Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Inategemea na uwezo wako wa kutasfsiri taarifaWanakumbi.
Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu aliopewa bali kwa tuhuma zinazo wasilishwa na wapinzani , kisha humo humo analalamika maswala ya CCM tena ya uteuzi na ukataj majina ambao umekuwa unazungumzwa na wapinzani na wanaharkati wakitaja majina ya watu walio katwa ndani ya CCM
Wakati huo huo na ndio ukweli CCM iko kwenye mchakato wa kupitia watia nia wooote kwenye ngazi tofauti tofauti wakisubiri halmashauri kuu ya taifa kupitia mapendekezo na kurudisha majina kwa ajili ya kura za maoni
sasa unachangaza sana balozi mzima , lakini aliekuwa katibu wa uenezi wa ccm nae hajui au amesahau utaratibu wa CCM, na anatoka na barua inatangulia vikao vya chama vya maamuzi
Hii barua itakuwa imeandikwa na wanaharakati na mambo yao sio ya level ya mtu balozi
*na ikiwa kaandika ukweli , basi hata huo ubalozi hamna mtu hapa , unfit
Amejiuzuru au hajajiuzuru? Au anatakiwa aandike barua nyingine?Wanakumbi.

Hofu yako ni nini haswa?Tuangalie kidogo barua ya Balozi wetu ameshindwa kutekeleza majukumu aliyokasimiwa nayo huko havana. sasa anaibuka na barua na maswala ya ccm na uteuzi wa wagombea.
tuulizane jamani uteuzi wa majina umefnayika lini kwani ndani ya ccm???
Hivi kweli tutakuw na mwkilishi kweli huko Havana Cuba kwa staili hii kweli?
Mbona umepanicWanakumbi.
Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu aliopewa bali kwa tuhuma zinazo wasilishwa na wapinzani , kisha humo humo analalamika maswala ya CCM tena ya uteuzi na ukataj majina ambao umekuwa unazungumzwa na wapinzani na wanaharkati wakitaja majina ya watu walio katwa ndani ya CCM
Wakati huo huo na ndio ukweli CCM iko kwenye mchakato wa kupitia watia nia wooote kwenye ngazi tofauti tofauti wakisubiri halmashauri kuu ya taifa kupitia mapendekezo na kurudisha majina kwa ajili ya kura za maoni
sasa unachangaza sana balozi mzima , lakini aliekuwa katibu wa uenezi wa ccm nae hajui au amesahau utaratibu wa CCM, na anatoka na barua inatangulia vikao vya chama vya maamuzi
Hii barua itakuwa imeandikwa na wanaharakati na mambo yao sio ya level ya mtu balozi
*na ikiwa kaandika ukweli , basi hata huo ubalozi hamna mtu hapa , unfit
Umeandika vyema. Vitoto vilivyokukia kwenye maisha ya kifisadi vinaona harakati kama ni dhambi vile.Kwahiyo siku hizi kuwa "mwanaharakati" ni kosa?
Maana statement yako kusema barua imeandikwa na wanaharakati, ukidhani harakati ni kosa la jinai.
Una habari Nyerere alikuwa ndio" dean of activists"
Tukirudi katika point ya msingi hii ni barua ya kujiuzulu na kaeleza tu vizuri sababu zake za kujiengua sasa sijui ni wapi hajaeleweka.
Akiongelea kukosekana kwa utu kwenye serikali hii kwani kadanganya wapi?
Soka, Kibao, Mdude , Jacob Mlay,Dioniz Kipanya, Chaula , Sativa n.k tunajua kilichowakuta na mwisho tuliambiwa ni drama za kujiteka na waliokufa tukaambiwa kifo ni kifo.
Zamu yao itafika udhalimu hauna rangi,dini,kabila, ukanda.Umeandika vyema. Vitoto vilivyokukia kwenye maisha ya kifisadi vinaona harakati kama ni dhambi vile.
HH Pole Pole kabla ya yote alikuwa mwanaharakati! Once mwanaharakati always mwanaharakatiWanakumbi.
Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu aliopewa bali kwa tuhuma zinazo wasilishwa na wapinzani , kisha humo humo analalamika maswala ya CCM tena ya uteuzi na ukataj majina ambao umekuwa unazungumzwa na wapinzani na wanaharkati wakitaja majina ya watu walio katwa ndani ya CCM
Wakati huo huo na ndio ukweli CCM iko kwenye mchakato wa kupitia watia nia wooote kwenye ngazi tofauti tofauti wakisubiri halmashauri kuu ya taifa kupitia mapendekezo na kurudisha majina kwa ajili ya kura za maoni
sasa unachangaza sana balozi mzima , lakini aliekuwa katibu wa uenezi wa ccm nae hajui au amesahau utaratibu wa CCM, na anatoka na barua inatangulia vikao vya chama vya maamuzi
Hii barua itakuwa imeandikwa na wanaharakati na mambo yao sio ya level ya mtu balozi
*na ikiwa kaandika ukweli , basi hata huo ubalozi hamna mtu hapa , unfit
Sasa Polepole atamuumiza nani wakati kajimaliza mwenyewe nafasi zote alikuwa anapewa hata udiwani hajawahi kushinda😂
Hoja yako ni nini ndugu.???? Hoja hapa ni mwandishi au context ya barua/Ujumbe. Hata kama kaandikiwa lakini si ujumbe umefika kwa mlengwa????Wanakumbi.
Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu aliopewa bali kwa tuhuma zinazo wasilishwa na wapinzani , kisha humo humo analalamika maswala ya CCM tena ya uteuzi na ukataj majina ambao umekuwa unazungumzwa na wapinzani na wanaharkati wakitaja majina ya watu walio katwa ndani ya CCM
Wakati huo huo na ndio ukweli CCM iko kwenye mchakato wa kupitia watia nia wooote kwenye ngazi tofauti tofauti wakisubiri halmashauri kuu ya taifa kupitia mapendekezo na kurudisha majina kwa ajili ya kura za maoni
sasa unachangaza sana balozi mzima , lakini aliekuwa katibu wa uenezi wa ccm nae hajui au amesahau utaratibu wa CCM, na anatoka na barua inatangulia vikao vya chama vya maamuzi
Hii barua itakuwa imeandikwa na wanaharakati na mambo yao sio ya level ya mtu balozi
*na ikiwa kaandika ukweli , basi hata huo ubalozi hamna mtu hapa , unfit
Wewe Chawa utaozesha gagulo la mama yako. Maana si kumganda na kumnyonya kule. Ngoja mama aje abadiri gagulo lake tuone kama hutatupwa na gagulo.Cha kushangaza leo Polepole amekuwa shujaa wa Chadema hamna tena no reforms no election😂
Ndo kushughulikiwa kwenyewe huko.Si sema tu Auawe!
Inanikera sana mtu anae toa mchango kwa kujumlisha dini yote au kabila lote??,Na mara nyingi tabia hii wanakuwa nayo watu wasio na malinda sehemu ya nyuma ya kutolea samadiWaislam katika umoja wenu wa kuirudisha nchi kwenye ukoloni wa waarabu nyie wangese sana nyi kobazi kosa hili halita rudiwa tena.
Hata kusoma Kiswahili cha mtu huwezi? Kiswahili cha Pole Pole kabisa hichoWanakumbi.
Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu aliopewa bali kwa tuhuma zinazo wasilishwa na wapinzani , kisha humo humo analalamika maswala ya CCM tena ya uteuzi na ukataj majina ambao umekuwa unazungumzwa na wapinzani na wanaharkati wakitaja majina ya watu walio katwa ndani ya CCM
Wakati huo huo na ndio ukweli CCM iko kwenye mchakato wa kupitia watia nia wooote kwenye ngazi tofauti tofauti wakisubiri halmashauri kuu ya taifa kupitia mapendekezo na kurudisha majina kwa ajili ya kura za maoni
sasa unachangaza sana balozi mzima , lakini aliekuwa katibu wa uenezi wa ccm nae hajui au amesahau utaratibu wa CCM, na anatoka na barua inatangulia vikao vya chama vya maamuzi
Hii barua itakuwa imeandikwa na wanaharakati na mambo yao sio ya level ya mtu balozi
*na ikiwa kaandika ukweli , basi hata huo ubalozi hamna mtu hapa , unfit
In short huyu mbibi tumemkataa!Hofu yako ni nini haswa?
Hii nchi si ya baba yako na mashoga zenu tu! Hii ni Mali ya Watanganyika!! Watanganyika ndo hawa wameanza kuinua vichwa. Asante Warioba, Butiku, Lissu, Gwajima, Mpina na Polepole.
Na wengine tupo njiani tunakuja!! Tanganyika inarudi