watu weuweeeeeehπ π πWe ndiye wangu tabibu ,
Najisogeza wala usipate tabu,
Yako mikono ikinitomasa yafanya nitubu,
Napenda ukijituliza kwa bed na yako miguno wala si bubu
πππ
Acha kunitag kijana, unanijazia notification!Sio moyo ni mwili, akili na roho vyote vimegota kwa penzi shatashata la Binti wa zamani
Japo kwa kuchelewa sana πwatu weuweeeeeehπ π π
thanks much kibabu wanguπJapo kwa kuchelewa sana π
Heri ya kuzaliwa ewe mrembo mwenye kuzeeka na uzuri wako ,
Mwenyezi azidi kukuweka huku baraka zake zikizidi kutiririka juu yako.
Aagh basi niseme uko so beautiful ππthanks much kibabu wanguπ
I receive the blessing bt wait hapo kwenye uremboo ni ulongoooπ
ooh thank you ππ bado dirisha la kupokea zawadi lipo waziAagh basi niseme uko so beautiful ππ
Serengeti apple 4 zinakutosha πooh thank you ππ bado dirisha la kupokea zawadi lipo wazi
na vinyama nyama kidogo usisahauπSerengeti apple 4 zinakutosha π
Nipe lipa namba ya TTCL
Tuma kule.na vinyama nyama kidogo usisahauπ
nitume hapa au kule?π
tayaliTuma kule.
Umetuma wapi we kibibi ππtayali
si umesema kuleπ€£π€£π€£Umetuma wapi we kibibi ππ
Apa basi ππsi umesema kuleπ€£π€£π€£
Mimi hata sitaki kutia neno! π Kidogo tu atakuattack huyo kama mliitiliana sumu kizazi kilichopita ππΎSijamuona mke mwenzako humu, Seran njoo uone nimefikiwa na wale wapuuzi
ERoni Njoo utoe hela utapoteza tamu yako
View attachment 3626636
aaaah mi nishatuma kule tayali πApa basi ππ