Barua ya Polepole itakuwa imeandikwa na wanaharakati siyo ya level ya Balozi

Mlikuwa mna chomoza vichwa tu toka shimoni, saivi mmeamua kuitoa na mikia nje kabisa, ili tuyaone maumbo yenu halisi.
 
Nadhani ana lalamikia namna mama alivyo pitishwa. Lakini hili jambo la kawaida sana kwa nchi yenye watu milioni 60+. Kukizana kwa mawazo ni kawaida sana, na hana cha kufanya.
Matukio ya hivi karibuni ya wazi ya kukiuka misingi, utamaduni a desturi za Chama cha Mapinduzi (CCM) - hususan katika mchakato wa uteuzi wa wagombea ndani ya Chama ambao kwa kila awamu huwa msingi wa kukihuisha Chama na fursa ya kufanya Mageuzi ambayo kwa pamoja hukipa chama sura ng'aavu mbele ya umma kabla ya uchaguzi; desturi hii ya kufanya mageuzi ndani ya chama imekuwa nguzo muhimu ya ukubalifu a ushindi wa CCM mbele ya umma.

Saa kwani wagombea wameushapitiswa?
 
Tuangalie kidogo barua ya Balozi wetu ameshindwa kutekeleza majukumu aliyokasimiwa nayo huko havana. sasa anaibuka na barua na maswala ya ccm na uteuzi wa wagombea.

tuulizane jamani uteuzi wa majina umefnayika lini kwani ndani ya ccm???

Hivi kweli tutakuw na mwkilishi kweli huko Havana Cuba kwa staili hii kweli?
Popepole kakabia kwa juu
 
Mgombea uRais alisha pitishwa mkuu. Sema ukweli ni kwamba huyu Polepole ana lake jambo kama sio usukuma una msumbua.
 
Kaandikiwa na mkatoliki mwenzake Padri Kitima
 
Matukio ya hivi karibuni ya wazi ya kukiuka misingi, utamaduni a desturi za Chama cha Mapinduzi (CCM) - hususan katika mchakato wa uteuzi wa wagombea ndani ya Chama ambao kwa kila awamu huwa msingi wa kukihuisha Chama na fursa ya kufanya Mageuzi ambayo kwa pamoja hukipa chama sura ng'aavu mbele ya umma kabla ya uchaguzi; desturi hii ya kufanya mageuzi ndani ya chama imekuwa nguzo muhimu ya ukubalifu a ushindi wa CCM mbele ya umma.

Saa kwani wagombea wameushapitiswa?
Na mama nae aliwahi mno kujipitisha.
 
sasa unachangaza sana balozi mzima , lakini aliekuwa katibu wa uenezi wa ccm nae hajui au amesahau utaratibu wa CCM, na anatoka na barua inatangulia vikao vya chama vya maamuzi
Hujamsikiliza Amos Makala wewe, kasema wamebadirisha utaratibu mamamae hapo ndio Polepole akamwaga mboga si wao wamemwaga Ugali
 
Tuangalie kidogo barua ya Balozi wetu ameshindwa kutekeleza majukumu aliyokasimiwa nayo huko havana. sasa anaibuka na barua na maswala ya ccm na uteuzi wa wagombea.

tuulizane jamani uteuzi wa majina umefnayika lini kwani ndani ya ccm???

Hivi kweli tutakuw na mwkilishi kweli huko Havana Cuba kwa staili hii kweli?
Mumkubali msimkubali yeye kasema uwakilishi hautaki sasa unahoji uwakilishi upi
 
Kwahiyo siku hizi kuwa "mwanaharakati" ni kosa?

Maana statement yako kusema barua imeandikwa na wanaharakati, ukidhani harakati ni kosa la jinai.

Una habari Nyerere alikuwa ndio" dean of activists"

Tukirudi katika point ya msingi hii ni barua ya kujiuzulu na kaeleza tu vizuri sababu zake za kujiengua sasa sijui ni wapi hajaeleweka.

Akiongelea kukosekana kwa utu kwenye serikali hii kwani kadanganya wapi?

Soka, Kibao, Mdude , Jacob Mlay,Dioniz Kipanya, Chaula , Sativa n.k tunajua kilichowakuta na mwisho tuliambiwa ni drama za kujiteka na waliokufa tukaambiwa kifo ni kifo.
 
Kama walivyo Chadema na Ukiristo.
Sijui kama CHADEMA na ukristo , ila ninacho jua makobaz huwa vichwani mmejaza nyege za kuwakunia mabikra wanu 72 mlio ahidiwa, ndio maana hata uelewa wenu huwa ni mdogo sana hata kwa mambo mepesi sana.
 
Back
Top Bottom