BonventureSr
JF-Expert Member
- Nov 16, 2023
- 879
- 1,432
caaNgoja Lucas Mwashambwa aione hii
Chama cha kitapeli lakini ndiyo kimekupa ajira ya uchawa CCM, unadhani bila Chadema Ccm wangekuoa hiyo ajira ya uchawa?CHADEMA ni manyumbu sana.mbona wanafunzi wakienda kwenye mikutano ya CCM wanasema CCM inajaza wanafunzi na kuvunja haki zao.
CHADEMA ni chama cha kitapeli na madalali wa kisiasa
Tuanze na mwalimu wa zamu, alikuwa wapi?
Atawazuiaje wakiamua kutoka darasani kwa fujo? Shule zenyewe hazina fence, unawazuiaje?Tuanze na mwalimu wa zamu, alikuwa wapi?
Mimi siyo chawa.Chama cha kitapeli lakini ndiyo kimekupa ajira ya uchawa CCM, unadhani bila Chadema Ccm wangekuoa hiyo ajira ya uchawa?
Duh umegonga mule muleChama cha kitapeli lakini ndiyo kimekupa ajira ya uchawa CCM, unadhani bila Chadema Ccm wangekuoa hiyo ajira ya uchawa?
Ila kwenye mikutano ya ccm ni halali?Mmeanza kutumia wanafunzi kuwapotezea muda wa masomo hilo ni kosa wizara ya elimu iliangalie hilo na ikemee vikali!
Cheap popularityTulishasema tangu awali kwamba kwenye harakati za kisiasa, yapo mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime.
Sasa kwenye maandamano yanayoendelea watoto wa shule baada ya kusikia Mbowe anavurumisha maandamano kwenye eneo lao wakaamua kuvunja masomo na kuingilia msafara wake wakamzuia ili awape neno kuhusu Madawati na baadaye wakampigia Saluti Kabambe na kuahidi kuunga mkono Maandamano hayo.
Ushahidi huu hapa.
View attachment 2973463View attachment 2973464View attachment 2973465
Mwalimu Mkuu anapoteza nafasi yakeTulishasema tangu awali kwamba kwenye harakati za kisiasa, yapo mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime.
Sasa kwenye maandamano yanayoendelea watoto wa shule baada ya kusikia Mbowe anavurumisha maandamano kwenye eneo lao wakaamua kuvunja masomo na kuingilia msafara wake wakamzuia ili awape neno kuhusu Madawati na baadaye wakampigia Saluti Kabambe na kuahidi kuunga mkono Maandamano hayo.
Ushahidi huu hapa.
View attachment 2973463View attachment 2973464View attachment 2973465
Thibitisha sehemu iliyohalalishwa watoto kukatishwa masomo kwenda kupuyanga mtaani!Ila kwenye mikutano ya ccm ni halali?
ππππππππMuhuni mukubwaaaa
Kweli wewe siyo chawa ila umepewa kazi ya uchawaMimi siyo chawa.
Yawezekana ilikuwa muda wa mapumziko!!Hapana , kwanza hana mamlaka hiyo ni mzuka tu wa Wanafunzi , nadhani wameshukiwa tu na roho mtakatifu
Watoto walienda kujifunza civics vizuri waacheniMwalimu mkuu wa hiyo shule ameyakanyaga ajiandae kwa lolote
Mwalimu atumie tu akili,haliona dalili za mvua akaamua kuwaruhusu Watoto wawahi nyumbani. Ila watoto njiani kwa mahaba yao na mbowe hali ikawa hivyo.Akisimamia dalili za mvua jambo hilo hata wizara inaruhusu nadhani atakuwa amepenya Tundu la sindano.Hadi wanakatisha masomo waalimu wao walikuwa wapi?
Huna akiliHahaha yaani wametafuta watoto toka moshi uchagani wakawasafirisha mpaka bariadi, ila hiki chama mfu hakika mungu anawaona. Mnakuwa waongo hivi. Halafu cheki watu wachacheee, angalieni nyomi ya cde CPA Makalla na cde Dr Nchimbi ni balaa