Uchaguzi 2020 Barua ya Wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu Mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu (2020) za Mheshimiwa Tundu Lissu

Acha kuota ndoto za vurugu na umwagaji wa damu usiokuwepo!
Zile propaganda za kizamani za kutuwekea sinema za kivita kwenye tv zenu ili kuutisha umma usiache kuichagua ccm eti ni chama chenye kuilinda amani zimekukaa ubongoni mwako na kuganda!
Hizi fitina zako ziko wazi kwani umewaadress wateule wa ccm na ambao ni mawakala na makada wa ccm ambao Wana maagizo ya kulazimisha na kumtangqza mshindi kutoka ccm hata Kama hajashinda! Hamasa yako hii inahanikiza hizo vurugu na uvunjivu wa amani Kama hukujua ujue hivyo!
Binafsi nakuona mjinga usiyeweza kuwaza sawasawa bila kuwa na upande! Hakuna wa kutishiwa kipuuzi Kama unavyodhani na ikibidi kuidai haki na demokrasia isiyo na konakona tutafanya hivyo bila ushawishi na kikwazo Cha aina yoyote kutoka kwa mwanasiasa! Wananchi wa Sasa wanajitambua hivyo usiwapangie!
Siwapangii wananchi na wewe usiwapangie. Tuwaachie waamue.
#wananchinisisi
 
Kwahiyo yuko huru kufanya lolote hata kinyume na sheria?
Kitu gani amefanya kinyume cha sheria. Acheni upumbavu wenu.
Anayevunja sheria, kanuni na utaratibu wa uchaguzi hakuna mwingine zaidi ya mgombea wa ccm
 
Lissu anaeleweka kwa wapuuzi tu vibaka waliokosa cha kufanya wanahitaji pesa ya kuja ghafla mfukoni....kama unapiga kazi halali huna neno juu ya magufuri..

Ukweli ni kuwa magufuri anashinda kwa kishindo kikubwa mno ijapokuwa sinaga mambo ya uvyama ila kila maeneo unayopita ushindi uko wazi.alichokosea lissu ni kuwa na siasa za kulalamika kupigwa na hajui nani kampiga.....watanzia wapo wengi wenye matatizo yao awe na siasa za ushawishi siyo za kupaniki ili tuone ana uchungu kumbe ana ajenda yake ya kufinywa kinyeo na wazungu.
Wewe ni kada wa ccm,usijaribu kuukana ukada wako ili hoja yako ioate mashiko!
 
Sasa hivi ni kipindi cha kampeni, haivumiliki kuongea uongo ambao unaweza kuleta madhara makubwa kwenye umoja, amani na mshikamano wetu Kama taifa.

Tindu Antipas Lissu akataliweeeeeee
Umoja, amani na mshikamano gani wakati wananchi wanabomolewa nyumba kinyume na amri ya mahakama, kisa jiwe hakupata kura huko?!
 
Lissu anaeleweka kwa wapuuzi tu vibaka waliokosa cha kufanya wanahitaji pesa ya kuja ghafla mfukoni....kama unapiga kazi halali huna neno juu ya magufuri..

Ukweli ni kuwa magufuri anashinda kwa kishindo kikubwa mno ijapokuwa sinaga mambo ya uvyama ila kila maeneo unayopita ushindi uko wazi.alichokosea lissu ni kuwa na siasa za kulalamika kupigwa na hajui nani kampiga.....watanzia wapo wengi wenye matatizo yao awe na siasa za ushawishi siyo za kupaniki ili tuone ana uchungu kumbe ana ajenda yake ya kufinywa kinyeo na wazungu.
Mkuu umenichekesha sana,2015 Kuna wakina mama kule kigogo mburahati walishangilia hapa kazi tu wakiamini hapa kazi ndo suluhisho la matatizo yao,juzi nimepeta mitaa yao yaani wanaona aibu maana maisha yao ni afadhari ya jana🤣🤣🤣🤣😜
 
Ndugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),

Ninachukua fursa hii kukupongeza wewe na timu yako kwa kazi ngumu mnayoifanya. Mnafanya kazi zenu kwa weledi na kwa mujibu wa sheria. Hongereni sana.

Kama inavyofahamika, nchi yetu hufanya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kila baada ya Miaka mitano. Hii ni kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ambayo ni nchi inayofuata demokrasia ya vyama vingi.

Ndugu mwenyekiti, mwaka huu, 2020 Tanzania itafanya Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Tayari kampeni za uchaguzi zimeanza kote nchini huku vyama mbalimbali vikizunguka kunadi ilani zao za uchaguzi.

Itakumbukwa kuwa lengo la kampeni hizo Ni kunadi sera za chama husika ili wananchi waweze kufanya maamuzi sahihi siku ya kupiga kura. Kampeni hizi zinatawaliwa na kanuni, sheria na taratibu pamoja na utamaduni wetu Kama watanzania. Hivyo, haitarajiwi kampeni hizi kutumika Kama sehemu ya kuwagawa Watanzania.

Hivi karibuni tumeshuhudia vitendo kadhaa vya uvunjifu wa amani ambavyo mara zote hufanywa na chama kimoja tuu, CHADEMA. Kabla ya kuanza kampeni, tulimsikia Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia tiketi ya CHADEMA akiweka wazi kuwa atawaingiza watanzania barabarani Kama hatatangazwa mshindi. Tuliahihudia waandishi wa TBC wakifukuzwa kwenye uzinduzi wa kampeni za CHADEMA pale mbagala kwenye viwanja vya zakhiem.

Tundu Lissu akiwa jijini Mbeya aliendeleza mashambulizi kwa viongozi wa nchi kuwa itawaka Moto usiozimika. Huku akijua kabisa analengo gani, anaweza hoja za kuwa atadhuriwa huku akijenga hoja "kijanja" na kuwatumbukiza viongozi wa nchi ili wananchi wakoae imani na viongozi hao.

Kubwa kuliko Ni kauli yake aliyoyafanya Zanzibar akisema Hayati mzee Karume alilazimishwa kusaini makubaliano ya Muungano kinyume na mapenzi yake. Aliunda mbali zaidi kuwaambia ndugu zetu wazanzibar wanachaguliwa viongozi wao na Tanganyika huku akijua fika kuwa vikao hufanyika Dodoma kwasababu ndio makao makuu ya chama cha Mapinduzi.

Kauli hizi anazitoa sio kwa bahati mbaya kwani Mheshimiwa Lissu ni wakili msomi mwenye weledi mkubwa wa masuala ya kisheria. Anafanya hivi kwa makusudi akitumia utaalamu wake wa kisheria kuwashawishi watanzania kuamini uongo ambao unaweza kupelekea uvunjifu wa amani.

Ninaomba nikiwa Kama mtanzania mzalendo ninayeipenda nchi yangu kuwa Mheshimiwa Lissu aonywe na aelekezwe kujikita kwenye kueneza sera za chama chake. Ni muhimu Mheshimiwa Lissu akumbushwe kuwa Kuna maisha baada ya Uchaguzi. Mimi na yeye tunaweza tusiwepo, Ila watanzania amvao Ni ndugu, rafiki na watoto wetu wayendelea kuwepo. Hawa wanastahili kesho bora zaidi.

Ni vema Mheshimiwa Lissu akakumbushwa kuwa viongozi wa kisiasa Kama yeye ni watu wenye ushawishi kwa wafuasi wao na kuwa maneno yao yanaweza kuleta Faraja au huzuni, kilio au furaha, upendo au chuki, umoja au utengano zaidi sana kifo au maisha.

Amani Msumari
Tanga

Nakala:
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania
Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania
Katibu Mkuu - CHADEMA
Katibu Mkuu - CCM
Uongo wa Lissu ni upi na wewe leta ukweli wako.
 
Ni kweli hawajielewi, na kutokujielewa si kosa, ni matokeo ya elimu duni inayotolewa na chama unachokipigia debe. Kusema mtu hajielewi na neno ulilonipandikizia la ubaguzi si sahihi. Hata hivyo TL anawapenda ndio maana kila siku anawafundisha elimu ya uraia ili watambue wajibu na haki zao. Kama kawaida yenu nimewashauri muwekeze huko kabla TL hajafika ili mjipatie kura za bure. Huku hampati watu na mnalipwa buku 7 za bure tu!
Buku 7 ndogo, fanya top up hata ya elf 3 ili tuwe tunasepa na mwekundi.

Ila on a serious note, hii ishu ya buku 7 na namba ya simu inatokea wapi? Nini asili yake?
 
Tangu kampeni zianze sijamuona mgombea yeyote akipiga kampeni kwa kilugha chake au lugha yoyote zaidi ya lugha yetu adhimu, lugha ya taifa kiswahili. Sana sana nimewasikia wagombea wakichomekea kisukuma na kiingereza (Magufuli) na kiingereza (Lissu).
Wapi maadili yanasema unaruhusiwa kuchomekea lugha yako kwa sentesi kibao? Kwani maeneo hayo hakuna wakazi wa makabila mengine? Uliwahi ona viongozi gani wa awamu nyingine wakitumia lugha zao wakati wa lampeni kwenye maeneo yenye watu wengi wa kabila lao?

Jaribu kuwa mkweli ili tuponye taifa letu na tuache ushabiki wa mtu au siasa.
 
Ndugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),

Ninachukua fursa hii kukupongeza wewe na timu yako kwa kazi ngumu mnayoifanya. Mnafanya kazi zenu kwa weledi na kwa mujibu wa sheria. Hongereni sana.

Kama inavyofahamika, nchi yetu hufanya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kila baada ya Miaka mitano. Hii ni kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ambayo ni nchi inayofuata demokrasia ya vyama vingi.

Ndugu mwenyekiti, mwaka huu, 2020 Tanzania itafanya Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Tayari kampeni za uchaguzi zimeanza kote nchini huku vyama mbalimbali vikizunguka kunadi ilani zao za uchaguzi.

Itakumbukwa kuwa lengo la kampeni hizo Ni kunadi sera za chama husika ili wananchi waweze kufanya maamuzi sahihi siku ya kupiga kura. Kampeni hizi zinatawaliwa na kanuni, sheria na taratibu pamoja na utamaduni wetu Kama watanzania. Hivyo, haitarajiwi kampeni hizi kutumika Kama sehemu ya kuwagawa Watanzania.

Hivi karibuni tumeshuhudia vitendo kadhaa vya uvunjifu wa amani ambavyo mara zote hufanywa na chama kimoja tuu, CHADEMA. Kabla ya kuanza kampeni, tulimsikia Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia tiketi ya CHADEMA akiweka wazi kuwa atawaingiza watanzania barabarani Kama hatatangazwa mshindi. Tuliahihudia waandishi wa TBC wakifukuzwa kwenye uzinduzi wa kampeni za CHADEMA pale mbagala kwenye viwanja vya zakhiem.

Tundu Lissu akiwa jijini Mbeya aliendeleza mashambulizi kwa viongozi wa nchi kuwa itawaka Moto usiozimika. Huku akijua kabisa analengo gani, anaweza hoja za kuwa atadhuriwa huku akijenga hoja "kijanja" na kuwatumbukiza viongozi wa nchi ili wananchi wakoae imani na viongozi hao.

Kubwa kuliko Ni kauli yake aliyoyafanya Zanzibar akisema Hayati mzee Karume alilazimishwa kusaini makubaliano ya Muungano kinyume na mapenzi yake. Aliunda mbali zaidi kuwaambia ndugu zetu wazanzibar wanachaguliwa viongozi wao na Tanganyika huku akijua fika kuwa vikao hufanyika Dodoma kwasababu ndio makao makuu ya chama cha Mapinduzi.

Kauli hizi anazitoa sio kwa bahati mbaya kwani Mheshimiwa Lissu ni wakili msomi mwenye weledi mkubwa wa masuala ya kisheria. Anafanya hivi kwa makusudi akitumia utaalamu wake wa kisheria kuwashawishi watanzania kuamini uongo ambao unaweza kupelekea uvunjifu wa amani.

Ninaomba nikiwa Kama mtanzania mzalendo ninayeipenda nchi yangu kuwa Mheshimiwa Lissu aonywe na aelekezwe kujikita kwenye kueneza sera za chama chake. Ni muhimu Mheshimiwa Lissu akumbushwe kuwa Kuna maisha baada ya Uchaguzi. Mimi na yeye tunaweza tusiwepo, Ila watanzania amvao Ni ndugu, rafiki na watoto wetu wayendelea kuwepo. Hawa wanastahili kesho bora zaidi.

Ni vema Mheshimiwa Lissu akakumbushwa kuwa viongozi wa kisiasa Kama yeye ni watu wenye ushawishi kwa wafuasi wao na kuwa maneno yao yanaweza kuleta Faraja au huzuni, kilio au furaha, upendo au chuki, umoja au utengano zaidi sana kifo au maisha.

Amani Msumari
Tanga

Nakala:
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania
Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania
Katibu Mkuu - CHADEMA
Katibu Mkuu - CCM
Huna lolote wewe !!. Je wagombea wanaotoa lugha za kibaguzi tuwafanyeJe ?!
Na wale wanaoeneza ukabila tuwaweke kundi gani ?!.
 
Jamani mkivunja muungano sisi wanyamwezi tuliopo huku zanzibar mtatuweka katika kundi gani
 
Uzuri moja wale mliokuwa mnawategemea kuwasemea (mabeberu) wamepigwa pini ya hali ya juu. Hawawezi kusema lolote lile maana walifikiri Tanzania haikujipanga. Mwaka huu tumejipanga na namba mnaisoma bado mapema. Safi sana, mmebaki kupiga zumari tu humu JF, CCM ni mbele kwa mbele.
 
Back
Top Bottom