Barua ya Polepole itakuwa imeandikwa na wanaharakati siyo ya level ya Balozi

Angewaandikia kimya kimya mngemtengeneza.. Kaamua kumwaga mboga hadharani
 
Jipe moyo wewe chawa mama, acha kuropoka na kuwaweka watu chini. Wewe nani kakwambia ni wanaharakati hao? Acha ujinga na kujikomba komba na kudharau watu pimbi wewe.
 
Kabla ya kuwa balozi alikuwa na cheo gani ndani ya chama na Pole pole sio ccm?
 
Ubalozi unaona ni kitu cha maana sana?
 
Sasa ww utuandikie barua ya level ya balozi ili na ss tujifinze kaka,Fanya hivyo hapa tuko shuleni jamii forum.
 
 

Attachments

  • IMG_4667.jpeg
    779.4 KB · Views: 29

Hapo anamlenga chura kiziwi, Alie jipitisha peke ake kinyume na taratibu
 
Huyo ni kijana wa Mzee Warioba kisiasa. Ninawakumbusha waliosahau
 
Utakuwa una umri mdogo toka Ukoloni hadi leo Polepole ni balozi wa pili kujiuzuru.

..labda Polepole hajaandika hiyo barua. Lakini kitakachofuatia ni mamlaka kumshukuru kwa utumishi wake, na kumkubalia " kujiuzulu. "

..Kuna kisa cha Makatibu Wakuu wa awamu ya 4, kupewa shukrani na serikali ya awamu ya 5, kwa barua za kujiuzulu ambazo hawakuandika!

..Uwezekano mwingine ni kwamba huenda alikuwa anakaribia kufukuzwa kazi, akaamua kujilipua kwa barua ya kujiuzulu.

..Kuna michezo michafu sana nchi hii.

..swali ni kama atavuliwa ubalozi, au la.
 
Mboga mboga mmekalia ukuni kutoka cuba, huyo Polepole utakuwa unamjua leo, ana akili kuliko watu wenu wa NEC Taifa wote waungane hakuna anayefikia robo ya akili yake...
Unadhan aliaminiwa bure kirahisi na akina warioba na butiku? Ndiyo kwanza ameanza mnaye sana tu ukizingatia bado kjana 40's 😎
 
Hallucinations
 
Taarifa ya habari ITV na Azam zimethibitisha ni yake mbona maana waliongea naye kwa njia ya simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…