Uchaguzi 2020 Barua ya Wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu Mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu (2020) za Mheshimiwa Tundu Lissu

Acha uongo basi.
Jimbo la Tanga mjini, Arusha mjini, Kibamba, Ubungo, Mbeya mjini n.k yalikuja chini ya upinzani na yamepelekewa Maendeleo. So piga kimya mzee baba.
kwa hiyo unapingana na jiwe siyo? wewe humsikii kila akihutubia maeneo waliochagua wapinzani anawatishia (asijue hakuna wa kumtisha hapa) waz waz kuwa hakupeleka maendeleo sababu walichagua wapinzani?
 
Maelezo yako yamejaa chuki kwanza hakusema atangazwe hata kama hakushinda lakini ww badala ya kupeleka kilio chako tume uwaambie watende haki unamlaumu mtu na hujaona wapinzani walivyoenguliwa kiujanja ktk ubunge na udiwani hayo hulalamiki
 
Hapa
Hapati kitu tanzania hapa, na atakae enda barabarani ajipange kuishi mapolini kama nyumbu na sio mapoli ya tanzaia kwa sababu nyumbu wetu wa Serengeti ni wastaarabu, sema ahawatumii akiri wanapo vuka MTO.
Ngoja tuwafurushe ikulu ili tuone mtajifichaje mafisadi nyie
 
kwa hiyo unapingana na jiwe siyo? wewe humsikii kila akihutubia maeneo waliochagua wapinzani anawatishia (asijue hakuna wa kumtisha hapa) waz waz kuwa hakupeleka maendeleo sababu walichagua wapinzani?
Anajikuna kalio huyo achana nae
 
Nakula Jeshi la akiba
Mkurugenzi mkuu TISS
Wasiojulikana popote walipojificha
Makonda
 
Nakushauri tu ungetumia mda huu kumwambia magufuli wako aache kuongea kilugha kwenye kampeni na kuvunja sheria za uchaguzi. Lissu hamumuwezi na hamtomuweza! Na jiandae tu, Lissu ndo Raisi wako 2020 - 2025
 
Unaota na ili uote shurti ulale usingizi.
#silipu welu en taiti dirimzi
 
Maelezo yako yamejaa chuki kwanza hakusema atangazwe hata kama hakushinda lakini ww badala ya kupeleka kilio chako tume uwaambie watende haki unamlaumu mtu na hujaona wapinzani walivyoenguliwa kiujanja ktk ubunge na udiwani hayo hulalamiki
Sheria ni msumeno. Hao wagombea wamechemka Ila tume ndio itatoa majibu sahihi

Kama ni kuenguliwa kijanja wangeenguoiwa akina Sugu, Mdee bna Lena. Tumia kichwa kufikiri
 
kwa hiyo unapingana na jiwe siyo? wewe humsikii kila akihutubia maeneo waliochagua wapinzani anawatishia (asijue hakuna wa kumtisha hapa) waz waz kuwa hakupeleka maendeleo sababu walichagua wapinzani?
Kama hutishiki shida iko wapi?
 
Awali nilijua una shida ila sio kubwa kama nilivyofikiri. Wewe una ubavu wa kushauri nini matokeo ya urais yakishatangazwa wakati katiba yenyewe inasema hata mahakama haiwezi kutengua matokeo ya urais?
Kwahiyo we unatakaje Kama hutaki amani?
 
Tukusikilize wewe au mwenyekiti wa chama anaetoa vitisho kwa wapiga kura kwenye kampeni ikiwa hawatachagua ccm watajuta na maendeleo watayasikia tu? Unataka ushahidi gani tena?
Nimeshalitolea ufafanuzi mzuri tuu Jambo hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…