Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

Kudai haki kunatoka moyoni, si katika vyama. Hata kikifutika watu wanachodai ni haki.
 
Kwa nini Watanzania mnapenda kukaririshwa maneno ambayo hayana mantiki yoyote? Ona sasa tunachofanya hiyo kauli tangu aitoe Mh. Job ndio imebebwa hivyo hivyo bila kufikiri athari na sababu ya CHADEMA kuchelewa kupeleka majina. Tukumbuke pia Mh. Job alitukaririsha kuwa Mh. Lissu kipindi yupo matibabu Ulaya eti anazurura ashitakiwe kwa uzururaji na Watanzania kwa kukosa weledi na utu tukayabeba maneno yale na haya pia kama yalivyo. Watanzania tuna tatizo gani juu ya uwezo wetu wa kufukiri hasa masuala yanayowahusu wapinzani?
 
Nenda wewe badala yake,yeye hayuko tayari kushiriki haramu
 
Agenda yetu si viti maalum, huko tushatoka. Sasa agenda ni kuwaadhibu walioharibu uchaguzi. Mwizi achomwe moto, jambazi auawe.
 

Wengi mnaamini kuwa kuna ela za wahisani hazitokuja bcoz ya upinzani kuwa haupo

Kwanza mnatakiwa kujua bunge litabadilisha kanuni na mambo yataendelea

Pili hizo pesa kama hazitokuja je anakomolewa nani?

Hata familia yako itaumia sasa utapata faida gani?
 
Unawashwa wewe
 
Agenda yetu si viti maalum, huko tushatoka. Sasa agenda ni kuwaadhibu walioharibu uchaguzi. Mwizi achomwe moto, jambazi auawe.

Wakati ww umekaa kwenu na mke wako hapo hahahaah

Mbona ujaenda road siku maandamano yameitwa?

Unaamini lisu anaweza kufanya kitu kwa niaba yako? Anza ww basi kulipa fee ya ICC tuone kama utaweza
 
Mpaka leo tunavyoongea hakuna matokeo rasimi ya kila kituo, kata na Jimbo
Huenda chadema walioshinda uraisi na ubunge kwa wingi, Sasa wabunge19 Ni utopolo tu
Ngoja tuone matunda ya ubabe wa kishamba
 
Wakati ww umekaa kwenu na mke wako hapo hahahaah

Mbona ujaenda road siku maandamano yameitwa?

Unaamini lisu anaweza kufanya kitu kwa niaba yako? Anza ww basi kulipa fee ya ICC tuone kama utaweza

Kama tunaambiwa Yesu ni mwana wa Mungu aliuliwa na wanadamu ili awakomboe wanadamu, ni kwanini watu au Mungu hawakumpambania asiuliwe? Sii lazima kuandamana hapo kwa hapo, kilichofanyika ni kupanda mbegu ya kuja kuandamana, na kwa mwenendo huu ni lazima maandamano yatatokea tu, kwani hakuna mwenye imani tena ya box la kura. Na kwa taarifa yako, kilichotokea juzi ndio kimefikisha tamati ya watu kujitokeza tena kupiga kura, hivyo kwa vyovyote maandamano tu ndio yatawatoa ccm madarakani, na ninatabiri kutatokea umwagaji mkubwa wa damu, take it from me.
 
Hiyo kauli yako kuwa "haendi mtu" itunze vizuri mkuu. Unaongea as if wewe ni Mbowe, mara wameenda[emoji3][emoji3] aibu kwako sijui utasema nini.

Pitia uzi wangu vizuri, nimesema hata ikitokea wakaenda basi wajue watakuwa wameachana na matakwa ya wapiga kura wao, kuanzia hapo watagemee kura za vyombo vya dola kama ccm wafanyavyo.
 
Chanzo cha kufikia tukaingia kwenye hii dhahama ni nani? Wataalamu wanesema ukitaka kutibu tatizo lazima ujue chanzo cha tatizo ndipo ulipatie tiba tatizo lililopo. Kuna mambo yanafanywa tena waziwazi kisa kukikomoa chadema kwa kufanya hivo mlikuwa hamjui mnawahujumu wananchi nq Taifa kwa ujumla ? Hao wapinzania ni wazungu na sio Watanzania wenzetu?
 

Mfano hai maandamano ya juzi ni nani alikwenda kwenye familia yenu alikwenda ?
 
Mfano hai maandamano ya juzi ni nani alikwenda kwenye familia yenu alikwenda ?

Ukipanda mbegu sio lazima uvune jioni yake, hiyo kuhamasisha maandamano ni mbegu imeshapandwa, huenda mavuno yasingetokea juzi, lakini ni lazima yatatokea, hasa ukizingatia juzi ndio tumefunga rasmi ushiriki wa box la kura maana ni kupoteza muda, wakati tayari government machinery zina matokeo yao.
 
Chadema wanazuia maendeleo hawatakiwi bungeni
 
Mkuu acha kumpotosha Dada Halima, ubunge ndo kazi yake, mwache akafanye kazi yake ya ubunge. Wewe kama ulishashindwa usimshauri mwenzako kufanya maamuzi mabovu ili mshindwe wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…