Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
Kula kiapo ni wakati wa kukabidhiwa leseni.Wanaendaje Intern ambapo ni kama kuanza Kazi BILA KULA KIAPO? Hivi akikiuka maadili ya udaktari atahukumiwa kwa sheria ipi?
Huwezi kula kiapo kama huna leseni maana wewe si daktari..
Ni sawa na wanasheria, hawali kiapo cha uwakili mpaka wafaulu law school.