Barua ya wazi kwa members wenye chuki zisizo na msingi kuhusuya Id yangu!

Poleeee
 
Ukitaka kupigana njoo, njoo sasa nikuonyeshe shoo, mie mambo yangu kwa vitendo nani kakuita shoga???? Unitag niwe napata notification mapema
 
ephen kafanyaje tena mkuu? hahaha
ila huu uzi umenichekesha sana
 
mpwayungu aliondoka sababu alipata kazi inayoeleweka, sio kwa sababu ya umaarufu.
humu pia ukiona mtu anashinda sana either ni jobless au anafanya biashara mtandao hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…