TANZIA Bariega amefariki dunia

kuna wakati hawapaswi kusubiliwa kuiba, wakishapewa onyo kwa maandishi kupitia kamati ya ulinzi na usalama juu ya nyendo zao, kifupi wakiendelea kushupaza shingo, basi hukumu ya kukatisha maisha yao itoke mara moja na vijana wakazi wafanye kazi yao ili jamii ibaki salama na kufurahia maisha.
 
Nashindwa kuelewa unaposema neno jambazi...nafikiri unampa sifa sio zake
 
Kamati za ulinzi na usalama mitaani zinaweza kutoa ajira na kukuza vijana kuwa walinzi wa Taifa lao, hata ajira ya vitengo nyeti kwa graduates inaweza kuanzia hapo kwenye kamati za ulinzi na usalama za mitaa.... watu mitaani hawawezi kuishi kwa kusumbuliwa na mabishoo hawa wasiopenda kufanya kazi.
 
Wewe hukupitiwa naye?
 
Tatizo kubwa la Dar hivi vitoto tunavifuga wenyewe, wala hakuna sababu nyingine na tusiwalaumu Polisi.

Tuko nao mitaani na tunawajuwa na hatuchukui hatua stahiki kukomesha tabia hizi.
kuna wakati inapaswa kumalizana navyo faster kwa kuviwahisha mawinguni.
Enzi za komando yosso dar, watu walipochoka walianza kumalizana nao tu kimtaa mtaa mchana mchana.
 
Nakumbuka huo msala na aliebakwa alikua mmaza anaefanya kazi UN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…