Barua ya wazi kwa members wenye chuki zisizo na msingi kuhusuya Id yangu!

Ni mengi yatasemwa na yata kuchukiza ila ibakua heshima kwako, so appriciates to you
 
Sasa baada ya yote kupita(maana yamepita), mjukuu upate pumziko walau weekend hii upumzishe maungo kidogo. Babu yupo hana shida wala..
 
"Ungejifunza kupuuza na nguvu yake ingekusaidia kuishi na hao wapumbavu"


Hii yakupuuzia wapumbavu imenisaidia sana

Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…