G
guest-1790917349
Guest
Ushoga Haina uhusiano na diniWakristo mpo bize kurudisha ukoloni wa kibepari na ushoga wenu
Btw research inaonyesha mashoga wengi ni kina nani na wako zaidi maeneo Gani?
Ushoga Haina uhusiano na diniWakristo mpo bize kurudisha ukoloni wa kibepari na ushoga wenu
Haya tuambie wewe mshindi umeshika nyadhifa zipi.Hahaha sababu ya Polepole? Hajawahi hata kushinda ukatibu kata😂
Angewaandikia kimya kimya mngemtengeneza.. Kaamua kumwaga mboga hadharaniWanakumbi.
Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu aliopewa bali kwa tuhuma zinazo wasilishwa na wapinzani , kisha humo humo analalamika maswala ya CCM tena ya uteuzi na ukataj majina ambao umekuwa unazungumzwa na wapinzani na wanaharkati wakitaja majina ya watu walio katwa ndani ya CCM
Wakati huo huo na ndio ukweli CCM iko kwenye mchakato wa kupitia watia nia wooote kwenye ngazi tofauti tofauti wakisubiri halmashauri kuu ya taifa kupitia mapendekezo na kurudisha majina kwa ajili ya kura za maoni
sasa unachangaza sana balozi mzima , lakini aliekuwa katibu wa uenezi wa ccm nae hajui au amesahau utaratibu wa CCM, na anatoka na barua inatangulia vikao vya chama vya maamuzi
Hii barua itakuwa imeandikwa na wanaharakati na mambo yao sio ya level ya mtu balozi
*na ikiwa kaandika ukweli , basi hata huo ubalozi hamna mtu hapa , unfit
Kwahio mama yenu ni mkurupukaji 😉A
AVuliwe ubalozi, mama alikurupuka Humhrey ni chokoraa tu hana sifa ya kuwa balozi
Jipe moyo wewe chawa mama, acha kuropoka na kuwaweka watu chini. Wewe nani kakwambia ni wanaharakati hao? Acha ujinga na kujikomba komba na kudharau watu pimbi wewe.Wanakumbi.
Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu aliopewa bali kwa tuhuma zinazo wasilishwa na wapinzani , kisha humo humo analalamika maswala ya CCM tena ya uteuzi na ukataj majina ambao umekuwa unazungumzwa na wapinzani na wanaharkati wakitaja majina ya watu walio katwa ndani ya CCM
Wakati huo huo na ndio ukweli CCM iko kwenye mchakato wa kupitia watia nia wooote kwenye ngazi tofauti tofauti wakisubiri halmashauri kuu ya taifa kupitia mapendekezo na kurudisha majina kwa ajili ya kura za maoni
sasa unachangaza sana balozi mzima , lakini aliekuwa katibu wa uenezi wa ccm nae hajui au amesahau utaratibu wa CCM, na anatoka na barua inatangulia vikao vya chama vya maamuzi
Hii barua itakuwa imeandikwa na wanaharakati na mambo yao sio ya level ya mtu balozi
*na ikiwa kaandika ukweli , basi hata huo ubalozi hamna mtu hapa , unfit
Ubalozi unaona ni kitu cha maana sana?Wanakumbi.

Sasa ww utuandikie barua ya level ya balozi ili na ss tujifinze kaka,Fanya hivyo hapa tuko shuleni jamii forum.Wanakumbi.
Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu aliopewa bali kwa tuhuma zinazo wasilishwa na wapinzani , kisha humo humo analalamika maswala ya CCM tena ya uteuzi na ukataj majina ambao umekuwa unazungumzwa na wapinzani na wanaharkati wakitaja majina ya watu walio katwa ndani ya CCM
Wakati huo huo na ndio ukweli CCM iko kwenye mchakato wa kupitia watia nia wooote kwenye ngazi tofauti tofauti wakisubiri halmashauri kuu ya taifa kupitia mapendekezo na kurudisha majina kwa ajili ya kura za maoni
sasa unachangaza sana balozi mzima , lakini aliekuwa katibu wa uenezi wa ccm nae hajui au amesahau utaratibu wa CCM, na anatoka na barua inatangulia vikao vya chama vya maamuzi
Hii barua itakuwa imeandikwa na wanaharakati na mambo yao sio ya level ya mtu balozi
*na ikiwa kaandika ukweli , basi hata huo ubalozi hamna mtu hapa , unfit
Wanakumbi.

*na ikiwa kaandika ukweli , basi hata huo ubalozi hamna mtu hapa ,
Ritz na wenzake walijificha Tehran na walinzi wa mapinduzi.Naona Polepole kawatoa wajukuu wa ''ntume'' Madina mlikokuwa.
Matukio ya hivi karibuni ya wazi ya kukiuka misingi, utamaduni a desturi za Chama cha Mapinduzi (CCM) - hususan katika mchakato wa uteuzi wa wagombea ndani ya Chama ambao kwa kila awamu huwa msingi wa kukihuisha Chama na fursa ya kufanya Mageuzi ambayo kwa pamoja hukipa chama sura ng'aavu mbele ya umma kabla ya uchaguzi; desturi hii ya kufanya mageuzi ndani ya chama imekuwa nguzo muhimu ya ukubalifu a ushindi wa CCM mbele ya umma.
Saa kwani wagombea wameushapitiswa?
Utakuwa una umri mdogo toka Ukoloni hadi leo Polepole ni balozi wa pili kujiuzuru.
HallucinationsWanakumbi.