stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,446
- 3,616
Kabisa. Asingiziwe/abambikwe kesi ya uhaini kama Lissu. Ili kumfurahisha raia wa nchi jirani ya zanzibar. Enzi za waziri mkuu Pinda, Mizengo akajichanganya bana ati akajibu bungeni kwamba zanzibar siyo nchi weeee!Ashugulikiwe oharaka
Ufilauni wa sodoma na gomola wa waarabuWakristo mpo bize kurudisha ukoloni wa kibepari na ushoga wenu
Wanakumbi.
Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu aliopewa bali kwa tuhuma zinazo wasilishwa na wapinzani , kisha humo humo analalamika maswala ya CCM tena ya uteuzi na ukataj majina ambao umekuwa unazungumzwa na wapinzani na wanaharkati wakitaja majina ya watu walio katwa ndani ya CCM
Wakati huo huo na ndio ukweli CCM iko kwenye mchakato wa kupitia watia nia wooote kwenye ngazi tofauti tofauti wakisubiri halmashauri kuu ya taifa kupitia mapendekezo na kurudisha majina kwa ajili ya kura za maoni
sasa unachangaza sana balozi mzima , lakini aliekuwa katibu wa uenezi wa ccm nae hajui au amesahau utaratibu wa CCM, na anatoka na barua inatangulia vikao vya chama vya maamuzi
Hii barua itakuwa imeandikwa na wanaharakati na mambo yao sio ya level ya mtu balozi
*na ikiwa kaandika ukweli , basi hata huo ubalozi hamna mtu hapa , unfit

Ushauri wangu kwako, mwandikie kisha mpelekee rais.Wanakumbi.

Kama ni kweli kaandika, basi kaandika kwa maoni yake. Barua isiwe na misingi au isiwe na nguzo, mwisho wa siku kama kaandika, basi kaandika. Tutasubiri ya kwako iliyoandikwa kitaalam!Wanakumbi.
Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu aliopewa bali kwa tuhuma zinazo wasilishwa na wapinzani , kisha humo humo analalamika maswala ya CCM tena ya uteuzi na ukataj majina ambao umekuwa unazungumzwa na wapinzani na wanaharkati wakitaja majina ya watu walio katwa ndani ya CCM
Wakati huo huo na ndio ukweli CCM iko kwenye mchakato wa kupitia watia nia wooote kwenye ngazi tofauti tofauti wakisubiri halmashauri kuu ya taifa kupitia mapendekezo na kurudisha majina kwa ajili ya kura za maoni
sasa unachangaza sana balozi mzima , lakini aliekuwa katibu wa uenezi wa ccm nae hajui au amesahau utaratibu wa CCM, na anatoka na barua inatangulia vikao vya chama vya maamuzi
Hii barua itakuwa imeandikwa na wanaharakati na mambo yao sio ya level ya mtu balozi
*na ikiwa kaandika ukweli , basi hata huo ubalozi hamna mtu hapa , unfit
AVuliwe ubalozi, mama alikurupuka Humhrey ni chokoraa tu hana sifa ya kuwa baloziWanakumbi.

Acha udini we bwegeWaislam katika umoja wenu wa kuirudisha nchi kwenye ukoloni wa waarabu nyie wangese sana nyi kobazi kosa hili halita rudiwa tena.
Wanakumbi.
Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu aliopewa bali kwa tuhuma zinazo wasilishwa na wapinzani , kisha humo humo analalamika maswala ya CCM tena ya uteuzi na ukataj majina ambao umekuwa unazungumzwa na wapinzani na wanaharkati wakitaja majina ya watu walio katwa ndani ya CCM
Wakati huo huo na ndio ukweli CCM iko kwenye mchakato wa kupitia watia nia wooote kwenye ngazi tofauti tofauti wakisubiri halmashauri kuu ya taifa kupitia mapendekezo na kurudisha majina kwa ajili ya kura za maoni
sasa unachangaza sana balozi mzima , lakini aliekuwa katibu wa uenezi wa ccm nae hajui au amesahau utaratibu wa CCM, na anatoka na barua inatangulia vikao vya chama vya maamuzi
Hii barua itakuwa imeandikwa na wanaharakati na mambo yao sio ya level ya mtu balozi
*na ikiwa kaandika ukweli , basi hata huo ubalozi hamna mtu hapa , unfit
Waislam ndio waasisi wa udini popote pale walipoAcha udini we bwege
Mwinyi aliwahi Kujiuzuri kwa Tuhuma ya wafungwa Kipindi ni waziri wa Mambo ya Ndani!Wanakumbi.
Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu aliopewa bali kwa tuhuma zinazo wasilishwa na wapinzani , kisha humo humo analalamika maswala ya CCM tena ya uteuzi na ukataj majina ambao umekuwa unazungumzwa na wapinzani na wanaharkati wakitaja majina ya watu walio katwa ndani ya CCM
Wakati huo huo na ndio ukweli CCM iko kwenye mchakato wa kupitia watia nia wooote kwenye ngazi tofauti tofauti wakisubiri halmashauri kuu ya taifa kupitia mapendekezo na kurudisha majina kwa ajili ya kura za maoni
sasa unachangaza sana balozi mzima , lakini aliekuwa katibu wa uenezi wa ccm nae hajui au amesahau utaratibu wa CCM, na anatoka na barua inatangulia vikao vya chama vya maamuzi
Hii barua itakuwa imeandikwa na wanaharakati na mambo yao sio ya level ya mtu balozi
*na ikiwa kaandika ukweli , basi hata huo ubalozi hamna mtu hapa , unfit
Tuanze na la mgombea urais CCM, alipitaje? Kwa katiba ipi?Tuangalie kidogo barua ya Balozi wetu ameshindwa kutekeleza majukumu aliyokasimiwa nayo huko havana. sasa anaibuka na barua na maswala ya ccm na uteuzi wa wagombea.
tuulizane jamani uteuzi wa majina umefnayika lini kwani ndani ya ccm???
Hivi kweli tutakuw na mwkilishi kweli huko Havana Cuba kwa staili hii kweli?
Nadhani ana lalamikia namna mama alivyo pitishwa. Lakini hili jambo la kawaida sana kwa nchi yenye watu milioni 60+. Kukizana kwa mawazo ni kawaida sana, na hana cha kufanya.Wanakumbi.
Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu aliopewa bali kwa tuhuma zinazo wasilishwa na wapinzani , kisha humo humo analalamika maswala ya CCM tena ya uteuzi na ukataj majina ambao umekuwa unazungumzwa na wapinzani na wanaharkati wakitaja majina ya watu walio katwa ndani ya CCM
Wakati huo huo na ndio ukweli CCM iko kwenye mchakato wa kupitia watia nia wooote kwenye ngazi tofauti tofauti wakisubiri halmashauri kuu ya taifa kupitia mapendekezo na kurudisha majina kwa ajili ya kura za maoni
sasa unachangaza sana balozi mzima , lakini aliekuwa katibu wa uenezi wa ccm nae hajui au amesahau utaratibu wa CCM, na anatoka na barua inatangulia vikao vya chama vya maamuzi
Hii barua itakuwa imeandikwa na wanaharakati na mambo yao sio ya level ya mtu balozi
*na ikiwa kaandika ukweli , basi hata huo ubalozi hamna mtu hapa , unfit
Utakuwa una umri mdogo toka Ukoloni hadi leo Polepole ni balozi wa pili kujiuzuru.Mwinyi aliwahi Kujiuzuri kwa Tuhuma ya wafungwa Kipindi ni waziri wa Mambo ya Ndani!
Lowasa aliniuzuri baada ya Wapinzani Kumjia juu na Tume ya Mwakyembe Kuja Na Report ya Richmond