Barua ya wazi kwa members wenye chuki zisizo na msingi kuhusuya Id yangu!

Sasa kama umeolewa tunda unakula saa ngapi masaa 24 upo jf
🤣🤣🤣🤣kuna mwamba alikuwa anajiita Joseverest, yule mdau hakuna mtu ambaye amewahi kumfikia viwango vyake.
the guy was acting like a robot. Kwenye kila uzi yeye ni wa kwanza ku comment. halafu hana maneno mengi.
 
Dah wapuuzi wa humu wanazingua sana aisee.

Afu girl mwnyw nilikuwa namkubali na hadi nshaanza kumuweka akilini akaja kunizngua mm nikiwa dkk ya 80 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…