Baraza la Mtihani (NECTA) kushughulikia suala la Mwanafunzi aliyebadilishiwa namba ya Mtihani

Achana nae huyo.Anawakilisha kundi kubwa la wajinga wa nchi hii
Huyo mtoto angekuwa familia bora asingalifanyiwa dhuluma hiyo. Tena bora imetokea huku huku kwetu, hiyo skendo ingetokea shule za serikali sasa hivi hiyo shule ingekuwa magofu. Sasa aibu zimetukumba, hatuna pa kujisetiri.
 
Binti MUNGU WA MBINGUNI awe upande wako daima
 
Hii issue inazunguka kwenye mitandao. Mitihani yote watumie namba ya mtihani na picha kuondoa hii kitu. Yawezekana kabisa kuna watu wanawafanyia watoto wengine. Kama huyu mtoto kabadilishiwa namba ni kweli inaumiza sana
Picha zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…