demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Channel 13 ya Israeli jioni hii inaripoti kuwa Baraza la Usalama la Israel limefanya uamuzi wa kuanzisha Hatua nyingine ya Kulipiza kisasi dhidi ya Iran hivi karibuni.
Hii ni kutokana na Jukumu lao katika Mashambulizi ya hivi karibuni ya Hezbollah, ambayo yalilenga Nyumba ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.
Hawa Jamaa hawajawahi kuogopa mtu aisee. Wao washazoeaga hizi mambo za mafarakano.
Ngoja tuone washia watafanywa Nini wakati huu, maana mifumi yao ya ulinzi wa anga ilipigwa mkong'oto juzi.