Bariadi: Wanafunzi wavunja masomo na kuzuia Msafara wa Mbowe, wampigia Saluti

Chama cha kitapeli lakini ndiyo kimekupa ajira ya uchawa CCM, unadhani bila Chadema Ccm wangekuoa hiyo ajira ya uchawa?
Duh umegonga mule mule

Bila Chadema Lucas si chochote wala si lolote 😂😂😂
 
Shukran nyingi ziende kwa mama kwa kutufikisha hapa...🤣
 
Tulishasema tangu awali kwamba kwenye harakati za kisiasa, yapo mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime.

Sasa kwenye maandamano yanayoendelea watoto wa shule baada ya kusikia Mbowe anavurumisha maandamano kwenye eneo lao wakaamua kuvunja masomo na kuingilia msafara wake wakamzuia ili awape neno kuhusu Madawati na baadaye wakampigia Saluti Kabambe na kuahidi kuunga mkono Maandamano hayo.

Ushahidi huu hapa.

View attachment 2973463View attachment 2973464View attachment 2973465
Cheap popularity
 
Mwalimu Mkuu anapoteza nafasi yake
Bodi ya shule itavunjwa
Wazazi wa watoto watanyang'anywa NIDA zao
 
Hahaha yaani wametafuta watoto toka moshi uchagani wakawasafirisha mpaka bariadi, ila hiki chama mfu hakika mungu anawaona. Mnakuwa waongo hivi. Halafu cheki watu wachacheee, angalieni nyomi ya cde CPA Makalla na cde Dr Nchimbi ni balaa
Huna akili
 
Back
Top Bottom