Rais walishamalizana nae kwa ajali fake sasa ni Ayatollah, Tatizo kwa umri wake hatafaidi zile ahadi za mabikiraChannel 13 ya Israeli jioni hii inaripoti kuwa Baraza la Usalama la Israel limefanya uamuzi wa kuanzisha Hatua nyingine ya Kulipiza kisasi dhidi ya Iran hivi karibuni.
Hii ni kutokana na Jukumu lao katika Mashambulizi ya hivi karibuni ya Hezbollah, ambayo yalilenga Nyumba ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.
Hawa Jamaa hawajawahi kuogopa mtu aisee. Wao washazoeaga hizi mambo za mafarakano.
Ngoja tuone washia watafanywa Nini wakati huu, maana mifumi yao ya ulinzi wa anga ilipigwa mkong'oto juzi.
Nasikia unaongezewa nguvu ya kupiga mzigo, Bao moja unalitafuta wiki nzimaRais walishamalizana nae kwa ajali fake sasa ni Ayatollah, Tatizo kwa umri wake hatafaidi zile ahadi za mabikira
US prevented any retaliation related to nuke/oil fields. Fear of further escalation and global fuel price crisis.Kilichopo ni kwamba, wamegundua kabisa kuwa wamepoteza golden chance, ya kulipua vinu vya nyuklia na visima vya mafuta, ili kuididimiza kabisa Iran.
Watu wengi wameshangaa kwa nini hawajatumia nafasi hii.
Nadhani sasa wanatafuta sababu, warudi kulimalizia hilo.
Mambo hayajafikia huko bado.Kilichopo ni kwamba, wamegundua kabisa kuwa wamepoteza golden chance, ya kulipua vinu vya nyuklia na visima vya mafuta, ili kuididimiza kabisa Iran.
Watu wengi wameshangaa kwa nini hawajatumia nafasi hii.
Nadhani sasa wanatafuta sababu, warudi kulimalizia hilo.
Yeah, Marekani wanataka maridhiano. Na ndio waliozuia. Nahisi kabisa Tel Aviv wanajutia kwa nini walifuata ushauri wa Marekani.Mambo hayajafikia huko bado.
Channel 13 ya Israeli jioni hii inaripoti kuwa Baraza la Usalama la Israel limefanya uamuzi wa kuanzisha Hatua nyingine ya Kulipiza kisasi dhidi ya Iran hivi karibuni.
Hii ni kutokana na Jukumu lao katika Mashambulizi ya hivi karibuni ya Hezbollah, ambayo yalilenga Nyumba ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.
Hawa Jamaa hawajawahi kuogopa mtu aisee. Wao washazoeaga hizi mambo za mafarakano.
Ngoja tuone washia watafanywa Nini wakati huu, maana mifumi yao ya ulinzi wa anga ilipigwa mkong'oto juzi.
Hayo michumachuma ya nini? Wakati Kobaaz wanaamini Allah ndo mlinzi mkuu hakuna chochote kinamshinda.mifumi yao ya ulinzi wa anga ilipigwa mkong'oto juzi.
Mkuu yaani. Wanakamua hadi maiti mavi eti aingie peponi msafi unabaki kushangaa wtf!Dah hizi dini huwa tunazifuata blindly yaani😂😂
vinu vya nyuklia na visima vya mafuta wasivishambulie kwa ajili ya utawala mpya utakaowekwa. Wapige facility za kijeshi ili kuusambaratisha utawala wa kishia wa maayatollah unaovuruga amani mashariki ya katiKilichopo ni kwamba, wamegundua kabisa kuwa wamepoteza golden chance, ya kulipua vinu vya nyuklia na visima vya mafuta, ili kuididimiza kabisa Iran.
Watu wengi wameshangaa kwa nini hawajatumia nafasi hii.
Nadhani sasa wanatafuta sababu, warudi kulimalizia hilo.
Si kwamba Israili mtoa-roho ndiye anavuruga amani ya ukanda huo?vinu vya nyuklia na visima vya mafuta wasivishambulie kwa ajili ya utawala mpya utakaowekwa. Wapige facility za kijeshi ili kuusambaratisha utawala wa kishia wa maayatollah unaovuruga amani mashariki ya kati
kinara wa kuvuruga amani mashariki ya kati ni iranSi kwamba Israili mtoa-roho ndiye anavuruga amani ya ukanda huo?
Basi nakusikiliza wewe, PM Ben Netanyahu.kinara wa kuvuruga amani mashariki ya kati ni iran