Kama tunaambiwa Yesu ni mwana wa Mungu aliuliwa na wanadamu ili awakomboe wanadamu, ni kwanini watu au Mungu hawakumpambania asiuliwe? Sii lazima kuandamana hapo kwa hapo, kilichofanyika ni kupanda mbegu ya kuja kuandamana, na kwa mwenendo huu ni lazima maandamano yatatokea tu, kwani hakuna mwenye imani tena ya box la kura. Na kwa taarifa yako, kilichotokea juzi ndio kimefikisha tamati ya watu kujitokeza tena kupiga kura, hivyo kwa vyovyote maandamano tu ndio yatawatoa ccm madarakani, na ninatabiri kutatokea umwagaji mkubwa wa damu, take it from me.