Uchaguzi 2020 Barua ya Wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu Mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu (2020) za Mheshimiwa Tundu Lissu

Siwapangii wananchi na wewe usiwapangie. Tuwaachie waamue.
#wananchinisisi
 
Kwahiyo yuko huru kufanya lolote hata kinyume na sheria?
Kitu gani amefanya kinyume cha sheria. Acheni upumbavu wenu.
Anayevunja sheria, kanuni na utaratibu wa uchaguzi hakuna mwingine zaidi ya mgombea wa ccm
 
Wewe ni kada wa ccm,usijaribu kuukana ukada wako ili hoja yako ioate mashiko!
 
Sasa hivi ni kipindi cha kampeni, haivumiliki kuongea uongo ambao unaweza kuleta madhara makubwa kwenye umoja, amani na mshikamano wetu Kama taifa.

Tindu Antipas Lissu akataliweeeeeee
Umoja, amani na mshikamano gani wakati wananchi wanabomolewa nyumba kinyume na amri ya mahakama, kisa jiwe hakupata kura huko?!
 
Mkuu umenichekesha sana,2015 Kuna wakina mama kule kigogo mburahati walishangilia hapa kazi tu wakiamini hapa kazi ndo suluhisho la matatizo yao,juzi nimepeta mitaa yao yaani wanaona aibu maana maisha yao ni afadhari ya jana🤣🤣🤣🤣😜
 
Uongo wa Lissu ni upi na wewe leta ukweli wako.
 
Buku 7 ndogo, fanya top up hata ya elf 3 ili tuwe tunasepa na mwekundi.

Ila on a serious note, hii ishu ya buku 7 na namba ya simu inatokea wapi? Nini asili yake?
 
Tangu kampeni zianze sijamuona mgombea yeyote akipiga kampeni kwa kilugha chake au lugha yoyote zaidi ya lugha yetu adhimu, lugha ya taifa kiswahili. Sana sana nimewasikia wagombea wakichomekea kisukuma na kiingereza (Magufuli) na kiingereza (Lissu).
Wapi maadili yanasema unaruhusiwa kuchomekea lugha yako kwa sentesi kibao? Kwani maeneo hayo hakuna wakazi wa makabila mengine? Uliwahi ona viongozi gani wa awamu nyingine wakitumia lugha zao wakati wa lampeni kwenye maeneo yenye watu wengi wa kabila lao?

Jaribu kuwa mkweli ili tuponye taifa letu na tuache ushabiki wa mtu au siasa.
 
Huna lolote wewe !!. Je wagombea wanaotoa lugha za kibaguzi tuwafanyeJe ?!
Na wale wanaoeneza ukabila tuwaweke kundi gani ?!.
 
Jamani mkivunja muungano sisi wanyamwezi tuliopo huku zanzibar mtatuweka katika kundi gani
 
Uzuri moja wale mliokuwa mnawategemea kuwasemea (mabeberu) wamepigwa pini ya hali ya juu. Hawawezi kusema lolote lile maana walifikiri Tanzania haikujipanga. Mwaka huu tumejipanga na namba mnaisoma bado mapema. Safi sana, mmebaki kupiga zumari tu humu JF, CCM ni mbele kwa mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…