cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Yeye katangulia, wenzake kawaacha bado wanakula dona.Kama alikua anauwa mashoga basi alikua ni shujaa, shoga dawa yake ni kumkata kichwa shingo irushe damu kama koki ya bomba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye katangulia, wenzake kawaacha bado wanakula dona.Kama alikua anauwa mashoga basi alikua ni shujaa, shoga dawa yake ni kumkata kichwa shingo irushe damu kama koki ya bomba
Uhatari wake inategemea anakutana na naniSema uwezavyo ila jamaa ni mtu hatari sana
Nashindwa kuelewa unaposema neno jambazi...nafikiri unampa sifa sio zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa uongo nisiseme matukio yake? Kwani mashoga ndo halali kufanyiwa matukio ya ujambazi? Lazima ukweli tuuseme kwa yale aliyo yafanya wakati wa uhai wake.
Majambazi wengi hawa vibaka konkii wa uswahilini, wanapenda sana kuwarubuni gays hasa waarabu na wahindi koko wanajua wana vitu vya thaman. Wao wanajifanya mabasha ili wawapate kirahisi, wamepora na kujeruhi sana gays.
Huyo alimpora bottom wa kiarabu, iphone 13 pro, wallet yenye pesa, SAA, cheni, had sandols, mtoto wa watu alitembea peku, hiyo yote kuogopa kuuliwa maana alimbonda kwani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ni vile gays hawana Pa kusemea. Na hawa majambazi na vibaka wanawapenda kweli si wanajua hakna kwa kushitaki.
Bora lilivyokufa, likampumzike sasa lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KipangwaLugha yenu ni ipi?
Oooh hapo ludewa tyuuh, sisi kingoni bhanaKipangwa
Sasa nisemeje?Nashindwa kuelewa unaposema neno jambazi...nafikiri unampa sifa sio zake
KibakaSasa nisemeje?
Basi sawaaKibaka
Wewe hukupitiwa naye?Tobaaaaaah hili jambazi kuu la Banana - Ukonga, limeuwawa? Huyu mtu ni kheri ukutane na simba mwenye njaa, sio huyu kiumbe, n hatareee, yaan ni jambazi aliyevuka viwango wa Ugaidi.
Alikua anapenda sana kutesa, kuibia, na kuwajeruhi watu, yaan ukiingia ktk 18 zake umeishaa, alikua na mtindo wa kuwarubuni Gays hasa waarabu koko wa Kariakooo, na amewaliza kwa kweli.
[emoji119][emoji119][emoji119] afadhari akapumzike khaaah, bado mwingne anaitwaa Zabonga. Naye iko siku atasepeshwa.
kuna wakati inapaswa kumalizana navyo faster kwa kuviwahisha mawinguni.Tatizo kubwa la Dar hivi vitoto tunavifuga wenyewe, wala hakuna sababu nyingine na tusiwalaumu Polisi.
Tuko nao mitaani na tunawajuwa na hatuchukui hatua stahiki kukomesha tabia hizi.
Hakuna lolote uko kama dada zenu wanabakwa usiku na nyinyi mpo tu mmelalaHuyo angetimba pande hizi za Ngalimi na daraja mbili tungemfanya kachumbari kwenye pilau.
Unawashwa wee, apite na mie kwa kipi sasa? Mxxxieeeeew [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe hukupitiwa naye?
Kausha mjukuu hapa hapafai kunguru wengiWee ndo mchoyoo babuuuuh, lol
Poa poa gran pah.Kausha mjukuu hapa hapafai kunguru wengi
Nakumbuka huo msala na aliebakwa alikua mmaza anaefanya kazi UN.Siyo hivyo tu kuna jamaa miaka ya nyuma alibaka mwanamke hadharani tena sokoni huko huko Chuga hadi akakojoa akasepa zake huku njemba za huko zinamuangalia ni polisi alijitokeza akam shoot wakati akikimbia ila njemba zilimkodolea macho jamaa akishusha wazungu hadharani
Jamaa kazunguka chuga yote from Bwawa la mavi to Kisongo kote katelezesha arifu,Tengeru kwenda king'ori ndo walipona kupigwa Pumbu.Huyo angetimba pande hizi za Ngalimi na daraja mbili tungemfanya kachumbari kwenye pilau.