Kula kiapo ni wakati wa kukabidhiwa leseni.Wanaendaje Intern ambapo ni kama kuanza Kazi BILA KULA KIAPO? Hivi akikiuka maadili ya udaktari atahukumiwa kwa sheria ipi?
Sasa ndo umeandika nini,Acheni ubishi, fanyeni paper muende intern..
Kama umefaulu vizuri kwa nini mnaogopa paper, si mmefaulu vizuri? Fanyeni paper hilo mlichape kisawasawa muende intern.
Unazungumza vitu ambavyo vipo juu ya uwezo wako , sio kila kitu utaweza kukifaham kwa kina ,Kumbe unajua mambo yanabadilika then hapohapo unaleta habari za ma specialist wa mwaka 90?
Mabadiliko ni pamoja na mifumo ya upatikanaji wa wana kada.
Hii mifumo ya sasa imeletwa kuendana na mifumo ya kimataifa, miaka michache nyuma nchi zingine walikuwa wanatushangaa how come wataalam wa afya wote wakimaliza internship wanakuwa licensed bila kufanya mtihani?
Pia outsiders walikuwa wanashangaa mtu ana renew vipi leseni yake bila kuwa na CPD Points?
Ndipo sasa Licensure Exams na CPD zikaletwa ili kukidhi vigezo vya hizi kada za afya.
Ila haya huwezi kuyajua kwa sababu wewe ni kanjanja tuu usiyetaka mabadiliko na hutaki kufuatilia mambo yanavyoenda..
Usichanganye madesa. Hii ni field ambayo watu wanaenda ku deal na Uhai wa watu.Kula kiapo ni wakati wa kukabidhiwa leseni.
Huwezi kula kiapo kama huna leseni maana wewe si daktari..
Ni sawa na wanasheria, hawali kiapo cha uwakili mpaka wafaulu law school.
You have the point usikilizweBaraza la madaktari wapo sahihi, kwanza ni chimbo huru hakiendeshwi kisiasa. Pili madaktari wengi wanaozalishwa uwezo wao ni mdogo lazima Baraza lichukue hatua kulinda taaluma yao.
Ninyi wana jf, msichojua ni kwamba hao MCT wasipokaza ili vijana waive, basi tegemeeni kutibiwa hovyohovyo siku za mbeleni, na msije mkamlalamika huku mitandaoni...
Shida kubwa inaanzia kwenye ufundishaji huko vyuoni, elimu ya huko imechekechwa kiasi kwamba vijana wakipewa mitihani ya critical thinking wanaangukia pua.
Hebu tuacheni kuleta siasa kwenye mambo serious.
Kinachotokea kwa madaktari, kinatokea pia kwa nurses,pharmacysts plus wale wazee wa law school... Wote hao kabla ya kusajiliwa lazima wafanye mitihani na wengi wao huwa wanafeli..
Vinginevyo, hata akina 'Msukuma' yule mbunge, siku moja watadai wanataka kuwa madaktari wa kutibu watu. Huko ndiko tunakoelekea sasa kama nchi.Baraza la madaktari wapo sahihi, kwanza ni chimbo huru hakiendeshwi kisiasa. Pili madaktari wengi wanaozalishwa uwezo wao ni mdogo lazima Baraza lichukue hatua kulinda taaluma yao.
Vyuo binafsi vimechangia sana kuzorota kwa Taaluma. Vinatoa degree bila wahitimu kuwa 'competent'Vinginevyo, hata akina 'Msukuma' yule mbunge, siku moja watadai wanataka kuwa madaktari wa kutibu watu. Huko ndiko tunakoelekea sasa kama nchi.
Unaongea usilolijua, competent, ya AMO , unafikili alilala na kuamuka competent, ? Ni uzoefu wa kazini ndo maana unamuona yupo hivyo,Vyuo binafsi vimechangia sana kuzorota kwa Taaluma. Vinatoa degree bila wahitimu kuwa 'competent'
Utashangaa Assistant Medical Officer (AMO) ni competent kuliko MD siku hizi
Naunga mkono Baraza kutoendeshwa na wanasiasa. Tunataka Madaktari competent
Hata wafeli 90% ni sawa tu. Tunataka watu wakasome 'medicine' siyo wakachukue medicine kama wanavyosema
JokaKuu
Sikiliza dogo! haya mambo hatubahatishiUnaongea usilolijua, competent, ya AMO , unafikili alilala na kuamuka competent, ? Ni uzoefu wa kazini ndo maana unamuona yupo hivyo,
Hata mafundi wa mtaani tu ambao hata certificate ya ujenzi hawana, ukimleta kijana alietoka chuo leo level ya bachelor ,bado ataonekana kilaza , mpaka akae field kwa mda,
Watu mnaongea ujinga kwenye mambo serious,
Pumbavu dogo nani ,huna adabuSikiliza dogo! haya mambo hatubahatishi
Najua RMA ilivyoanza, Ikaja MA na kubadilishwa kuwa Clinical Officer(CO) , jinsi AMO ilivyoanzishwa, MD ilivyoanza Tanzania hadi level ya Specialist. Graduate wa Tanzania ali practice popote duniani nyakati hizo
UDSM ilikuwa maarufu kwa kozi mbili, Law and Medicine.
Law school waligundua ongezeko la vilaza, wakaamua ku deal nao, Medicine nao wanaona tatizo na wana deal nalo
Hivi unamjua Dr L. Sterling au Prof Msuya au Prof Makene, prof Nhonoli, Prof Shaba
Mbona hamlalamiki watu wakifeli NBAA ! kuhusu CPA
Please shut up!
JokaKuu
Unaongea upumbavu , zama zina badilika hivi una jua nyakati flan CO alikua boss mkubwa , AMO ni ngum sana kumkuta kwenye kituo cha afya ,leo MD ndo wanaenda Vituo vya afya, so kipindi hicho graduate wa tz kupractice popote pale kipindi icho, ni nyakati hizo kutokana na nyakati za sector husika zilivyokua,Sikiliza dogo! haya mambo hatubahatishi
Najua RMA ilivyoanza, Ikaja MA na kubadilishwa kuwa Clinical Officer(CO) , jinsi AMO ilivyoanzishwa, MD ilivyoanza Tanzania hadi level ya Specialist. Graduate wa Tanzania ali practice popote duniani nyakati hizo
UDSM ilikuwa maarufu kwa kozi mbili, Law and Medicine.
Law school waligundua ongezeko la vilaza, wakaamua ku deal nao, Medicine nao wanaona tatizo na wana deal nalo
Hivi unamjua Dr L. Sterling au Prof Msuya au Prof Makene, prof Nhonoli, Prof Shaba
Mbona hamlalamiki watu wakifeli NBAA ! kuhusu CPA
Please shut up!
JokaKuu
Moleli Huwa ni kirusi asiye aminia hata Kwa madajtari, Umi kuwa makini huna kiumbe hapo Magufuli alimleta huyu tahira Kwa ajili ya kukomoa chadema na sio akili, Sasa tunaenda kiakili huyu hafai mwambie Mama huyo ni kishetani mtindioHivi una akili sawa sawa? Wauguzi na taaluma ziingine wana pre and post Internships? Msome vizuri mtoa post acha ufa.la
Mbona ukienda Mhimbili,Lugalo,mloganzila ,au hospital zote za kanda na rufaa , intern ndo wa kwanza kukupa huduma kama sio wewe basi nduguyo ,mbona hujafa hupo jf shabikia vitu usivyovijua,Kama ni swala la AFYA aisee wawakazie wasije tuua
Unaweza uka justfy umhimu wa pre ?. Sote tunajua umuhimu wa postWako njiani kuwa na pre na post...
Hata zamani hii ya kufanya mitihani ndiyo uwe licensed zamani haikuwepo. Ilikuwa ukimaliza intern unakuwa licensed directly...
Walioanza kuwa na post intern exams ni nursing, mwanzo walilalamika weeeh lkn mwisho wa siku wakaeleweshwa na kuelewa...
Ndiyo zikafuata hizo kada zingine kuwa na mitihani na wao...
Na kila baraza lina kanuni zake kulingana na sheria mama ya mabaraza yao... Kwenye kanuni za MCT wana pre and post exams..
NA KANUNI ANATUNGA WAZIRI.
Hivyo acha ufala mwenyewe mkuu, nenda kasome hizo sheria za mabaraza na kanuni zake... Ukikosa njoo hapa nikupe uzisome.
Acheni kuharibu mifumo thabiti ya kuzalisha competent products iliyojengwa kwa jasho na damu.
Kwanza tueleweshane. Umhimu wa mtihani wa pre nininiKanuni ndivyo zilivyo....
Na kanuni anatunga waziri...
Msajili wa MCT anateuliwa na waziri..
Unategemea kama waziri hajampa waraka wowote msajili ataacha kufuata almanac ilivyo?
Kwani mtihani wa pre intern una shida gani?
Unaweza uka justfy umhimu wa pre ?. Sote tunajua umuhimu wa post