ambayo ni 39, alipohoji kuhusu mabadiliko hayo Msimamizi alimjibu watalifikisha suala lake Baraza la Mitihani (NECTA).
Leo Oktoba 14, 2022 Baraza la Mitihani (NECTA) limetoa taarifa ya kupokea malalamiko ya mwanafunzi huyo na kueleza kuwa linafanyia kazi suala hilo kuhakikisha anapata haki yake.
View attachment 2386751
Huo uharifu misingi yake ni nini? Japo alihoji akaishia kupewa vitisho, hakuogopa kutafuta haki yake. Huyu atakuwa na damu ya mu-Iran, ni mwanaharakati by natureHii umeitoa wapi mchochezi wewe!!??
Umehamisha goli? suspect wa kwanza amekuwa mwanafunzi badala ya mwalimu?Hii inawezekanaje? Kwa kawaida mwanafunzi anakaa kwenye dawati lililobandikwa namba yake. Je ina maana alipoambiwa atumie namba 40 badala ya 39 alihama dawati kabisa? Na aliyekuwa amekaa kwenye dawati hilo alipelekwa wapi, au walibadilishana? Huyo ndiye suspect wa kwanza.
... Mungu mkubwa; hayo yametokea ....Haha...ila huyo mkuu ndezi+kiroboto...hivi alifkiri itakuwa rahisi tu kumfanyia mtihani mwanafunzi mwingine? Serikali naomba hilo mlisimamie kidete na hatua kali zichukuliwe.
Mtahiniwa Iptisum Suleiman Slim kutoka shule ya Msingi Chalinze Modern Islamic
Mzazi angempeleka private kma alikuwa na lengo hilo?Bint alishaandaliwa mazingira afeli aolewe, ameruka viunzi vya kidini dhidi ya elimu kwa mtoto wa kike, Mwenyezi amsaidie atimize ndoto zake
Achana nae huyo.Anawakilisha kundi kubwa la wajinga wa nchi hiiMzazi angempeleka private kma alikuwa na lengo hilo?
Ni kweli kabisa, lengo ilikuwa kumbuka huyo mwingine .Nimeskia uchungu sana kama mwanangu, mwalimu mkuu anafanya hujuma za namna hii. Inaonekana mwalimu mkuu amekula mlungula ili yule mtoto anayeshika nafasi za chini abebwe kwa matokeo ambayo amefanyiwa na mtoto mwingine . Pole sana comrade iptsam slim.
Wenyewe wanatimu Yao ya kiuchunguzi na uzuri ishu dogo kaieleza vizur kuunda tume ufujaji wa pesaHata hivyo baraza wamezingua, kwanini hawajaunda tume? Wamejibu kana kwamba wana uhakika ni tukio la bahati mbaya tu.
Pro NATO kwann hapo maelezo inasemajeScript iliandikwa vizuri, akapewa msomaji.
Swali je kwenye mtihani aliandika namba ngapi?
Una uhakika huyo binti anasomeshwa na mzazi? Kumbuka pia hizi shule ni charity based, wanasomesha watoto kutoka familia zisizo na uwezo mkubwa. Kutokana na kujua kuwa ni maskini ndo maana walimuandalia hujuma hiyo. Kama angekuwa kwao mambo safi na kwa ufaulu huo hakuna ustadhi angejaribu kucheza na akili yake.Mzazi angempeleka private kma alikuwa na lengo hilo?