Baraza Madaktari Tanzania (MCT) lamgomea Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu Madaktari Watarajali

Baraza Madaktari Tanzania (MCT) lamgomea Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu Madaktari Watarajali

Wanaendaje Intern ambapo ni kama kuanza Kazi BILA KULA KIAPO? Hivi akikiuka maadili ya udaktari atahukumiwa kwa sheria ipi?
Kula kiapo ni wakati wa kukabidhiwa leseni.

Huwezi kula kiapo kama huna leseni maana wewe si daktari..

Ni sawa na wanasheria, hawali kiapo cha uwakili mpaka wafaulu law school.
 
Kumbe unajua mambo yanabadilika then hapohapo unaleta habari za ma specialist wa mwaka 90?

Mabadiliko ni pamoja na mifumo ya upatikanaji wa wana kada.

Hii mifumo ya sasa imeletwa kuendana na mifumo ya kimataifa, miaka michache nyuma nchi zingine walikuwa wanatushangaa how come wataalam wa afya wote wakimaliza internship wanakuwa licensed bila kufanya mtihani?

Pia outsiders walikuwa wanashangaa mtu ana renew vipi leseni yake bila kuwa na CPD Points?

Ndipo sasa Licensure Exams na CPD zikaletwa ili kukidhi vigezo vya hizi kada za afya.

Ila haya huwezi kuyajua kwa sababu wewe ni kanjanja tuu usiyetaka mabadiliko na hutaki kufuatilia mambo yanavyoenda..
Unazungumza vitu ambavyo vipo juu ya uwezo wako , sio kila kitu utaweza kukifaham kwa kina ,
 
Kula kiapo ni wakati wa kukabidhiwa leseni.

Huwezi kula kiapo kama huna leseni maana wewe si daktari..

Ni sawa na wanasheria, hawali kiapo cha uwakili mpaka wafaulu law school.
Usichanganye madesa. Hii ni field ambayo watu wanaenda ku deal na Uhai wa watu.

Kwenda Intern ni kama tayari wewe ni Daktari kamili. Ndio maana Sheria iliwataka waape ndipo waende intern. Je! SHERIA IMEBADILIKA? Nani kaibadili? Kwanini? Je! Ilipitiwa na mamlaka husika na stakeholders. Tupe majibu!! Msicheze na UHAI WETU.
 
Ninyi wana jf, msichojua ni kwamba hao MCT wasipokaza ili vijana waive, basi tegemeeni kutibiwa hovyohovyo siku za mbeleni, na msije mkamlalamika huku mitandaoni...

Shida kubwa inaanzia kwenye ufundishaji huko vyuoni, elimu ya huko imechekechwa kiasi kwamba vijana wakipewa mitihani ya critical thinking wanaangukia pua.

Hebu tuacheni kuleta siasa kwenye mambo serious.

Kinachotokea kwa madaktari, kinatokea pia kwa nurses,pharmacysts plus wale wazee wa law school... Wote hao kabla ya kusajiliwa lazima wafanye mitihani na wengi wao huwa wanafeli..
Zamani udaktari ilikuwa inajulikana unasomea muhimbili, siku hizi nafikiri vyuo vimeongezeka hali inayopelekea wahitimu hasa wa kutoka vyuo tofauti na muhimbili kuwa na uwezo wenye kutiliwa mashaka, kinachotakiwa ni TCU kutathmini uwezo wa kila chuo kutoa wahitimu wa udaktari mahiri wenye weledi na siyo kwenda kupitishana tu..........​
 
Baraza la madaktari wapo sahihi, kwanza ni chimbo huru hakiendeshwi kisiasa. Pili madaktari wengi wanaozalishwa uwezo wao ni mdogo lazima Baraza lichukue hatua kulinda taaluma yao.
Vinginevyo, hata akina 'Msukuma' yule mbunge, siku moja watadai wanataka kuwa madaktari wa kutibu watu. Huko ndiko tunakoelekea sasa kama nchi.
 
Vinginevyo, hata akina 'Msukuma' yule mbunge, siku moja watadai wanataka kuwa madaktari wa kutibu watu. Huko ndiko tunakoelekea sasa kama nchi.
Vyuo binafsi vimechangia sana kuzorota kwa Taaluma. Vinatoa degree bila wahitimu kuwa 'competent'

Utashangaa Assistant Medical Officer (AMO) ni competent kuliko MD siku hizi

Naunga mkono Baraza kutoendeshwa na wanasiasa. Tunataka Madaktari competent

Hata wafeli 90% ni sawa tu. Tunataka watu wakasome 'medicine' siyo wakachukue medicine kama wanavyosema

JokaKuu
 
Unaongea usilolijua, competent, ya AMO , unafikili alilala na kuamuka competent, ? Ni uzoefu wa kazini ndo maana unamuona yupo hivyo,

Hata mafundi wa mtaani tu ambao hata certificate ya ujenzi hawana, ukimleta kijana alietoka chuo leo level ya bachelor ,bado ataonekana kilaza , mpaka akae field kwa mda,
Watu mnaongea ujinga kwenye mambo serious,
 
Sikiliza dogo! haya mambo hatubahatishi

Najua RMA ilivyoanza, Ikaja MA na kubadilishwa kuwa Clinical Officer(CO) , jinsi AMO ilivyoanzishwa, MD ilivyoanza Tanzania hadi level ya Specialist. Graduate wa Tanzania ali practice popote duniani nyakati hizo

UDSM ilikuwa maarufu kwa kozi mbili, Law and Medicine.
Law school waligundua ongezeko la vilaza, wakaamua ku deal nao, Medicine nao wanaona tatizo na wana deal nalo

Hivi unamjua Dr L. Sterling au Prof Msuya au Prof Makene, prof Nhonoli, Prof Shaba

Mbona hamlalamiki watu wakifeli NBAA ! kuhusu CPA

Please shut up!

Pumbavu dogo nani ,huna adabu
 
Unaongea upumbavu , zama zina badilika hivi una jua nyakati flan CO alikua boss mkubwa , AMO ni ngum sana kumkuta kwenye kituo cha afya ,leo MD ndo wanaenda Vituo vya afya, so kipindi hicho graduate wa tz kupractice popote pale kipindi icho, ni nyakati hizo kutokana na nyakati za sector husika zilivyokua,

Hata leo alikwambia graduate katika fani husika hawezi practice World wide ni nani nini kinabadilika sema taratibu za kwenda kwenye nchi husika ndo inaweza kuwa kikwazo , Medicine ni ile ile, sawa na kusema dereva aliesomea tz basi akiwa ulaya hawezi kuendesha gari za huko.

Unakuja na hoja za RMA, MA, Hapa ,nakwambia hakuna shule nyepesi kuliko kutoka kwa hao weupe , na wakija bongo wanakalishwa vizuri na hawa vijana mnaowaita vilaza,

Tumeona wangapi? Shida tz watu mko na roho mbaya sana , roho ya kwa nini,

Wewe unalazimisha vipi, MD ,awe na shule sawa na specialist na specialist awe na shule sawa na super specialist , na superspecialist awe na shule sawa prof ni kitu ambacho hakiwezekaniki,stupid
 
Hivi una akili sawa sawa? Wauguzi na taaluma ziingine wana pre and post Internships? Msome vizuri mtoa post acha ufa.la
Moleli Huwa ni kirusi asiye aminia hata Kwa madajtari, Umi kuwa makini huna kiumbe hapo Magufuli alimleta huyu tahira Kwa ajili ya kukomoa chadema na sio akili, Sasa tunaenda kiakili huyu hafai mwambie Mama huyo ni kishetani mtindio
 
Kama ni swala la AFYA aisee wawakazie wasije tuua
Mbona ukienda Mhimbili,Lugalo,mloganzila ,au hospital zote za kanda na rufaa , intern ndo wa kwanza kukupa huduma kama sio wewe basi nduguyo ,mbona hujafa hupo jf shabikia vitu usivyovijua,
 
Sector ya Afya imeingiliwa, kila mtu jifanya anijua kiundani kumbe hamna kitu, watu hawaelewi kutibiwa kwa mgonjwa mmoja nyuma ukiacha Dr nyuma kuna team ya watu kama kumi na, sasa sijui wote hao wapo na post na pre intern exam ,

Na hawajui kosa moja kwa mtu mmoja katika team husika inaweza leta madhala kwa anaepata huduma,
Mnaleta siasa na ujua katika vitu serious
 
Watu wengine hawana akili kabisa. Kama huyo Mkufunzi wa Madaktari aliyeandika mwanza.

Waziri aliunda Tume kuchunguza utaratibu wa utoaji na usahihishaji wa Mitihani ya Pre na Post Internship. Waziri HAKUSIMAMISHA shughuli za MCT.

Uchunguzi utaendelea na utangaji wa Mitihani unaendelea kama kawaida. Pre-Internship ilianzishwa kwa sababu mojawapo ya wahitimu kutoka vyuo mbalimbali kuonekana wanatofautiana sana viwango; kitu ambacho Mkufunzi hakielewi.
 
Wako njiani kuwa na pre na post...

Hata zamani hii ya kufanya mitihani ndiyo uwe licensed zamani haikuwepo. Ilikuwa ukimaliza intern unakuwa licensed directly...

Walioanza kuwa na post intern exams ni nursing, mwanzo walilalamika weeeh lkn mwisho wa siku wakaeleweshwa na kuelewa...

Ndiyo zikafuata hizo kada zingine kuwa na mitihani na wao...

Na kila baraza lina kanuni zake kulingana na sheria mama ya mabaraza yao... Kwenye kanuni za MCT wana pre and post exams..

NA KANUNI ANATUNGA WAZIRI.

Hivyo acha ufala mwenyewe mkuu, nenda kasome hizo sheria za mabaraza na kanuni zake... Ukikosa njoo hapa nikupe uzisome.

Acheni kuharibu mifumo thabiti ya kuzalisha competent products iliyojengwa kwa jasho na damu.
Unaweza uka justfy umhimu wa pre ?. Sote tunajua umuhimu wa post
 
Kanuni ndivyo zilivyo....

Na kanuni anatunga waziri...

Msajili wa MCT anateuliwa na waziri..

Unategemea kama waziri hajampa waraka wowote msajili ataacha kufuata almanac ilivyo?

Kwani mtihani wa pre intern una shida gani?
Kwanza tueleweshane. Umhimu wa mtihani wa pre ninini
 
Back
Top Bottom