Kwahiyo siku hizi kuwa "mwanaharakati" ni kosa?
Maana statement yako kusema barua imeandikwa na wanaharakati, ukidhani harakati ni kosa la jinai.
Una habari Nyerere alikuwa ndio" dean of activists"
Tukirudi katika point ya msingi hii ni barua ya kujiuzulu na kaeleza tu vizuri sababu zake za kujiengua sasa sijui ni wapi hajaeleweka.
Akiongelea kukosekana kwa utu kwenye serikali hii kwani kadanganya wapi?
Soka, Kibao, Mdude , Jacob Mlay,Dioniz Kipanya, Chaula , Sativa n.k tunajua kilichowakuta na mwisho tuliambiwa ni drama za kujiteka na waliokufa tukaambiwa kifo ni kifo.