Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

Pascal kama unaamini vyama vya siasa ni viko kwa public interests, huoni kama ni muhimu kuwa na fair game kati ya chama tawala na vyama vya upinzani?
Mkuu Dada Sky Eclat , kwavile wana jf tuko wengi na hakuna awezaye kusoma makala za wana jf wote, mimi ni miongoni mwa tulio andika sana kuhusu uchaguzi mkuu wa 2020, tena wengi wameanza kuandika kuhusu uchaguzi huu, wakati wa mchakato wa uchaguzi, mimi nilianza kuandika kuhusu uchaguzi huu mwaka 2015 baada tuu ya uchaguzi Mkuu wa 2015, wakati wengine wote wakisubiri matokeo kwa hamu kubwa wakiamini EL atashinda, tarehe 28 October 2015 nilipandisha bandiko hili humu jf na nilisema kila kitu kuhusu uchaguzi wa 2020!

Baada ya JPM kuingia madarakani na kasi yake, November 2015 nikapanda tena

Kwa miaka yote mitano nimekuwa nikiendesha darasa la bure kuhusu 2020

Hata ugombea wa Tundu Lissu, mimi nimeshiriki kumchagiza, kabla za zile pyu pyu za Dodoma

Tena licha ya mimi kuwa ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM, lakini nimepigania sana fair game hadi kutoa ushauri mahsus kwa watu mahsus

Na baada ya chama changu CCM kushinda ushindi wa kishindo cha asilimia 99% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa , nilipandisha bandiko hili la kizalendo sana

Watu wengi walikuwa na mategemeo makubwa na Chadema, niliwasaidia sana kuitathimini Chadema kama ina uwezo, the ability na capabilities

Mabandiko hayo matatu yalithibitisha Chadema hakuna kitu for 2020!. Ile nguvu na hamasa ya upinzani uchaguzi wa 2020, ni kutumia tuu upepo wa Tundu Lissu.

Kwa kifupi nilisema
Wanabodi,

Naanza Bandiko Hili na Declaration, Kisha Naleta Justification

Naomba kuanza kwa declaration of interest, mimi Paskali wa Jeiefu, japo ni mwanachama wa chama cha siasa, hoja zangu ni za kizalendo zaidi kwa nchi yangu na sio za chama changu, ndio maana mtu wa chama kingine, anakishauri chama kingine!. Lengo la declaration hii ni kwa ajili ya manazi wa Chadema waliotamalaki humu JF, ambao ukichangia jambo lolote ambalo hawalipendi, watakushukia kwa kukubeza, kwa vile wewe sio Chadema, mambo ya Chadema, yanakuhusu nini?!, hivyo maneno kama "pilipili usioila inakuwashia nini?" hayawezi kukosekana. Naamini kuna Watanzania wengi kama mimi ambao ni wanachama wa vyama vya siasa, ambao wako very objective kwa maslahi ya taifa wakiwemo wana CCM ambao wangependa kuona, nchi yetu inapata credible opposition, kwa huku Bara, Chadema ndicho chama pekee kilichoonyesha angalau kinaweza, ila baada ya kutokea huyu game changer aliyabadili the political game, Chadema imeporomoka na baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, kama Chadema hawatafanya the right thing now, they are going to be reduced to nothing. Chadema ikifa, sio hasara kwa Chadema na wanachama wa Chadema tuu, ni hasara kwa Taifa na Watanzania kwa ujumla kwa nchi kurejea chini ya mfumo wa chama kimoja which is not good at all kwa majaaliwa ya mustakabali wa taifa letu.
Paskali
Hivyo Dada yangu Sky Eclat, and by the way mimi as a human being, nimetokea kukupenda fulani hivi japo sijakuambia...

Jumapili njema

P.l
 
Kama majina anapeleka yeyote,wewe si upeleke?halafu VHADEMA imepata wapi hizo nafasi wakati viti maalum vinatoka kwenye uwiano wa majimbo ya kushinda?

Chadema imepata Mbunge mmoja,viti hivyo inapataje?
CUF Lipumba imepata kiti kimoja sawa na Chadema mbona hawapati viti kama hivyo?
 
Ulijua kama uchaguzi uliopita Chadema haikufanya siasa miaka 5?na ulionaje kwenye mikitano hake?
Sasa basi jambo la msingi ni kufuta chama na kila mtu akafanye biashara yake

Chadema kuwa nje ya platform ya kuongea kwa miaka mitano ujui 2025 itakuwa ni kazi kubwa sana kishawishi watu?

But pia nikuulize swali je ni lini uchaguzi wa Tanzania ulikuwa huru na haki? Mbona hakuna chaguzi ambayo mligomea?

Tuache mfumo dume na ubinafsi wa kijinga
 
Kama majina anapeleka yeyote,wewe si upeleke?halafu VHADEMA imepata wapi hizo nafasi wakati viti maalum vinatoka kwenye uwiano wa majimbo ya kushinda?
Chadema imepata Mbunge mmoja,viti hivyo inapataje?
CUF Lipumba imepata kiti kimoja sawa na Chadema mbona hawapati viti kama hivyo?
Why usishangae ccm hawajapata viti maalum 150?

Chadema wamepata viti 19
 
Mkuu Dada Sky Eclat , kwavile wana jf tuko wengi na hakuna awezaye kusoma makala za wana jf wote, mimi ni miongoni mwa tulio andika sana kuhusu uchaguzi mkuu wa 2020, tena wengi wameanza kuandika kuhusu uchaguzi huu, wakati wa mchakato wa uchaguzi, mimi nilianza kuandika kuhusu uchaguzi huu mwaka 2015 baada tuu ya uchaguzi Mkuu wa 2015, wakati wengine wote wakisubiri matokeo kwa hamu kubwa wakiamini EL atashinda, tarehe 28 October 2015 nilipandisha bandiko hili humu jf na nilisema kila kitu kuhusu uchaguzi wa 2020!

Baada ya JPM kuingia madarakani na kasi yake, November 2015 nikapanda tena

Kwa miaka yote mitano nimekuwa nikiendesha darasa la bure kuhusu 2020

Hata ugombea wa Tundu Lissu, mimi nimeshiriki kumchagiza, kabla za zile pyu pyu za Dodoma

Tena licha ya mimi kuwa ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM, lakini nimepigania sana fair game hadi kutoa ushauri mahsus kwa watu mahsus

Na baada ya chama changu CCM kushinda ushindi wa kishindo cha asilimia 99% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa , nilipandisha bandiko hili la kizalendo sana

Watu wengi walikuwa na mategemeo makubwa na Chadema, niliwasaidia sana kuitathimini Chadema kama ina uwezo, the ability na capabilities

Mabandiko hayo matatu yalithibitisha Chadema hakuna kitu for 2020!. Ile nguvu na hamasa ya upinzani uchaguzi wa 2020, ni kutumia tuu upepo wa Tundu Lissu.

Kwa kifupi nilisema

Hivyo Dada yangu Sky Eclat, and by the way mimi as a human being, nimetokea kukupenda fulani hivi japo sijakuambia...

Jumapili njema

P.
Doooh Kaka paskali mbona umeenda mbali sana 😂 😂
 
  1. Ni kweli kabisa ! na wala si kosa kuwa kada wa chama chochote

    1. Hapana! TL alipoondolewa Bungeni hatukusikia watetezi wa haki za vyama.
    2. Kwa hili la wanawake, CCM wanahangaika sana, wewe kama kada unajua kwanini
    3. Halima alipofukuzwa Bungeni hatukisikia maneno ya kumtetea.
    4. Leo CCM wamaupata wapi wema tunaouona !
    5. Vyama vya siasa vilipopigwa marufuku ya siasa mbona hatukuwasikieni mkilalamikia kodi za wananchi?
    6. Wabunge walipo 'nunuliwa'' na kusababisha chaguzi za marudio na wao kurudi mjengo na mavazi ya kijani mbona hatukuwasikia akina kada na CCM.
    7. Kodi zipi mnazodhani ni bora?
    8. Ruzuku ni kodi lakini manunuzi na gharama za chaguzi ndogo ni haki na sawia! eh
    9. Mkuu hoja yangu hapa ni moja, suala la kuwa wanaamua nini ni lao na pengine wanachama wa Chadema
    10. Tunapoona wema wa CCM, NEC, Spika na Makada kuna maswali, kulikoni?
    11. Yaani uone simba na Chui wana mashada wakihudhuria birthday ya swala! real!
Mkuu Nguruvi3 , kwa vile jf was meant for ma GT, na imetokea humu jf ma GT wa ukweli wanahesabika, na kwa vile wewe Mkuu Nguruvi3, ni mmoja wa GT wa ukweli humu ambao mko wachache, hoja zako zote nazichukulia very serious hivyo hizi hoja za post yako hii, nimeziweka in points format, nitazijibu moja baada ya nyingine, no stones will be left unturned!.

Saa hizi najiandaa kwenda misa ya pili, kisha nikitulia, nakurudia mdogo mdogo
P
 
Serikali inataka kuwatumia wabunge wa Bawacha ku justify makosa yao kwa jumuia ya kimataifa.
Hakuna hoja ya kwanini hakuna kambi ya upinzani. Hilo tu linaharibu taswira ya nchi na kila kitu

Pili, kuna pesa ina masharti ya 'viongozi wa kamati za mjengoni'' watoke upande wa pili ambao haupo

Hapa kuna 'miscalculation' , lengo lilikuwa kuondoa baadhi 'vichwa ngumu'' kwa bahati mbaya kila mtu aka act na kufagia kambi yote. Sasa nini kifanyike? Waitwe akina Dada na Mama , wapewe kamati na kuwa kambi rasmi

Lakini yote hayo ni maoni ya kila mmoja, ukweli unabaki kuwa Chadema na Bawacha wana jukumu la kupima uzani wa hili suala wenyewe. Wakiamua ku trade hisani na haki au kutetea haki kwa gharama za hisani yote ni majibu kutoka kwao. CCM , NEC na Mjengoni waacheni waamue msiwaingilie. Mbona hakuna tatizo bungeni?
 
Sasa basi jambo la msingi ni kufuta chama na kila mtu akafanye biashara yake

Chadema kuwa nje ya platform ya kuongea kwa miaka mitano ujui 2025 itakuwa ni kazi kubwa sana kishawishi watu?

But pia nikuulize swali je ni lini uchaguzi wa Tanzania ulikuwa huru na haki? Mbona hakuna chaguzi ambayo mligomea?

Tuache mfumo dume na ubinafsi wa kijinga

Huu uchaguzi hauwezi kulinganishwa na mwingine wowote katika historia kuanzia July 1992. Bora turudi kwenye mfumo wa chama kimoja!
 
Hakuna hoja ya kwanini hakuna kambi ya upinzani. Hilo tu linaharibu taswira ya nchi na kila kitu

Pili, kuna pesa ina masharti ya 'viongozi wa kamati za mjengoni'' watoke upande wa pili ambao haupo

Hapa kuna 'miscalculation' , lengo lilikuwa kuondoa baadhi 'vichwa ngumu'' kwa bahati mbaya kila mtu aka act na kufagia kambi yote. Sasa nini kifanyike? Waitwe akina Dada na Mama , wapewe kamati na kuwa kambi rasmi

Lakini yote hayo ni maoni ya kila mmoja, ukweli unabaki kuwa Chadema na Bawacha wana jukumu la kupima uzani wa hili suala wenyewe. Wakiamua ku trade hisani na haki au kutetea haki kwa gharama za hisani yote ni majibu kutoka kwao. CCM , NEC na Mjengoni waacheni waamue msiwaingilie. Mbona hakuna tatizo bungeni?
Bungeni hakuna tatizo ila tunataka kuona wakina mama wetu wa chadema wanaenda kutuwakilisha mawazo yetu ya upinzani
 
Huu uchaguzi hauwezi kulinganishwa na mwingine wowote katika historia kuanzia July 1992. Bora turudi kwenye mfumo wa chama kimoja!
Basi na ruzuku muache coz mnapata ruzuku kutoka kwenye serikali ambayo imeingia kwa wizi
 
Mkuu Nguruvi3 , kwa vile jf was meant for ma GT, na imetokea humu jf ma GT wa ukweli wanahesabika, na kwa vile wewe Mkuu Nguruvi3, ni mmoja wa GT wa ukweli humu ambao mko wachache, hoja zako zote nazichukulia very serious hivyo hizi hoja za post yako hii, nimeziweka in points format, nitazijibu moja baada ya nyingine, no stones will be left unturned!.

Saa hizi najiandaa kwenda misa ya pili, kisha nikitulia, nakurudia mdogo mdogo
P

Ahaa ahaaaa eti naenda misa ya pili, ngoja tutaona ukija kugeuza hayo mawe.
 
Miaka yote CHADEMA huwa hairidhiki na matokeo ila huwa wanaenda bungeni hiyo ni kwa sababu wanaume wengi walikuwa wanachaguliwa
hii statement imetosheleza kila kitu, naomba sana Halima aisome hata mara 10 akiona haielewi aisome hata mara 900 itapendeza zaidi.
 
Basi na ruzuku muache coz mnapata ruzuku kutoka kwenye serikali ambayo imeingia kwa wizi

Kuna mtu kawalazimisha mpeleke hiyo ruzuku? Tungeni sheria kabisa chama kitakachopata 80%+ ndio kitakachopata ruzuku. Ni hivi, hawaendi kwenye hilo bunge kibogoyo, Aida anawatosha.
 
Naunga mkono hoja, maisha ni pesa, na hata wote waliokua waneomba nafasi mbali mbali, msingi wao mkubwa ni kupata pesa kisha mengine yanafuata, yes wapeleke majina ili wawape ajira, kwa kufanya hili watakua wamewasaidia watu wengi ambao ni tegemezi kwao.
WAPELEKE WAKAPIGE PESA, ACHANA NA POROJO ZA WATU.
 
Mbona barabarani hawaendi?
Mbona Hao wanainchi hawajapinga matokeo ya uchaguzi kuwa amechaguliwa mtu ambae wao hawakumpigia kura?

Au ww unazungumzia wanainchi wa dunia gani

Si kila mtu anaweza kudai haki yake kwa gharama ya kupoteza maisha, vinginevyo waalimu wa nchi hii wangekuwa wameshaingia barabarani.
 
Bungeni hakuna tatizo ila tunataka kuona wakina mama wetu wa chadema wanaenda kutuwakilisha mawazo yetu ya upinzani

Mkuu ,mpo wenyewe pambaneni na hali yenu huko Sababu ninyi ndio Serikali hakuna kitu kitakacho washinda.Isitoshe Mkuu wa Nchi alishakataa kuchanganyiwa Watu kutoka Upinzani iweje leo mnarudi tena na Nyimbo nyingine.Endeleeni tu na kikao chenu cha Mafis huko
 
Back
Top Bottom