😂😂😂😂Ila kweli wamezidi. Mpaka wamekubatiza eti we Pawa Mabula. Hata sijui ni kwa nini. Pengine ni kwa vile umekuja na moto sana 24/7 uko active kila post upo tena inaonekana ni wale watu wanaojua kila kitu na matusi unaporomosha ikibidi. Sasa wenzio wanakuwa threatened hence the personal attacks. Sijui kama umeshawachukulia waume zao humu. Wabongo sisi 🚮
View attachment 3614802
View attachment 3614803
Ila JF hii haina mtaalamu aisee! Walikuwepo wengi waliokuwa na moto zaidi yako lakini wengi waliishia kwenye aibu wakaikimbia JF au kubadili ID. Walikuwepo akina Demiss. Akina Mbitiyaza. Akina Wangari Mathai. Akina Cutelove. Wengi tu. Hata wewe chukua tahadhari. Usijifanye mjuaji wa kila kitu na kuporomosha matusi. Mwisho wako hapa JF unaweza usiwe mzuri na usiwaone wenzio wametulia ukafikiri ni wajinga. But again you are you and you are free. Uko huru kufanya cho chote utakacho ali mradi tu huvunji sheria. Na jamii itakuelewa tu hatimaye. Vumilia! 👏👏👏👏
View attachment 3614800
Kumbe na wewe kama mimi,nimesoma page ya kwanza tu,Page 10 naanzia kusoma wapi?
Tate Mkuu page gani imenoga nianze nayo
Kumbe ushawahi kupata mchumbaNadhani humu JF mm ndo hua siko serious ndo mana cjawah kuumizwa kichwa na chcht cha humu JF
Nawashangaa sana watu wanaoichukulia JF kama vile ndio muongozo wa maisha yao kiasi kwamba hadi wanashikiwa akili na watu wa humu na kila kitu kilichomo Humu.
Imagine niliwahi kumpoteza mwanamke niliyewah kukutana nae humu JF kisa ameshikiwa Akili na mambo ya JF akizani upuuzi wa humu kila mtu anao.
Anawaambia wahusika wa JF waufute ama ana edit anaacha kinukta tuUzi unafutwaje?
Kwani wanawake hawawezi jiunga Jf auAseee mimi ni wa kiume
Huoni hizi kende 2sexy 😃
Nwei, kimsingi JF sidhani kama jinsia ina-matter ... i mean,JF is all about being fake,sasa mtu akijua jinsia yako inakusaidia nini? Kama wakidhani ni wa kike fresh,wakidhani ni kiume ni fresh zaidi
Utapata tabu kuaminisha watu jinsia yako kama kuna malengo yako ya "pembeni" unawish yatimie
Si ndio braza Evelyn Salt ?
Asiiione The Icebreaker wala braza min -me
Nasubiri sukari yako ishuke tuongee ana kwa ana!Naruhusu maoni, chonde chonde leo sukari yangu iko juu!
Joanah na Evelyn Salt ni mabro hao.Pole dada Seran
ILa amini wote hawatakupenda hao wanakuattack wapotezee
Kuda ID Joanah walimuattack kwamba yeye ni wa kiume
Lakini aliwahandle vizuri
Mim nipo mbali tafuta wa karibu yako.Nakusubiri wewe,nioe basi!
Sidhani kama huwa wanakubali kirahisi kufuta. Na ukiacha kinukta wakagundua wanaridisha uzi woteAnawaambia wahusika wa JF waufute ama ana edit anaacha kinukta tu