Baraza la Usalama la Israel: Tutalipiza kisasi dhidi ya Iran hivi karibuni kwa kosa la kushambulia makazi ya Netanyahu

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Channel 13 ya Israeli jioni hii inaripoti kuwa Baraza la Usalama la Israel limefanya uamuzi wa kuanzisha Hatua nyingine ya Kulipiza kisasi dhidi ya Iran hivi karibuni.

Hii ni kutokana na Jukumu lao katika Mashambulizi ya hivi karibuni ya Hezbollah, ambayo yalilenga Nyumba ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.

Hawa Jamaa hawajawahi kuogopa mtu aisee. Wao washazoeaga hizi mambo za mafarakano.

Ngoja tuone washia watafanywa Nini wakati huu, maana mifumi yao ya ulinzi wa anga ilipigwa mkong'oto juzi.
 
Rais walishamalizana nae kwa ajali fake sasa ni Ayatollah, Tatizo kwa umri wake hatafaidi zile ahadi za mabikira
 
Kilichopo ni kwamba, wamegundua kabisa kuwa wamepoteza golden chance, ya kulipua vinu vya nyuklia na visima vya mafuta, ili kuididimiza kabisa Iran.

Watu wengi wameshangaa kwa nini hawajatumia nafasi hii.

Nadhani sasa wanatafuta sababu, warudi kulimalizia hilo.
 
US prevented any retaliation related to nuke/oil fields. Fear of further escalation and global fuel price crisis.

Instead s-300s, icbm and uav factories annihilated as warning.

If true this initiate the move into right direction of the conflict if not the call for peace negotiation from both sides.
 
Kilichopo ni kwamba, wamegundua kabisa kuwa wamepoteza golden chance, ya kulipua vinu vya nyuklia na visima vya mafuta, ili kuididimiza kabisa Iran.

Watu wengi wameshangaa kwa nini hawajatumia nafasi hii.

Nadhani sasa wanatafuta sababu, warudi kulimalizia hilo.
Mambo hayajafikia huko bado.
 
Channel 13 ya Israeli jioni hii inaripoti kuwa Baraza la Usalama la Israel limefanya uamuzi wa kuanzisha Hatua nyingine ya Kulipiza kisasi dhidi ya Iran hivi karibuni.

Hii ni kutokana na Jukumu lao katika Mashambulizi ya hivi karibuni ya Hezbollah, ambayo yalilenga Nyumba ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.

Hawa Jamaa hawajawahi kuogopa mtu aisee. Wao washazoeaga hizi mambo za mafarakano.

Ngoja tuone washia watafanywa Nini wakati huu, maana mifumi yao ya ulinzi wa anga ilipigwa mkong'oto juzi.

Ukiripoti kwa niaba ya channel 13, Buza.
 
Kilichopo ni kwamba, wamegundua kabisa kuwa wamepoteza golden chance, ya kulipua vinu vya nyuklia na visima vya mafuta, ili kuididimiza kabisa Iran.

Watu wengi wameshangaa kwa nini hawajatumia nafasi hii.

Nadhani sasa wanatafuta sababu, warudi kulimalizia hilo.
vinu vya nyuklia na visima vya mafuta wasivishambulie kwa ajili ya utawala mpya utakaowekwa. Wapige facility za kijeshi ili kuusambaratisha utawala wa kishia wa maayatollah unaovuruga amani mashariki ya kati
 
Hizi zote ni harakati za kuikaribisha Novemba 5 - uchaguzi wa Marekani. Ukreni inasahaulika rasmi. Majeshi na nguvu vinahamishiwa Mashariki ya Kati.

Everybody wins. Everyone is happy. Right? Wrong!
 
vinu vya nyuklia na visima vya mafuta wasivishambulie kwa ajili ya utawala mpya utakaowekwa. Wapige facility za kijeshi ili kuusambaratisha utawala wa kishia wa maayatollah unaovuruga amani mashariki ya kati
Si kwamba Israili mtoa-roho ndiye anavuruga amani ya ukanda huo?
 
Back
Top Bottom