Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

Dada halima najua uko poa kabisa

Madhumuni ya barua hii ya wazi ni kutaka kukufikishia ujumbe ufuatao

Kuna taarifa nimezipata chini ya kapeti zikisema kuwa asilimia kubwa ya Wabunge wanaume ambao wamekosa ubunge ndio wanapambana nyie wakina mama msiende viti maalum

Napenda kukwambia kuwa hao wabunge wanasema nyie msiende ni kwa sababu ya ubinafsi wao tu. Hii fursa ingekuwa ya wao wanaume wasingewasikiliza nyie kabisa ingekuwa wameshaenda long time

Wewe ndio kiongozi wa wanawake CHADEMA please acha kusikiliza hao wabinafsi, peleka majina ya akina mama wenzako ili mkatetee Chama

Miaka yote CHADEMA huwa hairidhiki na matokeo ila huwa wanaenda Bungeni hiyo ni kwa sababu wanaume wengi walikuwa wanachaguliwa

Najua una changamoto sana juu ya suala hili but be strong and peleka majina tume. Mwanaume ambae anakwambia msiende bungeni then mwambie avae sketi aende yeye.

Mi-ccm kazi mnayo. Kwamba ni huruma, kuumia, kuchukizwa au ni nini hasa kinachowasukuma kuhangaika na CDM hivi? Hata usingizi mnapata kweli?

Nyie ndiyo leo mmegeuka kuwa washauri wa CDM? Huko kwenu mlishamaliza kazi ya kumshauri jiwe japo akafahamu "#lives_of_others_matter?"

Kwa hiyo unataka apeleke majina ya wabunge wa kuitetea CDM ambayo CDM yenyewe haitaki waende kufanya kazi hiyo? Hizi kweli ni akili au ndiyo matope yenyewe?

Labda ungependekeza tu waende kuwatetea nyie? Bila shaka hapo ndipo angewaelewa vyema?
 
Mkuu ,mpo wenyewe pambaneni na hali yenu huko Sababu ninyi ndio Serikali hakuna kitu kitakacho washinda.Isitoshe Mkuu wa Nchi alishakataa kuchanganyiwa Watu kutoka Upinzani iweje leo mnarudi tena na Nyimbo nyingine.Endelewni tu na kikao chenu cha Mafis huko

Alisema tochi akichanganyiwa battery na gunzi haitawaka.

Mko na batteries tupu na aendelee kumulika, tochi inawaka bara-bara.
 
Mi-ccm kazi mnayo. Kwamba ni huruma, kuumia, kuchukizwa au ni nini hasa kinachowasukuma kuhangaika na CDM hivi? Hata usingizi mnapata kweli?

Nyie ndiyo leo mmegeuka kuwa washauri wa CDM? Huko kwenu mlishamaliza kazi ya kumshauri jiwe japo akafahamu "#lives_of_others_matter?"

Kwa hiyo unataka apeleke majina ya wabunge wa kuitetea CDM ambayo CDM yenyewe haitaki waende kufanya kazi hiyo? Hizi kweli ni akili au ndiyo matope yenyewe?

Labda ungependekeza tu waende kuwatetea nyie? Bila shaka hapo ndipo angewaelewa vyema?

Sasa mnafanya nn Tanzania? Si muende msumbiji huko mkafungue chama?

Mbona ruzuku mnachukua na hamsemi ela imetoka kwenye serikali ambayo hamuikubali
 
Si kila mtu anaweza kudai haki yake kwa gharama ya kupoteza maisha, vinginevyo waalimu wa nchi hii wangekuwa wameshaingia barabarani.
Ila kwa gharama za kugoma na kususa ni sawa au sio
 
Sasa mnafanya nn Tanzania? Si muende msumbiji huko mkafungue chama?

Mbona ruzuku mnachukua na hamsemi ela imetoka kwenye serikali ambayo hamuikubali

Kwani hiyo Serikali inatoa Pesa zake kutoka Mifukoni mwake !?.Au dhana ya Serikali hauitambui maanake unavyo andika hapa ni kama vile Serikali inafanya hisani na una sahau kuwa hili ni takwa la Sheria.

Futeni Sheria zote mnazoona zina wakwaza ikibidi badilini huu mfumo uwe ni Chama kimoja, una changia kama mlevi wa matap tap hapa.
 
Dada halima najua uko poa kabisa

Madhumuni ya barua hii ya wazi ni kutaka kukufikishia ujumbe ufuatao

Kuna taarifa nimezipata chini ya kapeti zikisema kuwa asilimia kubwa ya Wabunge wanaume ambao wamekosa ubunge ndio wanapambana nyie wakina mama msiende viti maalum

Napenda kukwambia kuwa hao wabunge wanasema nyie msiende ni kwa sababu ya ubinafsi wao tu. Hii fursa ingekuwa ya wao wanaume wasingewasikiliza nyie kabisa ingekuwa wameshaenda long time

Wewe ndio kiongozi wa wanawake CHADEMA please acha kusikiliza hao wabinafsi, peleka majina ya akina mama wenzako ili mkatetee Chama

Miaka yote CHADEMA huwa hairidhiki na matokeo ila huwa wanaenda Bungeni hiyo ni kwa sababu wanaume wengi walikuwa wanachaguliwa

Najua una changamoto sana juu ya suala hili but be strong and peleka majina tume. Mwanaume ambae anakwambia msiende bungeni then mwambie avae sketi aende yeye.
peleka jina la mama yako akawe mbunge, kwani unashindwa nini?
 
Kwani hiyo Serikali inatoa Pesa zake kutoka Mifukoni mwake !?.Au dhana ya Serikali hauitambui maanake unavyo andika hapa ni kama vile Serikali inafanya hisani na una sahau kuwa hili ni takwa la Sheria.

Futeni Sheria zote mnazoona zina wakwaza ikibidi badilini huu mfumo uwe ni Chama kimoja, una changia kama mlevi wa matap tap hapa.
Hata viti maalum ni sheria
Au nyie kwenu sheria ni Ile tu ambayo inawapa nyie pesa basi?
 
Hayo mambo yalikuwepo tangu wakati wa Mzee Slaa
Kwani yameanza jana au juzi?

Mbona hamkugoma kipindi hiko?
yaani wewe mbwa kwa akili yako yote unaamini vyama vyote vya upinzani vimeshindwa vyote na sisiemu kupata ushindi wa asilimia 100? historia imekuwa ukionyesha kuanzia 1992 upinzani umekuwa ukiongezeka, iweje 2020 ghafla upinzani ufe wote? tumia akili wewe popoma, wapinzani wana hoja ya msingi
 
Kwani ww ufaulu wako wakati unasoma ulikuwa unapanda kila mwaka?
 
Sasa mnafanya nn Tanzania? Si muende msumbiji huko mkafungue chama?

Mbona ruzuku mnachukua na hamsemi ela imetoka kwenye serikali ambayo hamuikubali

Ajabu ni kuwa pana watu wanadhani Tanzania ni yao peke yao.

"Kwani nyinyi mnafanya nini Tanzania si muende msumbiji huko mkafungue chama?"

Kweli ujinga ni mzigo. No wonder hata jiwe anafikiria hivyo hivyo.
 
Sasa nyie si hamkubaliani na kila kitu, wazee za siasa za kupinga na kususa
 
Haipo hakika kama ulimaliza kuandika kabla ya ku post.

Ila kila kitu ni nini? Uporaji haki na uhuru wa raia nao umo?

Wizi wa uchaguzi, uuwaji, utekaji na yote ya namna hiyo ni zezeta tu ndiyo anayeweza kukubaliana nayo.
 
Back
Top Bottom