Barua ya Polepole itakuwa imeandikwa na wanaharakati siyo ya level ya Balozi

Barua ya Polepole itakuwa imeandikwa na wanaharakati siyo ya level ya Balozi

Inanikera sana mtu anae toa mchango kwa kujumlisha dini yote au kabila lote??,Na mara nyingi tabia hii wanakuwa nayo watu wasio na malinda sehemu ya nyuma ya kutolea samadi
Swala la malinda wanao pakuliwa sana si ndio hao hao wavaa kobaz ,waislam na ushoga ni dam dam
 
Waislam katika umoja wenu wa kuirudisha nchi kwenye ukoloni wa waarabu nyie wangese sana nyi kobazi kosa hili halita rudiwa tena.
Kweli kabisa tatizo kwa nchi yetu ni hawa Islamists
 
Wanakumbi.

Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu aliopewa bali kwa tuhuma zinazo wasilishwa na wapinzani , kisha humo humo analalamika maswala ya CCM tena ya uteuzi na ukataj majina ambao umekuwa unazungumzwa na wapinzani na wanaharkati wakitaja majina ya watu walio katwa ndani ya CCM

Wakati huo huo na ndio ukweli CCM iko kwenye mchakato wa kupitia watia nia wooote kwenye ngazi tofauti tofauti wakisubiri halmashauri kuu ya taifa kupitia mapendekezo na kurudisha majina kwa ajili ya kura za maoni

sasa unachangaza sana balozi mzima , lakini aliekuwa katibu wa uenezi wa ccm nae hajui au amesahau utaratibu wa CCM, na anatoka na barua inatangulia vikao vya chama vya maamuzi

Hii barua itakuwa imeandikwa na wanaharakati na mambo yao sio ya level ya mtu balozi


*na ikiwa kaandika ukweli , basi hata huo ubalozi hamna mtu hapa , unfit
ni kwa sababu tu hujui kama polepole kabla ya kuingia kwenye siasa alikuwa ni mwanaharakati hadi watu walishangaa inakuwaje mwanaharakati wa aina yake anaingia ccm. asili ya mtu haizeeki.
 
Inanikera sana mtu anae toa mchango kwa kujumlisha dini yote au kabila lote??,Na mara nyingi tabia hii wanakuwa nayo watu wasio na malinda sehemu ya nyuma ya kutolea samadi
Ambacho kinakera ni pale waislamu hujifanya wao ni victim kila jambo, lakini wao ndiyo huwa mstari wa mbele kutetea waislamu wenzao bila hata ya kuitafakari issue at hand. Mtoa hoja kasema hivyo kwa sababu Ritz humu JF anajulikana kwa hoja zake za kiislam na ambazo hazi make sense
 
Back
Top Bottom