Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Dada Sky Eclat , kwavile wana jf tuko wengi na hakuna awezaye kusoma makala za wana jf wote, mimi ni miongoni mwa tulio andika sana kuhusu uchaguzi mkuu wa 2020, tena wengi wameanza kuandika kuhusu uchaguzi huu, wakati wa mchakato wa uchaguzi, mimi nilianza kuandika kuhusu uchaguzi huu mwaka 2015 baada tuu ya uchaguzi Mkuu wa 2015, wakati wengine wote wakisubiri matokeo kwa hamu kubwa wakiamini EL atashinda, tarehe 28 October 2015 nilipandisha bandiko hili humu jf na nilisema kila kitu kuhusu uchaguzi wa 2020!Pascal kama unaamini vyama vya siasa ni viko kwa public interests, huoni kama ni muhimu kuwa na fair game kati ya chama tawala na vyama vya upinzani?
Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!
Wanabodi, Dr. John Pombe Joseph Magufuli ndiye mshindi wa urais Tanzania kwa mwaka huu wa 2015-2025 and may be more!, anayesubiri tuu kutangazwa rasmi na kuapishwa. Nimesema 2015 -2025 sio kwa bahati mbaya as if hakuna uchaguzi 2020, no!, nimesema 2015-2025 kwa sababu huu ndio ukweli...
Baada ya JPM kuingia madarakani na kasi yake, November 2015 nikapanda tena
Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...
Kwa miaka yote mitano nimekuwa nikiendesha darasa la bure kuhusu 2020
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au ni Magufuli tu?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, kwa uchaguzi wa 2020, kwa mujibu wa utaratibu wao CCM, tayari tunaye mgombea wa urais ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Swali la kujiuliza kwa huu upinzani uliopo Tanzania kwa sasa, jee kwa uchaguzi wa 2020 mgombea wa CCM, Dr. John Pombe Joseph Magufuli ana...
In 2015 Election, Tanzania had A Choice To Choose From. Jee Kwa 2020, Do We Still Have A Choice?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali dogo tuu kuwa uchaguzi wa 2015 tulikuwa na chaguo, jee uchaguzi wa 2020 tutakuwa na chaguo?. Declaration of Interest: Mimi Pascal Mayalla ni mshirika mkubwa wa "Joni Mtembezi Lebo Nyeusi" na ninapoandika hapa, tayari niko under the influence of Joni Mtembezi...
Uchaguzi 2020 - Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...
Wanabodi, Kipenga cha kuanza kwa kampeni za Uchanguzi Mkuu ujao kimepulizwa leo na fungua dimba amekuwa Chadema. Nimeangalia kidogo kupitia live ya TBC, kiukweli nilichoshuhudia, ndicho kimenipelekea mimi kuanzisha huu uzi ambao ni swali. Je, Tanzania tuna upinzani wa kweli, upinzani makini...
Hata ugombea wa Tundu Lissu, mimi nimeshiriki kumchagiza, kabla za zile pyu pyu za Dodoma
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu, Ili uchaguzi wa 2020 usiwe ni igizo tuu la uchaguzi, Je tumchagize na kushinikiza Tundu Lissu ndiye asimamishwe na upinzani kumkabili John P. Magufuli? kwa sababu mpaka sasa, Tundu Lissu ndie mwanasiasa pekee wa upinzani ambaye so far, ameonyesha ana...
Uchaguzi 2020 - Ili kuondoa kelele za kutotendewa haki, nawashauri CHADEMA na ACT wekeni Mawakala kila Kituo ili kujiridhisha, Uchaguzi Mkuu ni huru na wa haki
Wanabodi Declaration of Interest Naomba kuanza na ku declare interest kuwa mimi ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM ambaye ni muumini wa haki na demokrasia ya kweli ndani ya Bunge. Nautoa ushauri huu kwa dhati ya moyo wangu, licha ya ukada wangu kwa chama changu, CCM. Asiyekubali Kushindwa Sio...
Hata baada ya kujua Mgombea wa CCM ni Magufuli, why kuna watu bado wanaleta mizaha? Kunashusha hadhi ya Urais wetu!
Wanabodi, Leo tena nimepata fursa ya kuwaletea makala hii ya "Kwa Maslahi ya Taifa". Hili ni bandiko la wito kwa Watanzania tuache kufanya mizaha kwenye kila kitu kama hali ilivyo sasa ya kufanya mizaha kwenye kugombea Urais wa JMT na Zanzibar, hata watu wasiostahili, wanapeleka majina yao...
Uchaguzi 2020 - Kama TPSF ni wakweli, then, JPM, CCM itashinda ushindi wa kishindo cha ajabu! But for National Unity, TL ateuliwe Ubunge kuwafariji his sympathizers?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, ikitokea Tundu Lissu ameshindwa uchaguzi huu kihalali katika Uchaguzi Mkuu huru na wa haki, jee tumchagize JPM, for the the sake of national unity, and to heal the nation, amteue Tundu Lissu kuwa Mbunge wa kuteuliwa katika zile nafasi zake kumi za uteuzi as...
CHADEMA msipuuzie ushauri hata kama ni kutoka kwa shetani, sometimes the devils does good deeds
Wanabodi, Chadema kimekuwa kikishauriwa mambo mengi humu jukwaani, ila kimekuwa kichwa ngumu kupokea baadhi ya ushauri, kwa hoja kuwa unatoka kwa watu wasiokitakia mema, na wengine kufikia kiwango cha kuwaona kama ni shetani! Msemaji wa Chadema Tumaini Makene akakiri wazi kuwa Chadema inapuuza...
Tena licha ya mimi kuwa ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM, lakini nimepigania sana fair game hadi kutoa ushauri mahsus kwa watu mahsus
Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!
Wanabodi, Hili ni ombi maalum kwa watu maalum, hivyo hii thread sio thread ya watu wote bali ni thread maalum kwa watu maalum na lengo maalum la kutuma ujumbe maalum kabisa kwa watu maalum kabisa. Tanzania sio nchi ya watu fulani tuu au chama fulani tuu, Tanzania ni nchi ya Watanzania wote, wa...
Na baada ya chama changu CCM kushinda ushindi wa kishindo cha asilimia 99% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa , nilipandisha bandiko hili la kizalendo sana
Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi
Wanabodi, Tangu kuanza kwa pilika pilika za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, sijawahi kuzungumza lolote kuhusu uchaguzi huu kutokana na kuwa bize na shughuli za kitaifa, kwanza ni Wiki ya Msaada wa Kisheria iliyofanyika kitaifa mjini Bariadi Mkoani Simiyu na kufuatiwa na Wiki ya Azaki...
Watu wengi walikuwa na mategemeo makubwa na Chadema, niliwasaidia sana kuitathimini Chadema kama ina uwezo, the ability na capabilities
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali la tathmini kuhusu upinzani kuweza kuchukua nchi uchaguzi wa 2020. Kwa upande wa huku Tanzania Bara, ulizungumzia upinzani ni unazungumzia Chadema, hivyo hili bandiko kuihusu Chadema, as a representative wa upinzani kwa huku Tanzania Bara, vipi kuhusu Chadema...
Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?
Wanabodi, Kwanza sote tunalaani kwa dhati kabisa, kitendo alichofanyiwa Mhe. Tundu Lissu cha kumiminiwa risasi 38 na watu wasiojulikana, kati ya hizo risasi 16 zikampata!, kitendo ambacho kimefanywa mchana kweupe, tena akiwa kwenye eneo ambalo ni secure area!, maeneo ya waheshimiwa, ambayo...
Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini
Wanabodi, Kichwa cha habari cha bandiko hili kinajieleza wazi, hili likiwa ni bandiko la swali, kuwa siku zote huwa nailaumu Chadema kuwa hawajitambui na hawajui wanataka nini!. sasa kesho Chadema wanafanya uchaguzi wa Mwenyekiti, swali ni jee sasa Chadema wanajitambua?, jee wanajua wanataka...
Mabandiko hayo matatu yalithibitisha Chadema hakuna kitu for 2020!. Ile nguvu na hamasa ya upinzani uchaguzi wa 2020, ni kutumia tuu upepo wa Tundu Lissu.
Kwa kifupi nilisema
Hivyo Dada yangu Sky Eclat, and by the way mimi as a human being, nimetokea kukupenda fulani hivi japo sijakuambia...Wanabodi,
Naanza Bandiko Hili na Declaration, Kisha Naleta Justification
Naomba kuanza kwa declaration of interest, mimi Paskali wa Jeiefu, japo ni mwanachama wa chama cha siasa, hoja zangu ni za kizalendo zaidi kwa nchi yangu na sio za chama changu, ndio maana mtu wa chama kingine, anakishauri chama kingine!. Lengo la declaration hii ni kwa ajili ya manazi wa Chadema waliotamalaki humu JF, ambao ukichangia jambo lolote ambalo hawalipendi, watakushukia kwa kukubeza, kwa vile wewe sio Chadema, mambo ya Chadema, yanakuhusu nini?!, hivyo maneno kama "pilipili usioila inakuwashia nini?" hayawezi kukosekana. Naamini kuna Watanzania wengi kama mimi ambao ni wanachama wa vyama vya siasa, ambao wako very objective kwa maslahi ya taifa wakiwemo wana CCM ambao wangependa kuona, nchi yetu inapata credible opposition, kwa huku Bara, Chadema ndicho chama pekee kilichoonyesha angalau kinaweza, ila baada ya kutokea huyu game changer aliyabadili the political game, Chadema imeporomoka na baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, kama Chadema hawatafanya the right thing now, they are going to be reduced to nothing. Chadema ikifa, sio hasara kwa Chadema na wanachama wa Chadema tuu, ni hasara kwa Taifa na Watanzania kwa ujumla kwa nchi kurejea chini ya mfumo wa chama kimoja which is not good at all kwa majaaliwa ya mustakabali wa taifa letu.
Paskali
Jumapili njema
P.l