The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Sasa Polepole atamuumiza nani wakati kajimaliza mwenyewe nafasi zote alikuwa anapewa hata udiwani hajawahi kushinda😂
Matukio ya hivi karibuni ya wazi ya kukiuka misingi, utamaduni a desturi za Chama cha Mapinduzi (CCM) - hususan katika mchakato wa uteuzi wa wagombea ndani ya Chama ambao kwa kila awamu huwa msingi wa kukihuisha Chama na fursa ya kufanya Mageuzi ambayo kwa pamoja hukipa chama sura ng'aavu mbele ya umma kabla ya uchaguzi; desturi hii ya kufanya mageuzi ndani ya chama imekuwa nguzo muhimu ya ukubalifu a ushindi wa CCM mbele ya umma.Nadhani ana lalamikia namna mama alivyo pitishwa. Lakini hili jambo la kawaida sana kwa nchi yenye watu milioni 60+. Kukizana kwa mawazo ni kawaida sana, na hana cha kufanya.
Popepole kakabia kwa juuTuangalie kidogo barua ya Balozi wetu ameshindwa kutekeleza majukumu aliyokasimiwa nayo huko havana. sasa anaibuka na barua na maswala ya ccm na uteuzi wa wagombea.
tuulizane jamani uteuzi wa majina umefnayika lini kwani ndani ya ccm???
Hivi kweli tutakuw na mwkilishi kweli huko Havana Cuba kwa staili hii kweli?
Kipindi cha Ukoloni kiukweli Sikuwepo Mimi Miaka yangu ni 54 tu ..Sijafikisha Hata hiyi 60Utakuwa una umri mdogo toka Ukoloni hadi leo Polepole ni balozi wa pili kujiuzuru.
Mgombea uRais alisha pitishwa mkuu. Sema ukweli ni kwamba huyu Polepole ana lake jambo kama sio usukuma una msumbua.Matukio ya hivi karibuni ya wazi ya kukiuka misingi, utamaduni a desturi za Chama cha Mapinduzi (CCM) - hususan katika mchakato wa uteuzi wa wagombea ndani ya Chama ambao kwa kila awamu huwa msingi wa kukihuisha Chama na fursa ya kufanya Mageuzi ambayo kwa pamoja hukipa chama sura ng'aavu mbele ya umma kabla ya uchaguzi; desturi hii ya kufanya mageuzi ndani ya chama imekuwa nguzo muhimu ya ukubalifu a ushindi wa CCM mbele ya umma.
Saa kwani wagombea wameushapitiswa?
Na mama nae aliwahi mno kujipitisha.Matukio ya hivi karibuni ya wazi ya kukiuka misingi, utamaduni a desturi za Chama cha Mapinduzi (CCM) - hususan katika mchakato wa uteuzi wa wagombea ndani ya Chama ambao kwa kila awamu huwa msingi wa kukihuisha Chama na fursa ya kufanya Mageuzi ambayo kwa pamoja hukipa chama sura ng'aavu mbele ya umma kabla ya uchaguzi; desturi hii ya kufanya mageuzi ndani ya chama imekuwa nguzo muhimu ya ukubalifu a ushindi wa CCM mbele ya umma.
Saa kwani wagombea wameushapitiswa?
Hujamsikiliza Amos Makala wewe, kasema wamebadirisha utaratibu mamamae hapo ndio Polepole akamwaga mboga si wao wamemwaga Ugalisasa unachangaza sana balozi mzima , lakini aliekuwa katibu wa uenezi wa ccm nae hajui au amesahau utaratibu wa CCM, na anatoka na barua inatangulia vikao vya chama vya maamuzi
TumbusiWewe Ridhiwani kaa utulie.
Mumkubali msimkubali yeye kasema uwakilishi hautaki sasa unahoji uwakilishi upiTuangalie kidogo barua ya Balozi wetu ameshindwa kutekeleza majukumu aliyokasimiwa nayo huko havana. sasa anaibuka na barua na maswala ya ccm na uteuzi wa wagombea.
tuulizane jamani uteuzi wa majina umefnayika lini kwani ndani ya ccm???
Hivi kweli tutakuw na mwkilishi kweli huko Havana Cuba kwa staili hii kweli?
Sijui kama CHADEMA na ukristo , ila ninacho jua makobaz huwa vichwani mmejaza nyege za kuwakunia mabikra wanu 72 mlio ahidiwa, ndio maana hata uelewa wenu huwa ni mdogo sana hata kwa mambo mepesi sana.Kama walivyo Chadema na Ukiristo.
Hahaha sababu ya Polepole? Hajawahi hata kushinda ukatibu kata😂
Kama walivyo Chadema na Ukiristo.
Huwenda wewe ni mgeni JF mimi nipo JF kila siku siyo kwa ajili ya polepole.
Bora ukoloni tunafundishwa ustaarabu aisee kuliko utumwa! Hao masultani tunavyosikia walivyowachafu huko kwao.!Wakristo mpo bize kurudisha ukoloni wa kibepari na ushoga wenu